Kwani wakaka wa Ulaya wanasafishaje?
Si wanapaswa kunawa mikono?
Shavu lako huwa linafichwa katikati ya boxer?Kwani nikishika uume kuna tofauti gani na nikishika shavuni
Hiyo sio nyeto ya ukutani kweli ?mimi huwa nikimaliza nasugua kwenye ukuta
Shavu lako huwa linafichwa katikati ya boxer?
Kwa sisi waumini wa dini ya Kiislam, unatakiwa mwanaume kukojoa kwa kuchuchumaa, baada ya hapo uoshe hiyo dhakari "dudu" kwa maji safi kuondoa najisi ya mkojo.Kwa wanaume wote, imekua kawaida sana baada ya kujisaidia haja ndogo, tunatikisa (shake) uume kama ndio njia ya kujisafisha au kutoa mkojo unaobaki.
Je, hii ndio njia sahihi au?
Sawa.Sasa ile si ngozi kama ngozi zingine tu na uzuri hainaga unyevu nyevu kama vitumbua
Kustanji kwa mawe matatu..unayatolea wapiKwa sisi waumini wa dini ya Kiislam, unatakiwa mwanaume kukojoa kwa kuchuchumaa, baada ya hapo uoshe hiyo dhakari "dudu" kwa maji safi kuondoa najisi ya mkojo.
Baada ya kumaliza haja zako unawe mikono kwa maji safi
Inapotokea dharula basi unaweza kustanji kwa mawe matatu (naweza sahihishwa) kuondoa mkojo kwani ni najisi. Hii ina maana inaepusha chupi kuwa na mikojo ilhali unatakiwa kufanya ibada
"Uislam ni usafi"! Nawasilisha
Ha ha ha ha umeona yaishe au sioSawa.
Changamoto kwakweliWakitoka hapo wana shake hands na wewe, baadavya hapo una nunua vitumbua unakula. Ndiyo maana Tanzania tunapendana sana
uume hauna uchafu wowote. hata ukiushika then ukalambe mkono.Ninadhani mleta mada alimaanisha umuhimu wa kutumia maji na sabuni baadavya kushika sehemu za siri
Hahaaa! Umenichekesha my dear!Wakitoka hapo wana shake hands na wewe, baadavya hapo una nunua vitumbua unakula. Ndiyo maana Tanzania tunapendana sana
Hapana.Kwa wanaume wote, imekua kawaida sana baada ya kujisaidia haja ndogo, tunatikisa (shake) uume kama ndio njia ya kujisafisha au kutoa mkojo unaobaki.
Je, hii ndio njia sahihi au?
Haipendezi vipi mkuu?kumbe wale wanaosha na maji wapo sahihi sana,ila ndo hivyo tu haipendezi kwa kadamnasi。
Kwa mimi inapendeza mkuu,ila niliona wahi uzi hapa watu walicomplain sana halafu leo...Haipendezi vipi mkuu?
Ndio mkojo ni najisi lakini manii si najisi kabisa, ni safiWanawake wanaogopa mkojo ilihali manii wanashika, wanashum, jamani! Mnasema za moto.