Je hi inathibitisha dunia (Earth) siyo tufe (sphere)?

Fanya tafiti zako usije na tafiti za watu kutudanganya
.
Hizi tafiti ni zangu kwa kushirikiana na Xesa Angelo wa Uswiss.
Ukiangalia mwanzo wa profile yangu utaona kuna mahala niliwahi kuleta majibu kwa kipindi hicho.
 
Kuna line inatenganisha usiku na mchana inaitwa terminator line. Natamani kujua kwenye ulimwengu ulio kama sahani kama huu mstari utakuwa straight line au curved. Halafu na mwezi je? nao una umbile gani? unazunguka dunia kinyume nyume au kimbelembele au unapita juu chini juu chini?
Hili la usiku na mchana nimeandika post nambari 63.
 
Wote tuko sahihi kuanzia Mleta uzi mpaka sisi wachangiaji. Tena kupingana na kukosoana huku ndio kuna uonesha usahihi wa mawazo yetu mazuri.
ila mimi nina maswali naomba nisaidiwe majibu na yeyote humu.
Je Bila kufindishwa/kujulishwa kuwa dunia ni mviringo, sisi wenyewe tusingejua?
Kama mwanzo tungefundishwa dunia ni tambarate mfano wa sahani au disc, tungetumia hoja gani kupinga hilo?
Na hapo ulipo wewe mwenyewe na mazingira yakuzungukayo unajiona upo ktk uduara au utambarare wa dunia?
Na mwisho, wanaompinga mleta uzi wanajua usiku na mchana au majira ya mwaka yanavyopatikana katika dunia ni flat/tambarare? Kama hawajui je wana haki ya kumpinga?
Mleta uzi anapinga yale tunayoyajua so nae apingwe kwa kuyakanusha anayoyajua yeye.
Mimi binafsi kabla ya kusikia kufundishwa kuwa dunia ni duara nilijua na niliamini ni FLAT.
Na baada ya kifundishwa na kuaminishwa dunia duara nilibaki na wasiwasi na sikuamini juu ya hili.
 
Soma kwa makini,
Jua siyo moja yapo takribani matatu hadi matano. Jua haya huzima yafikapo magharibi na kuanza kurudi mashariki huku lile la mashariki uwaka na kuanza kuja magharibi ni maisha ya viumbe hivi vyenye furaha katika kila siku.

Mwezi ni mraba wa LED (mfano wa bracelets za mraba ziwakazo wakati wa kiza) ambavyo mwezi huwezi kuonesha mwanga wake halisi wakati wa jua. Uonekana pale jua linapozima.

Nyota ni moja kubwa Sana miale yake ndizo hizi nyota tuonazo.
Asante, ni ngumu sana kumeza. Sasa majira je? Joto, baridi nk inakuwaje? halafu hili sahani na lenyewe linazunguka? Maana kwenye space kila kitu kinazunguka likiwemo hilo jua, galaxy ya milk way yote pia ipo kwenye spinning na tupo kwenye movement.
 
Yaani siaminigi kama kuna watu wanajitia ulofa mpaka leo wasilielewe hili,

Si hata angalia ndege ya Seoul (South Korea) to Los Angeles (USA) inachukua muda gani? Utajua ukaribu ukiopo baina ya hiyo miji au ndo kujitia mjiinga
 
Kuna line inatenganisha usiku na mchana inaitwa terminator line. Natamani kujua kwenye ulimwengu ulio kama sahani kama huu mstari utakuwa straight line au curved. Halafu na mwezi je? nao una umbile gani? unazunguka dunia kinyume nyume au kimbelembele au unapita juu chini juu chini?
safi kabisa, sasa chakufanya tafuta evidence za wanaoamini ni flat juu ya usiku na mchana unavyopatikana then utakua unapinga kitu ukijuacho sasa hapa unawezaje kukataa kitu usichokijua kinavyopatikana.

zaidi ni kwamba hoja za dunia ni flat zipo katika topic kama zile hoja za dunia mviringo yaani ni elimu kamili so ni juu yakuzilinganisha hoja za hawa na wale inajumlisha na ukionacho wewe unabaki na amani moyoni yakuujua au kuuamini ukweli, tatizo ni pale mnapomchukulia mleta uzi kama ni yeye tuu kakurupuka kuyaongelea haya ya umbo la dinia.
 
