Tanganian
JF-Expert Member
- Jan 27, 2025
- 4,939
- 8,587
Sasa ni njia ya kujiandaa ,wewe unaonaja na kule kwenu hamna umeme ,watu wanaishi kama panya kwenye mashimo ...Si mjibu kwa mara hii ,sogeza kete baba ...

ayatolah unajua kwa sasa anaishi wapi?Jihadists hao kwa imani yao ,unaumia wewe mgalatia wa bonyokwa ,hao ni mashahidi ni njia yao wa ushindi ..
Yule asiyepiga mswaki na meno yake ya njano kama nguruwe anakimbia nchi ...zile kombora zikipigwa kwa pamoja nchi nzima inafutika ,jitafakari acheni sarakasi za kuvizia 😀😀
View attachment 3369571
ayatolah unajua kwa sasa anaishi wapi?
Iran hahitaji msaada wa mtu anashusha kipigo cha mbwa kokoTumeona kwamba Syria alipovamiwa basi hezbolah hawakusita kuingia vitani kumsaidia swahiba wao Assad. vivo hivo Hamas walipoanza kupokea kichapo Hezbolah nao hawakubaki nyuma walianza kufyatua makombora kuendelea miji ya Israel wakisema kwamba hadi Israel atakapoacha kushambulia palestina na wao ndo wataacha.
Hivo kwa vyovyote vile wasingekaa kimya baada ya kuona "BOSS" wao iran akichezea kichapo kutoka IDF. Nashangaa hadi sasa sijasikia wakisema wamerusha kombora lolote kuelekea Isrel.
Nauliza Je? Hezbolah kwa sasa wako wapi? naombeni wadau mnisaidie kwa hilo
Asante
Eti eeeh, vikombora vinaangukia misituni?sasa vikombora vingine vinaangukia jangwani mara vingine misituni ni vikombora gani
Kama unazunguka kwenye anga langu lakini hakuna cha maana unafanya kwanini nikuzuie!?kama wana makombora haswa kwa nini wasipige ndege za israel ambazo kwa sasa si zinazunguka anga lote la iran?
Unataka kuniambia mpaka sasa myahudi kapoteza makanda na top scientist wangapi?Marekani yuko wapi kumsaidia shoga yake Israel?
Maana michuma chuma ya Iron Dome na THAAD aliyompa haimsaidii Myahudi kwa lolote
Vinu vya Mwajemi vinashuka tu kufanya maangamizi kila kona ya Israel
Eti eeeh, vikombora vinaangukia misituni?
View: https://x.com/iran_Military_0/status/1934088809395650832
Kama unazunguka kwenye anga langu lakini hakuna cha maana unafanya kwanini nikuzuie!?
Unazunguka kwenye anga langu lakini uwezo wangu wa kukushambulia upo palepale, si bora nikuache tu unendelee kumaliza mafuta?
Au wewe unaona hili suala limekaaje Fran-puru?

Iran hahitaji msaada wa mtu anashusha kipigo cha mbwa koko
Eti eeeh, vikombora vinaangukia misituni?
View: https://x.com/iran_Military_0/status/1934088809395650832
Kama unazunguka kwenye anga langu lakini hakuna cha maana unafanya kwanini nikuzuie!?
Unazunguka kwenye anga langu lakini uwezo wangu wa kukushambulia upo palepale, si bora nikuache tu unendelee kumaliza mafuta?
Au wewe unaona hili suala limekaaje Fran-puru?
Enheee!View attachment 3369612
kweli hata mi naona anashusha kipigo cha mbwa koko
Mtu kakatwa mikono na miguu kabaki kiwiliwili tu atapigana vipi?Tumeona kwamba Syria alipovamiwa basi hezbolah hawakusita kuingia vitani kumsaidia swahiba wao Assad. vivo hivo Hamas walipoanza kupokea kichapo Hezbolah nao hawakubaki nyuma walianza kufyatua makombora kuendelea miji ya Israel wakisema kwamba hadi Israel atakapoacha kushambulia palestina na wao ndo wataacha.
Hivo kwa vyovyote vile wasingekaa kimya baada ya kuona "BOSS" wao iran akichezea kichapo kutoka IDF. Nashangaa hadi sasa sijasikia wakisema wamerusha kombora lolote kuelekea Isrel.
Nauliza Je? Hezbolah kwa sasa wako wapi? naombeni wadau mnisaidie kwa hilo
Asante
Nyie ingieni mpaka ndani ila mtaishi kweny mashimo kama panya, usicheze na shia mbwa nyie ...Taifa la Mungu mpaka Mungu wao anaogopa shia.
Bandari kuu ya Iran, inayo handle 80%ya containers imeteketezwa, fighter jets za Israel zaidi ya 100 ziko anga la Iran kutekeleza Operation Rising Lion 🦁