Kama mazingira ya kazini na nyumbani sio mbali, huna sababu za kupanga. Wewe ni mtoto wa kike, ikitokea ukapangiwa kazi nje/mbali na wazazi basi hapo ni sawa/lazima upange, ila upo home na sio mbali ya kazini wala huna sababu ya kuondoka.
Najua unachotaka hapo ni freedom, ili kidume kiweze kuja na kukukanda kirahisi, but a decent lady would stay with her parents till she ties the knots.