Asante, ni ngumu sana kumeza. Sasa majira je? Joto, baridi nk inakuwaje? halafu hili sahani na lenyewe linazunguka? Maana kwenye space kila kitu kinazunguka likiwemo hilo jua, galaxy ya milk way yote pia ipo kwenye spinning na tupo kwenye movement.
Hapana sio kila kinazunguka na Flat Bense Earth haizungukia bali baadhi ya vitu ndivyo uzunguka.
-
Hali ya Hewa
Kiuhalisia JUA linalokuwa zamu linapozima (huzima kwa kififia/kupungua) kuna nyakati huzima na kutonesha dalili na mara nyingine hubakiza dalili ya kuwaka. 'Unaweza kuona nyakati mbingu hubakia na hali ya uwekundu au mwanga jua'
Hivyo endapo halitozima moja kwa moja joto lazima hutokea. Je kwanini kuna maeneo joto uwepo siku zote/mara nyingi mfano Dar? Hapa ikumbukwe linapozima huanza safari ya kurudi makao makuu na wakati huo makao makuu kuna Jua hutumwa kuja, hivyo jua hili linalokuwa linarudi makao makuu hujikuta kila wakati lipo katika eneo hilo (ukanda huo) mfano Dar na Middle East.
-
Mvua
Ikumbukwe Flat Bense Earth ina boundary iliyochongwa kama rainbow inazuia pembe na pembe huku imeninginia angani, mvuke na moshi huenda na kujikusanya hapo juu na inafika wakati hulainika na kuwa maji na kurudi ardhini.
-
Upepo
Hapa bado nafanya tafiti. Lakini uchunguzi wa awali unaonyesha kuna kitu kimepewa jukumu la kutoa/puliza upepo, na inaonyesha kinavyopata nguvu ndivyo upepo huwa wa Kasi na mkubwa na endapo huchoka basi upepo upungua.
 
-
Jibu kwa hoja! Kwanini unaamini dunia ni tufe?
Mimi nimeamua kukupa hoja kupitia mrengo ulioutumia kutoa hoja zako mfano ukaribu wa Marekani na Urusi.Nimekuuliza kwa nini Alaska ambayo kwa Sasa ipo Marekani inapakana na Urusi na zamani ilikuwa sehemu ya Urusi Kama dunia sio tufe?
 
Hapa kaka usipofikiri unakuwa unakosea sana, maana nimejipanga.
Mayotte ni France, St. Helena ni UK, Gibralta ni UK je endapo nikijitoa ufahamu na kutumia hizi point huoni kwamba utakimbia?
 
safi kabisa, sasa chakufanya tafuta evidence za wanaoamini ni flat juu ya usiku na mchana unavyopatikana then utakua unapinga kitu ukijuacho sasa hapa unawezaje kukataa kitu usichokijua kinavyopatikana.

zaidi ni kwamba hoja za dunia ni flat zipo katika topic kama zile hoja za dunia mviringo yaani ni elimu kamili so ni juu yakuzilinganisha hoja za hawa na wale inajumlisha na ukionacho wewe unabaki na amani moyoni yakuujua au kuuamini ukweli, tatizo ni pale mnapomchukulia mleta uzi kama ni yeye tuu kakurupuka kuyaongelea haya ya umbo la dinia.
Sijampinga popote wala sijamwambia kakurupuka. Sanasana nimemtakia kila la heri kwenye utafiti wake. Mm si mwanasayansi boss zaidi ya kusoma soma na kuangalia videos za wanasayansi sina namna nyingine ya kumpinga. Halafu wapo binadamu wengi sana waliamini na wanaamini dunia si mduara, tangu miaka ya 80's wapo sema hoja zao zina ukakasi mwingi sana ukilinganisha na wanasayansi wanaosema ni duara na uthibitisho wanaoutoa. uzuri kwa sasa binadamu Tuna teknolojia nzuri sana kuthibitisha umbile la dunia.
 
Hapana sio kila kinazunguka na Flat Bense Earth haizungukia bali baadhi ya vitu ndivyo uzunguka.
-
Hali ya Hewa
Kiuhalisia JUA linalokuwa zamu linapozima (huzima kwa kififia/kupungua) kuna nyakati huzima na kutonesha dalili na mara nyingine hubakiza dalili ya kuwaka. 'Unaweza kuona nyakati mbingu hubakia na hali ya uwekundu au mwanga jua'
Hivyo endapo halitozima moja kwa moja joto lazima hutokea. Je kwanini kuna maeneo joto uwepo siku zote/mara nyingi mfano Dar? Hapa ikumbukwe linapozima huanza safari ya kurudi makao makuu na wakati huo makao makuu kuna Jua hutumwa kuja, hivyo jua hili linalokuwa linarudi makao makuu hujikuta kila wakati lipo katika eneo hilo (ukanda huo) mfano Dar na Middle East.
-
Mvua
Ikumbukwe Flat Bense Earth ina boundary iliyochongwa kama rainbow inazuia pembe na pembe huku imeninginia angani, mvuke na moshi huenda na kujikusanya hapo juu na inafika wakati hulainika na kuwa maji na kurudi ardhini.
-
Upepo
Hapa bado nafanya tafiti. Lakini uchunguzi wa awali unaonyesha kuna kitu kimepewa jukumu la kutoa/puliza upepo, na inaonyesha kinavyopata nguvu ndivyo upepo huwa wa Kasi na mkubwa na endapo huchoka basi upepo upungua.
Ok mkuu, Kama ni sahihi kuwa linazima jua ni kwanini jua linapozama kama nipo kwenye ardhi chini nikiliangalia(sun set) ile linaishilia tu nikipanda ghorofa kama ya tano tena naliona likizama tena. Au jaribu kulala flat ukiwa beach jua likiwa linazama ile limeishia tu simama ghafla utaliona tena likipotea. Kama sio dunia inazunguka kuliacha jua, kwanini lizime kwa mtindo huu?
 
Sababu moja kubwa inatokea hapa ni kuzima kwa kufifia siyo ya kwamba linazima ghafla kama Bulb, hivyo kufanya concentration yako kupungua.
 
Back
Top Bottom