mmmhhh acha basi kutuumbua kiasi hicho mtu wangu..
haya mambo yako kila kona si kwa WATANZANIA tu..
na kwa kweli ni mambo ya kila siku tu..
na yapo sana ... hatuwezi kurekebisha hilo..samahani
uongo ndo fashion siku hizi samahani....
hakuna asiye danganya ....
HAHAHAHAHHAAHAH Umenifurahisha mwaya....kumbe uongo ndo fashion...ngoja nianze kwenda na wakati na mie!!!!
Noble lie?Jamani watanzania tunaelekea wapi? Maana kuongopa kumezidi sana. si marafiki wala wachumba.hasa uongo wa kwenye simu,utakuta mtu anasema.niko nyumbani na kumbe yuko sehemu nyingine.hii inasaidia nini?.
mmmhhh acha basi kutuumbua kiasi hicho mtu wangu..
haya mambo yako kila kona si kwa WATANZANIA tu..
na kwa kweli ni mambo ya kila siku tu..
na yapo sana ... hatuwezi kurekebisha hilo..samahani
uongo ndo fashion siku hizi samahani....
hakuna asiye danganya ....
mmmhhh acha basi kutuumbua kiasi hicho mtu wangu..
haya mambo yako kila kona si kwa WATANZANIA tu..
na kwa kweli ni mambo ya kila siku tu..
na yapo sana ... hatuwezi kurekebisha hilo..samahani
uongo ndo fashion siku hizi samahani....
hakuna asiye danganya ....
Mbona umedanganya wana jf? Kusema hudanganyagi tayari umedanganya, hata wewe mwenyewe unajua kuwa huo ni uongo.Mh......!! mbona mimi sidanganyagi?
Mh......!! mbona mimi sidanganyagi?
I am taking a serious note from these arguments... teh teh teh!!!
Mbona umedanganya wana jf? Kusema hudanganyagi tayari umedanganya, hata wewe mwenyewe unajua kuwa huo ni uongo.
Hata mimi sidanganyagi!
Hata mimi sidanganyagi!
Mbona umedanganya wana jf? Kusema hudanganyagi tayari umedanganya, hata wewe mwenyewe unajua kuwa huo ni uongo.
sasa ndugu yangu LTC...
mmmmhhh we mbona unaniacha hoi.??
utadanganya vipi wakati huna mdomo..
tangu mi na we tukutane ni mkono tu..
hhahahahahah lol
Haya bana! lol!nimetumbukia ktk choo na naomba msaada ndio maana unaona mkono upo busy lol!