Samahani ID yako hii ni 'msege' kama ilivyo hapa au labda kuna herufi 'n' ilisahaulika tu mahala ili kuleta maana nzima ya Magomeni kwa Macheni?
Ongenza herufi ‘n’ ufurahi
Samahani ID yako hii ni 'msege' kama ilivyo hapa au labda kuna herufi 'n' ilisahaulika tu mahala ili kuleta maana nzima ya Magomeni kwa Macheni?
Mkuu sijamaliza vyote ulivyoandika. Maana hata madai yenyewe kumbe huna uthibitisho nayo! Bora ungekaa kimya.Nichukieni mtakavyonichukia GENTAMYCINE ila pamoja na kwamba nakipenda Chama changu Tawala ambacho ndicho Kimeshika Dola ya Kiserikali cha CCM, ila kama 'Mwanataaluma' kitendo kilichofanyika leo hasa cha 'Media Blackout' dhidi ya Tukio zima la Uchukuaji Fomu wa Tundu Lissu wa CHADEMA na ambayo nayasikia yameendelea huko katika Newsrooms ni 'Upumbavu' mtupu.
Sijaona sababu yoyote ile ya Vyombo Vikubwa vya Habari nchini Kupigiwa Simu na hata Waandishi wake 'Kutishwa' hasa kama wakipeleka Hewani ( kama haya Madai ni ya kweli kwani sijayathibitisha bado ) Habari za hili Tukio zima, lakini kinachonisikitisha tu ni kwamba Serikali yangu ya CCM imefanya mengi na makubwa kwa miaka hii Mitano sasa iweje leo hii imuogope Tundu Lissu hivi?
Najua kuwa Tundu Lissu ( Mtani wangu huyu kutoka Mkoani Singida nae ana Changamoto zake ) ila binafsi nilidhani njia pekee ya 'Kummaliza' Kisiasa ni Sisi wana CCM na Serikali yetu Kumuonyesha kwa Vitendo 'Maendeleo' tuliyoyafanya na siyo 'Kumuogopa' hivi hadi kumfanyia 'Mizengwe' ili Tukio zima la leo lisiwe Masikioni mwa Watu ( Watanzania ) tukidhani kuwa labda ndiyo tutamuweza.
Wala haiitaji 'Akili' kubwa kujua ya kwamba kadri Mamlaka husika iliyo chini ya Chama changu Tawala cha CCM kinavyopambana kutaka 'Kumzima' Kisiasa na Kiumaarufu hivi Tundu Lissu kwa 'Kuwatishia' Wanahabari na Vyombo vyao basi ijue ya kwamba ndiyo inasaidia mno Kumuongezea 'Umaarufu' wako na hapa kuna 'Athari' nyingi tu kwa upande wa Kura CCM yangu itazipata.
Halafu Wiki iliyoisha tulikuwa tunamsifu na kumpamba kweli kweli Nguli wa Habari nchini na Mwandamizi kabisa Rais wa Awamu ya Tatu Hayati Benjamin William Mkapa kwamba alipenda 'Demokrasia' na hakuwa na 'Mabavu' dhidi ya Wapinzani. Je, huu 'Upumbavu' uliofanywa leo wa 'Kuvitishia' Vyomba vya Habari Vikubwa nchini 'Visiripoti' Tukio la Lissu ndiyo Kumuenzi Mkapa?
CCM yangu naipenda, Rais na Mwenyekiti wangu Dkt. Magufuli namkubali sana hata Mwenyezi Mungu anajua ila huu 'Upuuzi' mkubwa sijaupenda.
Mnategemea wasanii badala ya Sera???? Kweli CCM mmepoteana mwaka huuKweli vichaa mko wengi sana.
Tar 15 tukutane taifa ili kuona maandalizi ya kampeni kupitia wasanii 109 watakaosambaa nchi nzima kuanzia tar 27 agositi.
Nichukieni mtakavyonichukia GENTAMYCINE ila pamoja na kwamba nakipenda Chama changu Tawala ambacho ndicho Kimeshika Dola ya Kiserikali cha CCM, ila kama 'Mwanataaluma' kitendo kilichofanyika leo hasa cha 'Media Blackout' dhidi ya Tukio zima la Uchukuaji Fomu wa Tundu Lissu wa CHADEMA na ambayo nayasikia yameendelea huko katika Newsrooms ni 'Upumbavu' mtupu.

Wapo! na wanafanya hivyo ili kupambana na njaa za matumbo yao si maslahi mapana ya taifa na ustawi wa ccm kama chama tawala. Watamponza na wataliponza taifa.Ninaanza kuamini taratibu kuwa yawezekana kuna 'Wanafiki' na 'Wapumbavu' fulani 'wanamshauri' vibaya na 'Kumponza' Kisiasa Rais wangu JPM.
Nimestaajabu ya Mussa nikakuona Firauni, Toka lini ulikua mwana CCM bana.Nichukieni mtakavyonichukia GENTAMYCINE ila pamoja na kwamba nakipenda Chama changu Tawala ambacho ndicho Kimeshika Dola ya Kiserikali cha CCM, ila kama 'Mwanataaluma' kitendo kilichofanyika leo hasa cha 'Media Blackout' dhidi ya Tukio zima la Uchukuaji Fomu wa Tundu Lissu wa CHADEMA na ambayo nayasikia yameendelea huko katika Newsrooms ni 'Upumbavu' mtupu.
Sijaona sababu yoyote ile ya Vyombo Vikubwa vya Habari nchini Kupigiwa Simu na hata Waandishi wake 'Kutishwa' hasa kama wakipeleka Hewani ( kama haya Madai ni ya kweli kwani sijayathibitisha bado ) Habari za hili Tukio zima, lakini kinachonisikitisha tu ni kwamba Serikali yangu ya CCM imefanya mengi na makubwa kwa miaka hii Mitano sasa iweje leo hii imuogope Tundu Lissu hivi?
Najua kuwa Tundu Lissu ( Mtani wangu huyu kutoka Mkoani Singida nae ana Changamoto zake ) ila binafsi nilidhani njia pekee ya 'Kummaliza' Kisiasa ni Sisi wana CCM na Serikali yetu Kumuonyesha kwa Vitendo 'Maendeleo' tuliyoyafanya na siyo 'Kumuogopa' hivi hadi kumfanyia 'Mizengwe' ili Tukio zima la leo lisiwe Masikioni mwa Watu ( Watanzania ) tukidhani kuwa labda ndiyo tutamuweza.
Wala haiitaji 'Akili' kubwa kujua ya kwamba kadri Mamlaka husika iliyo chini ya Chama changu Tawala cha CCM kinavyopambana kutaka 'Kumzima' Kisiasa na Kiumaarufu hivi Tundu Lissu kwa 'Kuwatishia' Wanahabari na Vyombo vyao basi ijue ya kwamba ndiyo inasaidia mno Kumuongezea 'Umaarufu' wako na hapa kuna 'Athari' nyingi tu kwa upande wa Kura CCM yangu itazipata.
Halafu Wiki iliyoisha tulikuwa tunamsifu na kumpamba kweli kweli Nguli wa Habari nchini na Mwandamizi kabisa Rais wa Awamu ya Tatu Hayati Benjamin William Mkapa kwamba alipenda 'Demokrasia' na hakuwa na 'Mabavu' dhidi ya Wapinzani. Je, huu 'Upumbavu' uliofanywa leo wa 'Kuvitishia' Vyomba vya Habari Vikubwa nchini 'Visiripoti' Tukio la Lissu ndiyo Kumuenzi Mkapa?
CCM yangu naipenda, Rais na Mwenyekiti wangu Dkt. Magufuli namkubali sana hata Mwenyezi Mungu anajua ila huu 'Upuuzi' mkubwa sijaupenda.
Nichukieni mtakavyonichukia GENTAMYCINE ila pamoja na kwamba nakipenda Chama changu Tawala ambacho ndicho Kimeshika Dola ya Kiserikali cha CCM, ila kama 'Mwanataaluma' kitendo kilichofanyika leo hasa cha 'Media Blackout' dhidi ya Tukio zima la Uchukuaji Fomu wa Tundu Lissu wa CHADEMA na ambayo nayasikia yameendelea huko katika Newsrooms ni 'Upumbavu' mtupu.
Sijaona sababu yoyote ile ya Vyombo Vikubwa vya Habari nchini Kupigiwa Simu na hata Waandishi wake 'Kutishwa' hasa kama wakipeleka Hewani ( kama haya Madai ni ya kweli kwani sijayathibitisha bado ) Habari za hili Tukio zima, lakini kinachonisikitisha tu ni kwamba Serikali yangu ya CCM imefanya mengi na makubwa kwa miaka hii Mitano sasa iweje leo hii imuogope Tundu Lissu hivi?
Najua kuwa Tundu Lissu ( Mtani wangu huyu kutoka Mkoani Singida nae ana Changamoto zake ) ila binafsi nilidhani njia pekee ya 'Kummaliza' Kisiasa ni Sisi wana CCM na Serikali yetu Kumuonyesha kwa Vitendo 'Maendeleo' tuliyoyafanya na siyo 'Kumuogopa' hivi hadi kumfanyia 'Mizengwe' ili Tukio zima la leo lisiwe Masikioni mwa Watu ( Watanzania ) tukidhani kuwa labda ndiyo tutamuweza.
Wala haiitaji 'Akili' kubwa kujua ya kwamba kadri Mamlaka husika iliyo chini ya Chama changu Tawala cha CCM kinavyopambana kutaka 'Kumzima' Kisiasa na Kiumaarufu hivi Tundu Lissu kwa 'Kuwatishia' Wanahabari na Vyombo vyao basi ijue ya kwamba ndiyo inasaidia mno Kumuongezea 'Umaarufu' wako na hapa kuna 'Athari' nyingi tu kwa upande wa Kura CCM yangu itazipata.
Halafu Wiki iliyoisha tulikuwa tunamsifu na kumpamba kweli kweli Nguli wa Habari nchini na Mwandamizi kabisa Rais wa Awamu ya Tatu Hayati Benjamin William Mkapa kwamba alipenda 'Demokrasia' na hakuwa na 'Mabavu' dhidi ya Wapinzani. Je, huu 'Upumbavu' uliofanywa leo wa 'Kuvitishia' Vyomba vya Habari Vikubwa nchini 'Visiripoti' Tukio la Lissu ndiyo Kumuenzi Mkapa?
CCM yangu naipenda, Rais na Mwenyekiti wangu Dkt. Magufuli namkubali sana hata Mwenyezi Mungu anajua ila huu 'Upuuzi' mkubwa sijaupenda.
Kuwa na akili hata kidogo basi. Unafikiri nani ataiamini chadema media bila kuhakiki habari kwenye chombo huru?Yaani hawako serious. Yaani kununua vifaa wameshindwa?
Vifaa vinavyohitajika ni
-camera yenye sdi out
-wireless microphone ya camera
-sdi cable
-liveUsolo
-modem ya 4G
-line ya 4g yenye bando.
Wakipata hiyo setup wanaweza kuenda live wakiwa popote kwenye mtandao kupitia youtube, facebook. Inabidi wanunue haraka kabla ya kampeni kuanza. Hakuna chombo chochote cha habari kitakacho onesha hata picha ya wapinzani.
NB: wale wazoefu wa kuagiza vitu mtafanya bajeti ya vifaa.
Really?That is what we call a natural death of kijani
Hiyo macheni kabisa bila chengaSamahani ID yako hii ni 'msege' kama ilivyo hapa au labda kuna herufi 'n' ilisahaulika tu mahala ili kuleta maana nzima ya Magomeni kwa Macheni?
Sisiemu ni ileilemimi ni CCM lakini ile ya mwalimu JKN (RIP mzee wetu), siyo CCM ya hawa wezi!
Umesema hujathibitisha hizi tuhuma za waandishi kuzuiwa kuripoti habari ya Lissu, sasa inakuaje unalaumu jambo ambalo huna uhakika nalo.Nichukieni mtakavyonichukia GENTAMYCINE ila pamoja na kwamba nakipenda Chama changu Tawala ambacho ndicho Kimeshika Dola ya Kiserikali cha CCM, ila kama 'Mwanataaluma' kitendo kilichofanyika leo hasa cha 'Media Blackout' dhidi ya Tukio zima la Uchukuaji Fomu wa Tundu Lissu wa CHADEMA na ambayo nayasikia yameendelea huko katika Newsrooms ni 'Upumbavu' mtupu
Sijaona sababu yoyote ile ya Vyombo Vikubwa vya Habari nchini Kupigiwa Simu na hata Waandishi wake 'Kutishwa' hasa kama wakipeleka Hewani ( kama haya Madai ni ya kweli kwani sijayathibitisha bado ) Habari za hili Tukio zima, lakini kinachonisikitisha tu ni kwamba Serikali yangu ya CCM imefanya mengi na makubwa kwa miaka hii Mitano sasa iweje leo hii imuogope Tundu Lissu hivi?
Najua kuwa Tundu Lissu ( Mtani wangu huyu kutoka Mkoani Singida nae ana Changamoto zake ) ila binafsi nilidhani njia pekee ya 'Kummaliza' Kisiasa ni Sisi wana CCM na Serikali yetu Kumuonyesha kwa Vitendo 'Maendeleo' tuliyoyafanya na siyo 'Kumuogopa' hivi hadi kumfanyia 'Mizengwe' ili Tukio zima la leo lisiwe Masikioni mwa Watu ( Watanzania ) tukidhani kuwa labda ndiyo tutamuweza.
Wala haiitaji 'Akili' kubwa kujua ya kwamba kadri Mamlaka husika iliyo chini ya Chama changu Tawala cha CCM kinavyopambana kutaka 'Kumzima' Kisiasa na Kiumaarufu hivi Tundu Lissu kwa 'Kuwatishia' Wanahabari na Vyombo vyao basi ijue ya kwamba ndiyo inasaidia mno Kumuongezea 'Umaarufu' wako na hapa kuna 'Athari' nyingi tu kwa upande wa Kura CCM yangu itazipata.
Halafu Wiki iliyoisha tulikuwa tunamsifu na kumpamba kweli kweli Nguli wa Habari nchini na Mwandamizi kabisa Rais wa Awamu ya Tatu Hayati Benjamin William Mkapa kwamba alipenda 'Demokrasia' na hakuwa na 'Mabavu' dhidi ya Wapinzani. Je, huu 'Upumbavu' uliofanywa leo wa 'Kuvitishia' Vyomba vya Habari Vikubwa nchini 'Visiripoti' Tukio la Lissu ndiyo Kumuenzi Mkapa?
CCM yangu naipenda, Rais na Mwenyekiti wangu Dkt. Magufuli namkubali sana hata Mwenyezi Mungu anajua ila huu 'Upuuzi' mkubwa sijaupenda.
Kumbe mnategemea wasanii wawajazie uwanja?Kweli vichaa mko wengi sana.
Tar 15 tukutane taifa ili kuona maandalizi ya kampeni kupitia wasanii 109 watakaosambaa nchi nzima kuanzia tar 27 agositi.
acha kero, citizen washatangaza Lissu collects nomination forms at NEC headquarters in Dodoma
Halafu wala haifiki $ 10,000 /=Wapinzani kuweni na youtube channel zenu. Nunueni vifaa vya kurusha matangazo kama blackmagic, teradek,cerevo,liveUsolo,vidiu,mevo,gopro, roland livestream,dji drone livestream. Share link kupitia mitandao waambieni watu wasubscribe wafike 5m. Kulalamika hakutasaidia kitu.
Muda wa kampeni hakuna chombo chochote cha habari kitakacho onesha hata picha yenu.
Nunueni vifaa.
Wakinunua hivyo nawafungia bure kabisa, na kadi ya black magic nawapaYaani hawako serious. Yaani kununua vifaa wameshindwa?
Vifaa vinavyohitajika ni
-camera yenye sdi out
-wireless microphone ya camera
-sdi cable
-liveUsolo
-modem ya 4G
-line ya 4g yenye bando.
