Je hi inathibitisha dunia (Earth) siyo tufe (sphere)?

Yote unayonithibitishia hapa hayana tofauti na yanayothibitishwa kuwa dunia ni flat lakini umeamua kubaki na upande mmoja.

Ukisema sayansi hauwezi kuilinganisha na imani ina maan haujui hoja iliyopo hapa ni ipi?

Wanasayansi hao hao na bado mpaka sasa wanaendelea na tafiti juu ya uthibitisho wa dunia ni flat na wametoa maandiko ya majarida na vitabu, ila kikubwa wanashindan kwa hoja za kisayansi wala si kiimani.

Ushahidi wote unaokuthibitishia dunia ni mviringo, nao wanautumia ushahidi huo huo kuthibitisha kuwa dunia si mviringo ni flat, je umewahi kuwasoma?

Mi nimesoma shuleni na nimesoma maandiko yanahokipinga kile cha shuleni juu ya umbo la dunia, na kwakuongeza na zangu binafsi nipo njia panda maana kuna hoja bado sijazielewa juu ya hao wote juu ya mimi nipo katika dunia yenye umbo gani kati ya flat na mviringo.

Hoja zinazonichanganya ni Gravitation Force kwa wanaoamini dunia ni mviringo.

Na mwezi ni nini kwa wanaoamini ni flat.

Mengine nimeweza kuyajua nani muongo na nani mkweli mfano kwenye kupata usiku na mchana au majira ya mwaka.
Mambo haya yana historia ndefu kidogo.Kuna kipindi mwanasayansi wa Uingereza Bentrad Russell alikuwa akitoa somo kuhusiana na astronomy jinsi dunia inavyozunguka jua,Lakini pia jua linavyoizunguka milk way galaxy.Mwanamke mmoja alisimama akambishia akamwambia "dunia ni flat ipo imelala kwenye mgongo wa Kobe mmoja mkubwa" Bentrad Russell alitabasamu halafu akamuuliza "je huyo Kobe yupo kwenye Nini" mwanamke yule alishindwa kujibu ikabidi amsifie Russell kwamba ana akili nyingi.

Aristotle inawezekana ndiye alikuwa mwanafalsafa maarufu wa Kwanza kusema dunia ilikuwa ni duara hii yote ni kwa sababu aliona kivuri Cha dunia kinakuwa duara mwezini kipindi Cha lunar eclipse.Lakini suala hili aliliacha Kama assumption kutokana na mambo ya imani walivyokuwa wanaamini na miungu yao ya Kigiriki.

Corpenicus miaka ya 1500's mwenyewe alikuja na assumption za dunia kulizunguka jua lakini aliogopa kanisa la Roma.Maana imani iliamini dunia ipo katikati na inazungukwa.

Ptolemy na Gallileo ndio walisimama imara kutetea hizo assumption za dunia kuwa duara na inalizunguka jua.Wakatoa mpaka na evidences za kuthibitisha.Wote tunajua mabaya yaliyomkuta Gallileo kutokana na kwenda kinyume na kanisa lilivyoamini.

Hapo utaona mitazamo mingi ya dunia kuwa flat ilikuwa kwa sababu za kiimani tu lakini sio kwa fact za kisayansi.Ndio maana hawakuwa na uthibitisho wowote Kama waliotoa wanasayansi zaidi ya imani.

Ukisema tufundishwe darasani kwa nini waliamini ni flat mimi binafsi naona hakuna sababu ya kufundishwa hayo.Huwezi ukafundisha imani kwenye somo la sayansi.Haya mambo darasani yanafundishwa kwenye masomo ya sayansi hivyo darasani ni lazima tufundishwe sayansi.Imani itafundishwa sehemu zake Kama huko kanisani na misikitini.
 
Yote unayonithibitishia hapa hayana tofauti na yanayothibitishwa kuwa dunia ni flat lakini umeamua kubaki na upande mmoja.

Ukisema sayansi hauwezi kuilinganisha na imani ina maan haujui hoja iliyopo hapa ni ipi?

