Lijue Tatizo La Kutokwa Na Shahawa Kwenye Uume Wakati Wa Haja Ndogo/Baada Ya Haja Kubwa.

Dr isaya febu

Member
Jan 17, 2023
25
220
Je unatokwa na shahawa kwenye uume wako wakati wa haja ndogo/baada ya haja kubwa?

Human_semen_in_hands.jpg

Hali ya kutokwa na shahawa kwenye uume wako wakati wa haja ndogo (baada ya tendo la ngono) au muda mwingine baada ya haja kubwa hujulikana kwa kitaalamu kama semen leakage. Hali hii inaweza kusababishwa na sababu kadhaa zikiwemo:

1) Saratani Ya Tezi Dume.

Hii ni aina ya saratani inayotokea katika tezi ya kibofu cha mkojo (tezi dume), tezi dume inapatikana chini ya kibofu cha mkojo na inazalisha sehemu ya majimaji yanayounda shahawa.

Saratani ya tezi dume inaweza kusababisha kutokwa na shahawa wakati wa haja ndogo/kubwa.

2) Prostatitis.

Hii ni hali inayohusisha kuvimba kwa tezi dume. Tezi dume inazalisha sehemu ya majimaji yanayounda shahawa. Hivyo, hali ya kuvimba kwa tezi dume inaweza kuchangia kutokwa na shahawa wakati wa haja ndogo/kubwa.

3) Retrograde Ejaculation.

Hii ni hali ambapo shahawa badala ya kutoka nje ya uume wakati wa kufika kileleni, inarudi nyuma kuingia kwenye kibofu cha mkojo. Hii inaweza kusababisha kuonekana kwa kiwango kidogo cha shahawa au kutokuwepo kwa shahawa kabisa wakati wa kujamiana, na badala yake kuiona kwenye mkojo baada ya tendo la ngono.

4) Matumizi Ya Dawa.

Matumizi ya baadhi ya dawa kama vile dawa za mfadhaiko (antidepressants) mfano SSRTIs (selective serotonin reuptake inhibitors), dawa za vidhibiti hisia (mood stabilizers), na baadhi ya matibabu ya homoni pia yanaweza kusababisha kutokwa na shahawa wakati wa haja ndogo/kubwa ikiwa ni matarajio ya matumizi yake (side effects).

HITIMISHO:

Ikiwa una wasiwasi kuwa majimaji yanayotoka kwenye uume si shahawa lakini utokaji wake unahusiana na jeraha au maambukizi, kama vile STI, unapaswa kuonana daktari mara moja kwa ajili ya vipimo na kupata matibabu.

Kujifunza zaidi kuhusu afya tembelea tovuti yangu: HOME | ISAYA FEBU

Ni mimi mwenye kujali afya yako Dr, isaya Febu, nikutakie siku njema.
 
Attachments

  • _semen-leakage-causes.jpg
    _semen-leakage-causes.jpg
    204.2 KB · Views: 7
Je unatokwa na shahawa kwenye uume wako wakati wa haja ndogo/baada ya haja kubwa?

View attachment 2977961

Hii hupelekea kiwango cha shahawa kushuka?
 
Ikiwa una wasiwasi kuwa majimaji yanayotoka kwenye uume si shahawa lakini utokaji wake unahusiana na jeraha au maambukizi, kama vile STI, unapaswa kuonana daktari mara moja kwa ajili ya vipimo na kupata matibabu.

Kujifunza zaidi kuhusu afya tembelea tovuti yangu: HOME | ISAYA FEBU
Somoo zuri, ila haipendezi baadhi yenu kutoa siri zza wagonjwa wa aina hiyo
 
THREAD IPUUZWE NI UZUSHI IMEKAA KIBIASHARA NA SIO KITABIBU
Mwandishi ameongea SEMEN akichanganya maana na SPERM

KUTOKWA NA MADHII (SEMEN) baada ya haja ndogo au kubwa ni kawaida ni healthy
Mara nyingi utaona kama utomvu kwenye ndizi inakua ni drop chache hio haijawah kua TATIZO KAMWE
 
Hii mimi ninanitokea sana hata nikikaa muda mrefu bila ya kukutana na shemeji yenu. Itokee bahati niote nimwage ama nijuchukulie sheria mkononi. Ila inatokea tu pindi upwiru ukiwa katika kiwango cha juu. Ila sijawahi kupata maumivu yoyote.
 
Je unatokwa na shahawa kwenye uume wako wakati wa haja ndogo/baada ya haja kubwa?

View attachment 2977961

Hali ya kutokwa na shahawa kwenye uume wako wakati wa haja ndogo (baada ya tendo la ngono) au muda mwingine baada ya haja kubwa hujulikana kwa kitaalamu kama semen leakage. Hali hii inaweza kusababishwa na sababu kadhaa zikiwemo:

1) Saratani Ya Tezi Dume.

Hii ni aina ya saratani inayotokea katika tezi ya kibofu cha mkojo (tezi dume), tezi dume inapatikana chini ya kibofu cha mkojo na inazalisha sehemu ya majimaji yanayounda shahawa.

Saratani ya tezi dume inaweza kusababisha kutokwa na shahawa wakati wa haja ndogo/kubwa.

2) Prostatitis.

Hii ni hali inayohusisha kuvimba kwa tezi dume. Tezi dume inazalisha sehemu ya majimaji yanayounda shahawa. Hivyo, hali ya kuvimba kwa tezi dume inaweza kuchangia kutokwa na shahawa wakati wa haja ndogo/kubwa.

3) Retrograde Ejaculation.

Hii ni hali ambapo shahawa badala ya kutoka nje ya uume wakati wa kufika kileleni, inarudi nyuma kuingia kwenye kibofu cha mkojo. Hii inaweza kusababisha kuonekana kwa kiwango kidogo cha shahawa au kutokuwepo kwa shahawa kabisa wakati wa kujamiana, na badala yake kuiona kwenye mkojo baada ya tendo la ngono.

4) Matumizi Ya Dawa.

Matumizi ya baadhi ya dawa kama vile dawa za mfadhaiko (antidepressants) mfano SSRTIs (selective serotonin reuptake inhibitors), dawa za vidhibiti hisia (mood stabilizers), na baadhi ya matibabu ya homoni pia yanaweza kusababisha kutokwa na shahawa wakati wa haja ndogo/kubwa ikiwa ni matarajio ya matumizi yake (side effects).

HITIMISHO:

Ikiwa una wasiwasi kuwa majimaji yanayotoka kwenye uume si shahawa lakini utokaji wake unahusiana na jeraha au maambukizi, kama vile STI, unapaswa kuonana daktari mara moja kwa ajili ya vipimo na kupata matibabu.

Kujifunza zaidi kuhusu afya tembelea tovuti yangu: HOME | ISAYA FEBU

Ni mimi mwenye kujali afya yako Dr, isaya Febu, nikutakie siku njema.
Pia kama hujasex muda mrefu hali hii hutokea,sio lazima hizo condituons na disease ulizo zisema.
 
nadhan mtoa mada anazungumzia maji mazito ambayo humtoka mtu kama hajakutana na mwanamke kwa mda mrefu

Na hilo sio tatizo bali ni hali ambayo hutokea katika mazingira hayo
 
Back
Top Bottom