Je,hii tunaenda wapi?

pss

Member
Sep 13, 2010
5
0
Jamani watanzania tunaelekea wapi? Maana kuongopa kumezidi sana. si marafiki wala wachumba.hasa uongo wa kwenye simu,utakuta mtu anasema.niko nyumbani na kumbe yuko sehemu nyingine.hii inasaidia nini?.
 
Ukimwona mtu anafanya hivyo muulize hapo hapo utapata jibu unalotaka!
 
mmmhhh acha basi kutuumbua kiasi hicho mtu wangu..
haya mambo yako kila kona si kwa WATANZANIA tu..
na kwa kweli ni mambo ya kila siku tu..
na yapo sana ... hatuwezi kurekebisha hilo..samahani
uongo ndo fashion siku hizi samahani....
hakuna asiye danganya ....
 
HAHAHAHAHHAAHAH Umenifurahisha mwaya....kumbe uongo ndo fashion...ngoja nianze kwenda na wakati na mie!!!!
 
HAHAHAHAHHAAHAH Umenifurahisha mwaya....kumbe uongo ndo fashion...ngoja nianze kwenda na wakati na mie!!!!

mmmmmhhh we bado uko nyuma hivyo hahahahaha lol
unakazi nzito sana yakuwafikia wataalum hahahaha lol
 
Jamani watanzania tunaelekea wapi? Maana kuongopa kumezidi sana. si marafiki wala wachumba.hasa uongo wa kwenye simu,utakuta mtu anasema.niko nyumbani na kumbe yuko sehemu nyingine.hii inasaidia nini?.
Noble lie?
 
mmmhhh acha basi kutuumbua kiasi hicho mtu wangu..
haya mambo yako kila kona si kwa WATANZANIA tu..
na kwa kweli ni mambo ya kila siku tu..
na yapo sana ... hatuwezi kurekebisha hilo..samahani
uongo ndo fashion siku hizi samahani....
hakuna asiye danganya ....

Mh......!! mbona mimi sidanganyagi?
 
mmmhhh acha basi kutuumbua kiasi hicho mtu wangu..
haya mambo yako kila kona si kwa WATANZANIA tu..
na kwa kweli ni mambo ya kila siku tu..
na yapo sana ... hatuwezi kurekebisha hilo..samahani
uongo ndo fashion siku hizi samahani....
hakuna asiye danganya ....

I am taking a serious note from these arguments... teh teh teh!!!
 
Nearly any adult will tell you that lying is wrong. But when it comes to avoiding trouble, saving face in front of the boss, or sparing someone's feelings, many people find themselves doing it anyway.
 
Mbona umedanganya wana jf? Kusema hudanganyagi tayari umedanganya, hata wewe mwenyewe unajua kuwa huo ni uongo.

Hapo ndipo tulipoharibika/jiharibu ndugu zangu,kama tunaweza kufikia kuamini kabisa kwamba hakuna mtu anayeweza kuwa mkweli ina maana basi tatizo ni kubwa kuliko inavyoweza kufikirika.Kwani nikiuliza tu gharama ya kusema ukweli ni ipi utanijibu nini,lakini gharama ya uongo ni kubwa kwani itabidi kuuendeleza uongo ili kulinda uongo wako wa kwanza,na wakati mwingine watu wanaweza hata kudhuru au kuua mradi tu afiche ukweli,sasa yote hayo ya nini si bora tu nijibakilie na ukweli wangu no matter what but I m free.Ewe ndugu uliyesema kuwa hapo nimedanganya naomba mungu akubariki uondokane na uongo na kutoamini kuwa kuna watu ambao kwao uongo ni mwiko.
 
sasa ndugu yangu LTC...
mmmmhhh we mbona unaniacha hoi.??
utadanganya vipi wakati huna mdomo..
tangu mi na we tukutane ni mkono tu..
hhahahahahah lol

Haya bana! lol!nimetumbukia ktk choo na naomba msaada ndio maana unaona mkono upo busy lol!
 
Haya bana! lol!nimetumbukia ktk choo na naomba msaada ndio maana unaona mkono upo busy lol!

hahahahah lol
kwa kweli nakuonea huruma tangu nikujue ..
bado uko kwenye hali hiyo..
kuna ambaye atukusaidia kweli??
mmmhhhh maana kufa hufi..lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom