Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,022
- 26,352
Genta my brother, I’m sorry to tell you that this year is the LAST YEAR FOR CCM to lead Tanzania.
Mark my words. Huu ndo mwaka wa mwisho kuongoza Tanzania. From October nchi inaenda kuwa chini ya Chadema.
Nimesikiliza kwa Makini sana hotuba ya Mzee Butiku jana kwenye mkutano wa CCM. Kuna ujumbe aliutuma kwa TISS, Polisi, JWTZ na NEC . Kwa nilivyomsikia nimejiridhisha kuwa wazee wenye maamuzi yao waneridhia nchi kwenda upinzani mwaka huu.
Tukutane October ndugu yangu Genta!!
Swadakta my brother. Jana kwa maneno na body language ya mzee Butiku nina uhakika asilimia 100 kuwa Chadema wanachukua nchi October 2020.Na kwa Kuongezea tu ukiona Mzee Joseph Butiku anaongea na kutoa 'Observations' zake jua kwa 99.9% hayo pia yangekuwa Mawazo ya Nyerere.
Yaani hawako serious. Yaani kununua vifaa wameshindwa?
Vifaa vinavyohitajika ni
-camera yenye sdi out
-wireless microphone ya camera
-sdi cable
-liveUsolo
-modem ya 4G
-line ya 4g yenye bando.
Wakipata hiyo setup wanaweza kuenda live wakiwa popote kwenye mtandao kupitia youtube, facebook. Inabidi wanunue haraka kabla ya kampeni kuanza. Hakuna chombo chochote cha habari kitakacho onesha hata picha ya wapinzani.
NB: wale wazoefu wa kuagiza vitu mtafanya bajeti ya vifaa.
Lissu ni tishio
Yes, it's true. The devil will NEVER change to be an angel.Once a devil, always a devil.
Let's meet at the top, cheers 🥂
Swadakta my brother. Jana kwa maneno na body language ya mzee Butiku nina uhakika asilimia 100 kuwa Chadema wanachukua nchi October 2020.
ExactlyIla Mkuu amini usiamini huku kuwa Kwake 'Tishio' hivi kwa '99.9%' Kunaongezewa na CCM na Serikali katika kutaka 'Kumkandimiza' sana Kisiasa.
Sio kwamba yeye ndo "pioneer" anatoa maelekezo kwa washauri wake maarufu kama "amri toka juu"?Ninaanza kuamini taratibu kuwa yawezekana kuna 'Wanafiki' na 'Wapumbavu' fulani 'wanamshauri' vibaya na 'Kumponza' Kisiasa Rais wangu JPM.
Kama ni kweli media zimetishwa hakuna tatizo maana siku hizi utandawazi umetandaa mnahofia nini?Nichukieni mtakavyonichukia GENTAMYCINE ila pamoja na kwamba nakipenda Chama changu Tawala ambacho ndicho Kimeshika Dola ya Kiserikali cha CCM, ila kama 'Mwanataaluma' kitendo kilichofanyika leo hasa cha 'Media Blackout' dhidi ya Tukio zima la Uchukuaji Fomu wa Tundu Lissu wa CHADEMA na ambayo nayasikia yameendelea huko katika Newsrooms ni 'Upumbavu' mtupu.
Sijaona sababu yoyote ile ya Vyombo Vikubwa vya Habari nchini Kupigiwa Simu na hata Waandishi wake 'Kutishwa' hasa kama wakipeleka Hewani ( kama haya Madai ni ya kweli kwani sijayathibitisha bado ) Habari za hili Tukio zima, lakini kinachonisikitisha tu ni kwamba Serikali yangu ya CCM imefanya mengi na makubwa kwa miaka hii Mitano sasa iweje leo hii imuogope Tundu Lissu hivi?
Najua kuwa Tundu Lissu ( Mtani wangu huyu kutoka Mkoani Singida nae ana Changamoto zake ) ila binafsi nilidhani njia pekee ya 'Kummaliza' Kisiasa ni Sisi wana CCM na Serikali yetu Kumuonyesha kwa Vitendo 'Maendeleo' tuliyoyafanya na siyo 'Kumuogopa' hivi hadi kumfanyia 'Mizengwe' ili Tukio zima la leo lisiwe Masikioni mwa Watu ( Watanzania ) tukidhani kuwa labda ndiyo tutamuweza.
Wala haiitaji 'Akili' kubwa kujua ya kwamba kadri Mamlaka husika iliyo chini ya Chama changu Tawala cha CCM kinavyopambana kutaka 'Kumzima' Kisiasa na Kiumaarufu hivi Tundu Lissu kwa 'Kuwatishia' Wanahabari na Vyombo vyao basi ijue ya kwamba ndiyo inasaidia mno Kumuongezea 'Umaarufu' wako na hapa kuna 'Athari' nyingi tu kwa upande wa Kura CCM yangu itazipata.
Halafu Wiki iliyoisha tulikuwa tunamsifu na kumpamba kweli kweli Nguli wa Habari nchini na Mwandamizi kabisa Rais wa Awamu ya Tatu Hayati Benjamin William Mkapa kwamba alipenda 'Demokrasia' na hakuwa na 'Mabavu' dhidi ya Wapinzani. Je, huu 'Upumbavu' uliofanywa leo wa 'Kuvitishia' Vyomba vya Habari Vikubwa nchini 'Visiripoti' Tukio la Lissu ndiyo Kumuenzi Mkapa?
CCM yangu naipenda, Rais na Mwenyekiti wangu Dkt. Magufuli namkubali sana hata Mwenyezi Mungu anajua ila huu 'Upuuzi' mkubwa sijaupenda.
Ukiuliza swali la namna hiyo lazima uje na jibu kwanza kama TBC ni mali ya CCM, C= Chama, C= Cha, M= Majang............a, huu ujasiri wa kujimilikisha chombo hiki cha umma wameupata wapi?Licha ya media kuzuiwa chadema ilishindwa Nini kuanzisha online media, page zao na kutoa habari, maana jinsi wanavobanwa na ccm kuachwa wanapigwa gape, atleast wangerusha tukio kwenye account za CDM kusubiria huruma tu watasanda, CCM imechokwa ni vile inajipa promo
Kuota ni haki ya kila mmoja maana sio tendo la hiyariGenta my brother, I’m sorry to tell you that this year is the LAST YEAR FOR CCM to lead Tanzania.
Mark my words. Huu ndo mwaka wa mwisho kuongoza Tanzania. From October nchi inaenda kuwa chini ya Chadema.
Nimesikiliza kwa Makini sana hotuba ya Mzee Butiku jana kwenye mkutano wa NCCR. Kuna ujumbe aliutuma kwa TISS, Polisi, JWTZ na NEC . Kwa nilivyomsikia nimejiridhisha kuwa wazee wenye maamuzi yao waneridhia nchi kwenda upinzani mwaka huu.
Tukutane October ndugu yangu Genta!!
Sio kwamba yeye ndo "pioneer" anatoa maelekezo kwa washauri wake maarufu kama "amri toka juu"?
Kwa hiyo mmejitabiria kifo?Beberu mzawa!View attachment 1531136
Uko sahihi Sasa kipindi kina ruzuku walishindwa kuwekexa Mambo muhimu ka haya, CDM inabidi kutafta vichwa vipya vya kuwapa ushauri, hii kulia Lia faulo za ccm hazisaidii