Wakipata hiyo setup wanaweza kuenda live wakiwa popote kwenye mtandao kupitia youtube, facebook. Inabidi wanunue haraka kabla ya kampeni kuanza. Hakuna chombo chochote cha habari kitakacho onesha hata picha ya wapinzani.
NB: wale wazoefu wa kuagiza vitu mtafanya bajeti ya vifaa.
Unapatikana kwa macheni au kwa Mpalange?Ongenza herufi ‘n’ ufurahi
Media house watakula wanakopeleka mboga post electionNichukieni mtakavyonichukia GENTAMYCINE ila pamoja na kwamba nakipenda Chama changu Tawala ambacho ndicho Kimeshika Dola ya Kiserikali cha CCM, ila kama 'Mwanataaluma' kitendo kilichofanyika leo hasa cha 'Media Blackout' dhidi ya Tukio zima la Uchukuaji Fomu wa Tundu Lissu wa CHADEMA na ambayo nayasikia yameendelea huko katika Newsrooms ni 'Upumbavu' mtupu
Sijaona sababu yoyote ile ya Vyombo Vikubwa vya Habari nchini Kupigiwa Simu na hata Waandishi wake 'Kutishwa' hasa kama wakipeleka Hewani ( kama haya Madai ni ya kweli kwani sijayathibitisha bado ) Habari za hili Tukio zima, lakini kinachonisikitisha tu ni kwamba Serikali yangu ya CCM imefanya mengi na makubwa kwa miaka hii Mitano sasa iweje leo hii imuogope Tundu Lissu hivi?
Najua kuwa Tundu Lissu ( Mtani wangu huyu kutoka Mkoani Singida nae ana Changamoto zake ) ila binafsi nilidhani njia pekee ya 'Kummaliza' Kisiasa ni Sisi wana CCM na Serikali yetu Kumuonyesha kwa Vitendo 'Maendeleo' tuliyoyafanya na siyo 'Kumuogopa' hivi hadi kumfanyia 'Mizengwe' ili Tukio zima la leo lisiwe Masikioni mwa Watu ( Watanzania ) tukidhani kuwa labda ndiyo tutamuweza.
Wala haiitaji 'Akili' kubwa kujua ya kwamba kadri Mamlaka husika iliyo chini ya Chama changu Tawala cha CCM kinavyopambana kutaka 'Kumzima' Kisiasa na Kiumaarufu hivi Tundu Lissu kwa 'Kuwatishia' Wanahabari na Vyombo vyao basi ijue ya kwamba ndiyo inasaidia mno Kumuongezea 'Umaarufu' wako na hapa kuna 'Athari' nyingi tu kwa upande wa Kura CCM yangu itazipata.
Halafu Wiki iliyoisha tulikuwa tunamsifu na kumpamba kweli kweli Nguli wa Habari nchini na Mwandamizi kabisa Rais wa Awamu ya Tatu Hayati Benjamin William Mkapa kwamba alipenda 'Demokrasia' na hakuwa na 'Mabavu' dhidi ya Wapinzani. Je, huu 'Upumbavu' uliofanywa leo wa 'Kuvitishia' Vyomba vya Habari Vikubwa nchini 'Visiripoti' Tukio la Lissu ndiyo Kumuenzi Mkapa?
CCM yangu naipenda, Rais na Mwenyekiti wangu Dkt. Magufuli namkubali sana hata Mwenyezi Mungu anajua ila huu 'Upuuzi' mkubwa sijaupenda.
Spika ya MabeberuNichukieni mtakavyonichukia GENTAMYCINE ila pamoja na kwamba nakipenda Chama changu Tawala ambacho ndicho Kimeshika Dola ya Kiserikali cha CCM, ila kama 'Mwanataaluma' kitendo kilichofanyika leo hasa cha 'Media Blackout' dhidi ya Tukio zima la Uchukuaji Fomu wa Tundu Lissu wa CHADEMA na ambayo nayasikia yameendelea huko katika Newsrooms ni 'Upumbavu' mtupu