Je, hii ni njia sahihi ya kusafisha uume baada ya haja ndogo?

Kwa sisi waumini wa dini ya Kiislam, unatakiwa mwanaume kukojoa kwa kuchuchumaa, baada ya hapo uoshe hiyo dhakari "dudu" kwa maji safi kuondoa najisi ya mkojo.
Baada ya kumaliza haja zako unawe mikono kwa maji safi
Inapotokea dharula basi unaweza kustanji kwa mawe matatu (naweza sahihishwa) kuondoa mkojo kwani ni najisi. Hii ina maana inaepusha chupi kuwa na mikojo ilhali unatakiwa kufanya ibada
"Uislam ni usafi"! Nawasilisha
Umeongea sahihi sana, na kwa muislam yeyote asiyefanya hivo ulivosema, hakika ibada zake zina walakini mno!
 
Pale mazengo walikua wananikera waislam wakienda kukojoa lazima wabebe jiwe la kufutia mkojo na akishamaliza analitupa chooni sasa vyoo vilikua mawe matupu, bora hata wangekuwa wanabeba makaratasi wajifutie maana yanaoza. Kuna siku walijaribu kutapisha vyoo lakini ilishindikana maana kulikua na mawe balaa.
 
Kwani wewe unashika uume wako mara ngapi kwa siku nje na kukojoa

Ukishakojoa inawishe dudu yako then nawa mikono hata usiponawa mikono siyo issue ile dudu haikai na u chafu ila ukiinawisha baada ya haja ndogo unaepusha UTI hata kwa mwenza wako
 
Back
Top Bottom