Wanasayansi hao hao na bado mpaka sasa wanaendelea na tafiti juu ya uthibitisho wa dunia ni flat na wametoa maandiko ya majarida na vitabu, ila kikubwa wanashindan kwa hoja za kisayansi wala si kiimani.

Ushahidi wote unaokuthibitishia dunia ni mviringo, nao wanautumia ushahidi huo huo kuthibitisha kuwa dunia si mviringo ni flat, je umewahi kuwasoma?

Mi nimesoma shuleni na nimesoma maandiko yanahokipinga kile cha shuleni juu ya umbo la dunia, na kwakuongeza na zangu binafsi nipo njia panda maana kuna hoja bado sijazielewa juu ya hao wote juu ya mimi nipo katika dunia yenye umbo gani kati ya flat na mviringo.

Hoja zinazonichanganya ni Gravitation Force kwa wanaoamini dunia ni mviringo.

Na mwezi ni nini kwa wanaoamini ni flat.

Mengine nimeweza kuyajua nani muongo na nani mkweli mfano kwenye kupata usiku na mchana au majira ya mwaka.
Naelewa Kuna wanasayansi wanaotoaga sababu za kudai dunia ni flat mfano flat earth society, ila nilikuwa nakujibu kwa sababu uliuliza swali kwa nini tusifundishwe sababu za watu wa zamani kuamini dunia ilikuwa flat.Lakini kabla hatujazama ndani lazima tufahamiane Kwanza juu ya mitazamo yetu.Mimi binafsi naamini dunia ni duara na inalizunguka jua.Wewe upo upande upi was dunia duara au flat?

Kinachokuchanganya kwenye gravitation force ni Nini?

Na kinachokuchanganya kwenye Moon ni Nini?
 
Niliuliza kwanini hatufundishwi sababu zilizowapeleekea kuamini ni tambarare na badala yake wanabezwa kama vile watu waliokuwa hawana ushahidi ila hisia zao tuu, je hawakua na sababu zakuamini walivyoamini?
Hivyo hapa naona tumefichwa vitu.

Ukija kwa dunia mvifingo, kila kitu kinavyutwa katikati ya dunia yaani gravitation force. aisee mimi kama mimi sijaweza kulithibitisha hilo au hata mfano wa machenisms ya gravitation force inavyofanya kazi ktk hasa kuyavuta maji.

Na kwa hawa wa flat nimekwama juu ya mwezi ni ninini kitu gani chenye shape ipi.?

Naelewa Kuna wanasayansi wanaotoaga sababu za kudai dunia ni flat mfano flat earth society, ila nilikuwa nakujibu kwa sababu uliuliza swali kwa nini tusifundishwe sababu za watu wa zamani kuamini dunia ilikuwa flat.Lakini kabla hatujazama ndani lazima tufahamiane Kwanza juu ya mitazamo yetu.Mimi binafsi naamini dunia ni duara na inalizunguka jua.Wewe upo upande upi was dunia duara au flat?

Kinachokuchanganya kwenye gravitation force ni Nini?

Na kinachokuchanganya kwenye Moon ni Nini?
 
Naelewa Kuna wanasayansi wanaotoaga sababu za kudai dunia ni flat mfano flat earth society, ila nilikuwa nakujibu kwa sababu uliuliza swali kwa nini tusifundishwe sababu za watu wa zamani kuamini dunia ilikuwa flat.Lakini kabla hatujazama ndani lazima tufahamiane Kwanza juu ya mitazamo yetu.Mimi binafsi naamini dunia ni duara na inalizunguka jua.Wewe upo upande upi was dunia duara au flat?
Kinachokuchanganya kwenye gravitation force ni Nini?
Na kinachokuchanganya kwenye Moon ni Nini?
Hapa nimejaribu kutoa mifano kabisa wala sio imani. Maana na tafsiri ya Imani ni pana.
Nipo kwenye upande Flat lakini this time nime-improve hoja na toleo la dunia Flat tuliyokuwanayo.
Gravitation kwangu ndio kichaka wanapojificha wa sphere hiki kitu hakipo.
Moon nimeeleza kabisa ulizo kwenye baadhi ya post, Moon mraba wenye asili ya LED (Kama unafahamu Rubber Bands au Bracelets zinazowaka likitokea Giza ndio maana yake).
 
