Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 10,595
- 13,980
Hezbullah wako very strong nyie subirini kama mambo yakiendekea hivi hamjikutu kaizunguka Tela Aviv yoteView attachment 3369573
wenzeko hao na misile zao washapelekwa kuzimu long time ago, hizo zilikua tambo tuu
Hezbullah hawezi ingia vita sababu ya politics kule Lebanon lakini si ajabu wakaingia vitani wakati Iran akiwambia waingie.
Jihad ndyo umewarudia wao sasa mabosi wa nchi wanahamia mafichoni sasa, Israel wanishi anga ya Iran na kuchagua target as they wish "OP Rising Lion🦁" hii ni Darby ya kuheshimiana.