Je hi inathibitisha dunia (Earth) siyo tufe (sphere)?

Ndio maana Africa hatuendelei leo hi karne ya 21 unasema jua linazima.
Hujui huku kukiwa mchana kwingine usiku and vice versa.
Ndio maana nimeeleza jua linalokuwa Mashariki huzima nakuanza safari ya kurudi makao makuu (basi upande huo huwa usiku) jua la magharibi uanza kuwaka nakuja upande huo huwa mchana.
 
Hii mada ilishaongelewa humu mara nyingi tu.. Wazee wa flat earth.. Wenzetu wanakazana kurusha vyombo angani huko na zinatuletea na picha bado mtu anakwambia eti dunia ni sahani.. Karme ya 21 hii.. Mtu anaamini picha za matukio mbalimbali yanayorushwa live kwa kutumia satellite kutoka upande mmoja wa dunia hadi wa pili (mf mpira) ila mtu huyo huyo anakataa hakuna picha ya satellite ya dunia maana hamna satellite.. Ile international space station (ISS) inaonekana hata kwa macho yako bila kutumi chochote (kukiwa na hali ya hewa nzuri) na yenyewe kuna hadi watu ndani wanapiga na picha ya dunia ila wazee wanakwambia ni uongo hamna hiyo iss.. Sasa swali linakuja kwa nini na nyinyi wa flat earth msitafute namna ya kupeleka camera mnayoiamini juu sana ili itupigie picha ya hiyo sahani mnayosema?

Sayari nyingi tu huwa zinaonekana hata kwa macho matupu bila kiona mbali na nyingine ukitumia hata homemade Telescope unaweza kuziona vizuri tu na zote ni sphere ila dunia peke yake ni sahani..

Wazee wa zamani huko kina Galileo walitumia sayansi ya kizamani kabisa na wakajua dunia ni sphere leo hii na mateknolojia haya mtu anakwambi siiamini ila unatumia technology hiyo hiyo kufanya mambo mengine na unaiamini.. Tabu sana..
 
Imenibidi nicheke.
 
Hapana sio kila kinazunguka na Flat Bense Earth haizungukia bali baadhi ya vitu ndivyo uzunguka.
-
Hali ya Hewa
Kiuhalisia JUA linalokuwa zamu linapozima (huzima kwa kififia/kupungua) kuna nyakati huzima na kutonesha dalili na mara nyingine hubakiza dalili ya kuwaka. 'Unaweza kuona nyakati mbingu hubakia na hali ya uwekundu au mwanga jua'
Hivyo endapo halitozima moja kwa moja joto lazima hutokea. Je kwanini kuna maeneo joto uwepo siku zote/mara nyingi mfano Dar? Hapa ikumbukwe linapozima huanza safari ya kurudi makao makuu na wakati huo makao makuu kuna Jua hutumwa kuja, hivyo jua hili linalokuwa linarudi makao makuu hujikuta kila wakati lipo katika eneo hilo (ukanda huo) mfano Dar na Middle East.
-
Mvua
Ikumbukwe Flat Bense Earth ina boundary iliyochongwa kama rainbow inazuia pembe na pembe huku imeninginia angani, mvuke na moshi huenda na kujikusanya hapo juu na inafika wakati hulainika na kuwa maji na kurudi ardhini.
-
Upepo
Hapa bado nafanya tafiti. Lakini uchunguzi wa awali unaonyesha kuna kitu kimepewa jukumu la kutoa/puliza upepo, na inaonyesha kinavyopata nguvu ndivyo upepo huwa wa Kasi na mkubwa na endapo huchoka basi upepo upungua.
umeopata wapi hizi information mbona kama unazitunga tu
 
Informationen ulizonazo hazikutungwa?
tatizo unatoa information kama unapiga hadithi za abunuwasi ,unaulizwa inakuaje jimbo la alaska marekani zamani lilikua urusi na ukiangalia kwenye ramani urusi na marekani ni mashariki na magharibi,huna jibu unarukaruka tu
 
Nimeweka point ngapi? Mbona hamna aliyezipinga?
 
si ndio hizo unazozitoa bila kusema umezipata kwenye source ipi,yani unazitoa kama unapigia watoto hadithi za abunuwasi.
KUNA MAJUA MATATU MPAKA MATANO NA YANAPEANA ZAMU KUZIMA NA KUWAKA SIJUI HUKU YANARUDI MAKAO MAKUU .hizo habari umzitoa wapi au chombo gani kimeshaona hayo majua matatu kweney solar system yetu
 
Ni tafiti na gunduzi zangu nikiwa na mshirika.
 
Jombaa ulichotuletea hapa ni mawazo yako baada yakukodolea kipande cha ramani yakuchora ila sio ushahidi wakitaalam kile ulichotaka tukifahamu.
 
Back
Top Bottom