Bro wewe umeshanipoteza uliposema jua huwa linazima.na Kuna majua matatu
 
Baharini vipo vizuri tu maana hata visiwa ni vipande vya ardhi vilivyoanzia chini hadi kuonekana juu.

Baharini kuna majabari, mapango na kila kitu ukionacho nchi kavu ispokuwa vimezungukwa na maji.
Yapo ila ni chini ndani ya maji (sea floor) ambayo hayawezi block your view.

Ukitaka kuangalia Zanzibar kutokea pwani ya Dar unaangalia chini ya maji? La hasha bali ni juu ya bahari kwa hiyo hakuna cha kuzuia uoni wako. Basi kama dunia ingalikuwa flat Zanzibar pangeonekana tokea pwani ya Dar.
 
Kama hakuna chakuzuia uono wa mtu.. unazani darubini huwa zina kazi gani. Nasa wanaiona dunia kwa macho yao wakiwa huko angani?
 
Macho yako yanauwezo wa kuona umbali gani?
Kiziuzi ni uwezo wa macho.
 
Kama hakuna chakuzuia uono wa mtu.. unazani darubini huwa zina kazi gani. Nasa wanaiona dunia kwa macho yao wakiwa huko angani?
Nimezungumzia miamba sijui majabari na mabonde aliyosema mtoa mada. Labda umeninukuu vibaya.

Hivyo vitu kiuhalisia haviwezi kukuzuia wewe kuangalia kitu ambacho hakipo ndani ya maji. Kama kipo juu ya uso wa bahari kitaonekana tu.

Nimemuuliza mtoa mada kama dunia ni flat (bapa) mfano wa sahani mbona ukikaa pwani ya Dar Zanzibar hupaoni?

Akasema eti kuna mabonde, majabari n.k Hivi vitu havipo juu ya uso wa bahari hivyo haviwezi zuia uoni wako
 
Hamna kitu kama hicho.
Ninachofahamu ni mwezi na jua wanakuwa wanapishana kubadili makazi yao maana huchoka pia.
Mkuu hebu kuwa serious kidogo. Unajadili haya Mambo na watu wazima.

Jua na mwezi kuchoka??

Unasema sijui NASA wanatudanganya halafu unasem eti Jua na Mwezi vinachoka.
 
Soma kwa makini,
Jua siyo moja yapo takribani matatu hadi matano. Jua haya huzima yafikapo magharibi na kuanza kurudi mashariki huku lile la mashariki uwaka na kuanza kuja magharibi ni maisha ya viumbe hivi vyenye furaha katika kila siku.

Mwezi ni mraba wa LED (mfano wa bracelets za mraba ziwakazo wakati wa kiza) ambavyo mwezi huwezi kuonesha mwanga wake halisi wakati wa jua. Uonekana pale jua linapozima.

Nyota ni moja kubwa Sana miale yake ndizo hizi nyota tuonazo.
Ndio maana Africa hatuendelei leo hi karne ya 21 unasema jua linazima.

Hujui huku kukiwa mchana kwingine usiku and vice versa.
 
Unajua ukishamjua mtu,hupati tabu. Unajua bora ujadiliane na wajuzi mia moja unaweza kuwashinda kwa hoja na ukapata faida kuliko kujadiliana na mjinga moja lazima atakushinda tu,hutafaidika na chochote na utapoteza muda. Huyu mtoa mada post yake namba 63 imenifanya nisiendelee kumuuliza tena maswali sababu najua kitakacho fata ni muendelezo wa uhayawani wake.

Endeleeni nae wadau......
Na mimi nimechoka kabisa eti Jua kuna wakati linazima
 
Back
Top Bottom