Je hi inathibitisha dunia (Earth) siyo tufe (sphere)?

Je hi inathibitisha dunia (Earth) siyo tufe (sphere)?

Soma kwa makini,
Jua siyo moja yapo takribani matatu hadi matano. Jua haya huzima yafikapo magharibi na kuanza kurudi mashariki huku lile la mashariki uwaka na kuanza kuja magharibi ni maisha ya viumbe hivi vyenye furaha katika kila siku.

Mwezi ni mraba wa LED (mfano wa bracelets za mraba ziwakazo wakati wa kiza) ambavyo mwezi huwezi kuonesha mwanga wake halisi wakati wa jua. Uonekana pale jua linapozima.

Nyota ni moja kubwa Sana miale yake ndizo hizi nyota tuonazo.

Una prove vp kuwa mwez ni mraba na kuna Jua zaid ya 3
 
Kwa vipindi tofauti nimekuwa nikipingana na NASA na allies wake 'JF Wamejaa' ya kuwa dunia haina umbo la tufe 'Spherical Shape' kama tunavyoaminishwa, kufundishwa na kukaririshwa.

Huku nikieleza ya kuwa dunia ni ubapa uliokuwa na bonde kidogo nikitolea mfano sahani maalum zilizotengenezwa kwa plastiki nyepesi na hutumiwa sana katika hafla, sherehe au misiba kwa ajiri ya chakula. (Recyclable Plastic Plates)

Zifuatazo ni tafiti na mifano juu ya utafiti huu wa dunia ya tufe (Sphere) vs dunia ubapa (Flat Bense);-
- Kama dunia ni sphere kweli basi US amekaribiana na Russia Federation kwa ukaribu wa Anchorage, Alaska - US kwa Anadyr, Verkhoyansk - Russia Federation wakitenganishwa na Chukchi Sea kwa upande wa mashariki na Bering Sea kwa upande wa magharibi. (Kama tunavyo aminishwa) Kijiografia naweza kutumia mfano wa Kigali, Rwanda na Bukoba, Tanzania umbali uliokuwepo kutoka Anchorage, Alaska hadi Anadyr, Verkhoyansk unatumia masaa 5+ ilhali Kigali hadi Bukoba ni dakika 45 arobaini tano hadi saa 1 moja. Kama kweli dunia ni duara/sphere Anchorage hadi Anadyr ilitakiwa itumike saa 1 moja. *Usafiri wa ndege

- Zanzibar na Comoros, dunia hii ya NASA na allies wake inaonyesha Comoros imepakana na Palma katika rasi ya Cape Delgado ikumbukwe Palma imekaribiana na Mtwara unaweza kusema ni Dar es Salaam City Center hadi Bagamoyo pia tambua Dar imepakana na Zanzibar ikitenganishwa kwa maji. Kinachoshangaza Zanzibar (Urban West) wao hufika Comoros kwa muda mfupi kuliko Palma waliotenganishwa na Comoros kwa Cape Delgado (According to NASA). Ukistajaabu ya Sphere utayaona ya Sufuria hapa....

- Ndege (Aero) kupaa kwa kufuata Northern-Eastern direction. Kama dunia ni sphere itakuwaje Ndege isafiri kwa direction hiyo ikufuata upepeo na mawingu makali yanayotoka upande wa mashariki?!

- Nile kutoka Ziwa Victoria kuelekea Midteranean Sea, Uele River kutoka Central Africa Rep. Kuleta Victoria na Kagera River kutoa Victoria kupeleka Lake Tanganyika, Kalemie kutoa Tanganyika kupeleka Atlantic Ocean. Aiseee hapa hadi uchanganyikiwe ndio uelewe

- Kutoka Sekondi - Takoradi, Ghana (Gulf of Guinea) ambayo ni North Western Africa hadi Port Gentil, Gabon ambayo ni Central Western Africa ni sawa kutoka Dar es Salaam Eastern Africa hadi hapo Port Gentil lakini anayetoka Sekondi - Takoradi anitafuta Port Gentil kwa kupanda yani North East ilhali mwanaume wa Dar anapanda kwa North East direction. Haki ya Ngowi NASA wanaumbuka zamu hii

- Ukiwa Copenhagen (Københavin) Canton ya Odense Zealand kwa Jon Stefano ni karibu sana kufika Malmö au Helsingborg yani Copenhagen ni Ilala na Malmö ni Kigamboni kinachoshangaza mtu anayetoka Cuxhaven kuelekea Copenhagen anaelekea North East huyo huyo anayetoka Cuxhaven kuelekea Helsingborg anakuwa anaelekea North West, lakini NASA wametumianisha hawa Copenhagen, Helsingborg na Malmö wote wapo East. *Cuxhaven amesimama kama Kisarawe

- Persian Gulf sasa hapa NASA tuwashike kidole jichoni, Hawa na NASA wanadai dunia ni sphere na Middle East indaiwa kuwa kama mlivoaminishwa, Je Meli hii ya US yenye jina la mtu inapita wapi kufika Strait of Hormuz?!

Mambo ni mengi lakini nimechoka kuandika, Kwanza tuchambue haya.

BA in Geouniorld! 😂


Mkuu wewe umechambua mambo ya Geography tu na wala hujazungumzia juu ya mambo yanayoathiri mienendo ya vyombo vya usafiri juu ya uso wa dunia, ukumbuke dunia inajizungusha katika mhimili wake na huo mzunguko unayo effect kubwa kwa usafiri wa Meli, Ndege na Magari kwa umbali mrefu.

Soma " the effects of Corriolis force on aviation"--(kama sijasahau), hiyo ni topic ya mechanics.

Leo sayansi imekwenda juu kwani hata picha za satellites zinaonyesha umbo la dunia ikiwa "spherical".
 
Sidhani kama kuna project ya kisayansi umeifanya ili kuchunguza haya uyasemayo?

Ila kama una uhakika andika criticism sasa kuhusu hao NASA
 
Sidhani kama kuna project ya kisayansi umeifanya ili kuchunguza haya uyasemayo?

Ila kama una uhakika andika criticism sasa kuhusu hao NASA


Some how yupo sahihi, ila katika maelezo yake labda alikuwa hajui kitu kinachoitwa "coriolis effects" inayo act kwenye vyombo vya usafiri juu ya uso wa dunia inayojizungusha kwenye mhimili wake, na hata tornadoes na hurricanes na sea currents zinasababishwa na hiyo "coriolis force".

Katika "mechanics" tumesoma force= rate of change of momentum, kwa sababu dunia inajizungusha hivyo sasa torque (angular force/coriolis force) hutokea pindi chombo kinapoelekea kusini au kaskazini kutoka ikweta au hata kama kitaekekea katika uelekeo katika angle fulani kwa sababu katika Ikweta mzunguko wa dunia (angular velocity) ni maximum na chombo kikielekea south au north kunakuwepo na change of angular velocity na hivyo chombo kinakumbwa na hiyo "coriolis force".
 
Back
Top Bottom