Je hi inathibitisha dunia (Earth) siyo tufe (sphere)?

Je hi inathibitisha dunia (Earth) siyo tufe (sphere)?

Kwa vipindi tofauti nimekuwa nikipingana na NASA na allies wake 'JF Wamejaa' ya kuwa dunia haina umbo la tufe 'Spherical Shape' kama tunavyoaminishwa, kufundishwa na kukaririshwa.

Huku nikieleza ya kuwa dunia ni ubapa uliokuwa na bonde kidogo nikitolea mfano sahani maalum zilizotengenezwa kwa plastiki nyepesi na hutumiwa sana katika hafla, sherehe au misiba kwa ajiri ya chakula. (Recyclable Plastic Plates)

Zifuatazo ni tafiti na mifano juu ya utafiti huu wa dunia ya tufe (Sphere) vs dunia ubapa (Flat Bense);-
- Kama dunia ni sphere kweli basi US amekaribiana na Russia Federation kwa ukaribu wa Anchorage, Alaska - US kwa Anadyr, Verkhoyansk - Russia Federation wakitenganishwa na Chukchi Sea kwa upande wa mashariki na Bering Sea kwa upande wa magharibi. (Kama tunavyo aminishwa) Kijiografia naweza kutumia mfano wa Kigali, Rwanda na Bukoba, Tanzania umbali uliokuwepo kutoka Anchorage, Alaska hadi Anadyr, Verkhoyansk unatumia masaa 5+ ilhali Kigali hadi Bukoba ni dakika 45 arobaini tano hadi saa 1 moja. Kama kweli dunia ni duara/sphere Anchorage hadi Anadyr ilitakiwa itumike saa 1 moja. *Usafiri wa ndege

- Zanzibar na Comoros, dunia hii ya NASA na allies wake inaonyesha Comoros imepakana na Palma katika rasi ya Cape Delgado ikumbukwe Palma imekaribiana na Mtwara unaweza kusema ni Dar es Salaam City Center hadi Bagamoyo pia tambua Dar imepakana na Zanzibar ikitenganishwa kwa maji. Kinachoshangaza Zanzibar (Urban West) wao hufika Comoros kwa muda mfupi kuliko Palma waliotenganishwa na Comoros kwa Cape Delgado (According to NASA). Ukistajaabu ya Sphere utayaona ya Sufuria hapa....

- Ndege (Aero) kupaa kwa kufuata Northern-Eastern direction. Kama dunia ni sphere itakuwaje Ndege isafiri kwa direction hiyo ikufuata upepeo na mawingu makali yanayotoka upande wa mashariki?!

- Nile kutoka Ziwa Victoria kuelekea Midteranean Sea, Uele River kutoka Central Africa Rep. Kuleta Victoria na Kagera River kutoa Victoria kupeleka Lake Tanganyika, Kalemie kutoa Tanganyika kupeleka Atlantic Ocean. Aiseee hapa hadi uchanganyikiwe ndio uelewe

- Kutoka Sekondi - Takoradi, Ghana (Gulf of Guinea) ambayo ni North Western Africa hadi Port Gentil, Gabon ambayo ni Central Western Africa ni sawa kutoka Dar es Salaam Eastern Africa hadi hapo Port Gentil lakini anayetoka Sekondi - Takoradi anitafuta Port Gentil kwa kupanda yani North East ilhali mwanaume wa Dar anapanda kwa North East direction. Haki ya Ngowi NASA wanaumbuka zamu hii

- Ukiwa Copenhagen (Københavin) Canton ya Odense Zealand kwa Jon Stefano ni karibu sana kufika Malmö au Helsingborg yani Copenhagen ni Ilala na Malmö ni Kigamboni kinachoshangaza mtu anayetoka Cuxhaven kuelekea Copenhagen anaelekea North East huyo huyo anayetoka Cuxhaven kuelekea Helsingborg anakuwa anaelekea North West, lakini NASA wametumianisha hawa Copenhagen, Helsingborg na Malmö wote wapo East. *Cuxhaven amesimama kama Kisarawe

- Persian Gulf sasa hapa NASA tuwashike kidole jichoni, Hawa na NASA wanadai dunia ni sphere na Middle East indaiwa kuwa kama mlivoaminishwa, Je Meli hii ya US yenye jina la mtu inapita wapi kufika Strait of Hormuz?!

