Je, Hezbolah yuko wapi kumsaidia Boss wake Iran?

Je, Hezbolah yuko wapi kumsaidia Boss wake Iran?

Sasa hio oil depot ndo unashangaa, fungua bbc huko wanaelezea misiba ya wayahudi
1000601828.jpg

nimefungua haya ebu nambie kati ya israel na iran wapi kuna misiba?
 
mwenzako anawekeza kwenye technologia na intellectual wewe unawekeza kwenye allah akbar
 
ndugu zako wanachapika asubuhi mchana usiku
Wewe uko bize jf kutema mate
OP RISING LION 🦁 ni:BanHammer:Viongozi wa Iran wameanza kuji-exile, na wanainchi wa Iran wameanza kushangilia angamizk.la utawala wa "Suprime leader" ambaye ame kimbia nchi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom