Je, hii ni njia sahihi ya kusafisha uume baada ya haja ndogo?

NJIA: Baada ya kukojoa au haja ndogo tikisa uume sijui kama ndio kiswahili sahihi haki kisha ume nawa mikono yako na sabuni kuwa mstaarabu, na kabla ya kula nawa mikono kuwa mstaarabu vile vile.
 
Kwa wanaume wote, imekua kawaida sana baada ya kujisaidia haja ndogo, tunatikisa (shake) uume kama ndio njia ya kujisafisha au kutoa mkojo unaobaki.

Je, hii ndio njia sahihi au?
Kwa sisi waumini wa dini ya Kiislam, unatakiwa mwanaume kukojoa kwa kuchuchumaa, baada ya hapo uoshe hiyo dhakari "dudu" kwa maji safi kuondoa najisi ya mkojo.
Baada ya kumaliza haja zako unawe mikono kwa maji safi
Inapotokea dharula basi unaweza kustanji kwa mawe matatu (naweza sahihishwa) kuondoa mkojo kwani ni najisi. Hii ina maana inaepusha chupi kuwa na mikojo ilhali unatakiwa kufanya ibada
"Uislam ni usafi"! Nawasilisha
 
Kustanji kwa mawe matatu..unayatolea wapi
 
Wakitoka hapo wana shake hands na wewe, baadavya hapo una nunua vitumbua unakula. Ndiyo maana Tanzania tunapendana sana
Changamoto kwakweli
upload_2018-1-27_19-51-30.png
 
Maeneo mengine hakuna maji( abiria wanapochimba dawa). Wanaume tuanze kutembea na toilet papers.
 
Mkojo ni miongoni mwa vitu vichafu sana,najisi kubwa. Tunatajiwa kunawa na maji ya kuyosha zen unarudisha mkuyege wako kunako takiwa kisha osha mikono vyema.
 
Back
Top Bottom