Mambo ni mengi lakini nimechoka kuandika, Kwanza tuchambue haya.

BA in Geouniorld! [emoji23]
Kama ungesoma soma soma Geography na Physics japo kidogo usinge ereza upuzi kama huu
 
Kama ungesoma soma soma Geography na Physics japo kidogo usinge ereza upuzi kama huu
Eleza na Leta uthibitisho dunia ni tufe/duara kwa hoja udhihirishe kusoma kwako Geography na Physics.
 
Hata hiyo simu unayotumia huamini kwamba ni simu.
Naamini ni simu kwa sababu nai-feel, nashika, naiona kiuhalisia na katika picha hufanana.

Je umewahi kuiona hiyo dunia tufe/duara?
Mimi dunia Flat Bense nimeona na nime-i feel.
 
..
IMG-20190424-WA0021.jpeg
 
Ukisimama dar zanzibar utapaona? Kama dunia ni flat
Inategemea wewe ni kiumbe gani. Mwanadamu sio rahisi lakini wanyama na ndege warukao wanaweza.
Sababu zinazopelekea kutopaona ni sababu ya vichuguu katika tambarale ya dunia. Mfano, Uwanja wa mpira mita 100 ukiwekwa kifusi katikati huwezi kuona goli la upande wa pili.
 
Inategemea wewe ni kiumbe gani. Mwanadamu sio rahisi lakini wanyama na ndege warukao wanaweza.
Sababu zinazopelekea kutopaona ni sababu ya vichuguu katika tambarale ya dunia. Mfano, Uwanja wa mpira mita 100 ukiwekwa kifusi katikati huwezi kuona goli la upande wa pili.
Kasimame pwani Kama zanzibar utapaona, Baharini hakuna vichuguu wala milima wala mabonde
 
Kasimame pwani Kama zanzibar utapaona, Baharini hakuna vichuguu wala milima wala mabonde
Baharini vipo vizuri tu maana hata visiwa ni vipande vya ardhi vilivyoanzia chini hadi kuonekana juu.

Baharini kuna majabari, mapango na kila kitu ukionacho nchi kavu ispokuwa vimezungukwa na maji.
 
Mbona umepanick kaka?! Oke, Sahani je nimesema sahani gani? (Flat Bense) Bense Bense soma tena unielewe.

Sijasema nimedanganywa bali wewe ndiye umedanganywa.

Sasa sahani si inajulikana mzee,hata bila wewe kuitaja na umeianisha huko juu...?!
 
Mtoa mada pole sana kwa umbumbumbu uliozidi kipimo !! Unasikitisha SANA!!!! Yaani hata elimu ya msingi ya jiografia au basi form one na two hukupita ukaona dunia iliyochorwa kwenye tufe na jinsi Urusi kaskazini ilivyo karibu na America ya kaskazini (Alaska)? Nenda kwenye duka la stationery waambie wakuonyeshe (au kama una hela wakuuzie) tufe la dunia la kufundishia jiografia. Kama dunia ingekuwa flat ndege inayoruka kutoka nchi iliyoko mwishoni si ingeanguka huko ambako hakuna nchi ?
 
Hamna kitu kama hicho.
Ninachofahamu ni mwezi na jua wanakuwa wanapishana kubadili makazi yao maana huchoka pia.
Ndio maana nkataka unielimishe. Elezea basi hua inatokeaje? zinabadilishana vip makazi, usiku na mchana jua na mwezi vinakuaje. n.k
 
Zipo sahani design nyingi ndio maana nimejaribu kuleta design mbadara.

Tofauti ya sahani useme kwenye mapambo tu,ila umbo la flat ndip umbo anuai la sahani na ndio umbo ambalo hufanya tuweze kutofautisha sahani na bakuli.

Au unataka kusema sahani sio flat ?
 
Back
Top Bottom