Je, Hezbolah yuko wapi kumsaidia Boss wake Iran?

Nyie ingieni mpaka ndani ila mtaishi kweny mashimo kama panya, usicheze na shia mbwa nyie ...Taifa la Mungu mpaka Mungu wao anaogopa shia.
Ayatolah kwani anaishi wapi mzee? sasa yeye si ndie panya mkubwa?
 
Wairan wana maisha yao ,mbwa mnatumia muda kuwaongelea wairan ..Sukuma keta ya mwisho kama ukishindwa kuwamaliza hiyo nchi haitakuwepo maana hata Mung wao kashindwa kuzuia zile chuma za masafa marefu.😅
1000096148.png
 
Nyie ingieni mpaka ndani ila mtaishi kweny mashimo kama panya, usicheze na shia mbwa nyie ...Taifa la Mungu mpaka Mungu wao anaogopa shia.
shia mwenyewe ameishia tuu kurusha makombora kama hamas, mwenzake yupo ndani ya ardhi yake anashusha kichapo na ameshindwa kumdhibiti sasa jeuri yake iko wapi mtu anaingia kwako anakupiga na huwezi kumfanya chochote zaidi ya kurusha vikombora uchwara?
 
Dogo hujielewi fuatilia huko watu wanalia 😅😅😅Ni kifiro tu kwenda mbele ,na jamaa anasubiri msukume kete ya mwisho amalize mchezo ...

Hana ujasusi wa umbea yeye anapiga head-to-head ,nyie majungu mengi na umbea ,kazi fitna sio kwa shia hawana fitna ni jihadi.
1000096152.jpg
1000095908.jpg
 
ndege sa israel zinajaza mafuta kwenye anga la iran yani sasa hivi wameshapafanya iran kama sebuleni kwao je iran si alikua hapa anajitapa anazo airdefense bora zaidi duniani sasa ziko wapi?
Ooooh, sasa wanafanya nini kwenye anga la Iran kama bado Iran anaendelea kuwatembezea mkong'oto?
Haya ni matumizi mabaya ya pesa za Mmarekani!
Kama una uwezo wa kuzurura na fighter jets kwenye anga la adui unatakiwa uimalize vita mapema, unazurura unavyotaka kwenye anga la adui halafu bado unatembezewa kichapo!?
😂😂😂😂
 
Wairan wana maisha yao ,mbwa mnatumia muda kuwaongelea wairan ..Sukuma keta ya mwisho kama ukishindwa kuwamaliza hiyo nchi haitakuwepo maana hata Mung wao kashindwa kuzuia zile chuma za masafa marefu.😅
View attachment 3369558
kwa tambo alizokua anazionyesha iran na viongozi wake kuuliwa kama kuku ni hamnazo kabisa
 
Attachments

  • Screenshot_20250615-133115.jpg
    Screenshot_20250615-133115.jpg
    65.3 KB · Views: 5
Dogo hujielewi fuatilia huko watu wanalia 😅😅😅Ni kifiro tu kwenda mbele ,na jamaa anasubiri msukume kete ya mwisho amalize mchezo ...

Hana ujasusi wa umbea yeye anapiga head-to-head ,nyie majungu mengi na umbea ,kazi fitna sio kwa shia hawana fitna ni jihadi.
View attachment 3369564View attachment 3369566
hizo misile zote zimeshachabangwa kumbe hujui mkuu? ayatola mwenyewe sa ivi yuko shimoni
 
kwa tambo alizokua anazionyesha iran na viongozi wake kuuliwa kama kuku ni hamnazo kabisa
Jihadists hao kwa imani yao ,unaumia wewe mgalatia wa bonyokwa ,hao ni mashahidi ni njia yao wa ushindi ..

Yule asiyepiga mswaki na meno yake ya njano kama nguruwe anakimbia nchi ...zile kombora zikipigwa kwa pamoja nchi nzima inafutika ,jitafakari acheni sarakasi za kuvizia 😀😀
1000095604.png
 
hizo misile zote zimeshachabangwa kumbe hujui mkuu? ayatola mwenyewe sa ivi yuko shimoni
Naona unaleta taarabu hapa ,wenzio wanaziba media huku familia zinaenda na mziki bado ,kanchi kadogo watakimbia wapi 😀😀
 
Ooooh, sasa wanafanya nini kwenye anga la Iran kama bado Iran anaendelea kuwatembezea mkong'oto?
Haya ni matumizi mabaya ya pesa za Mmarekani!
Kama una uwezo wa kuzurura na fighter jets kwenye anga la adui unatakiwa uimalize vita mapema, unazurura unavyotaka kwenye anga la adui halafu bado unatembezewa kichapo!?
😂😂😂😂
mzee anaetembezewa kichapo kati ya iran na israel ni nani? tuletee takwimu hapa hadi sasa iran washakufa wangapi na israel washakufa wangapi?
 
shia mwenyewe ameishia tuu kurusha makombora kama hamas, mwenzake yupo ndani ya ardhi yake anashusha kichapo na ameshindwa kumdhibiti sasa jeuri yake iko wapi mtu anaingia kwako anakupiga na huwezi kumfanya chochote zaidi ya kurusha vikombora uchwara?
Acha porojo wewe, unafikiri unaongea na familia yako humu.
Eti vikombora uchwara!
😂😂😂😂

View: https://x.com/iran_Military_0/status/1934088809395650832

View: https://x.com/iran_Military_0/status/1934089172651753629

View: https://x.com/iran_Military_0/status/1934092049990521112
 
Naona unaleta taarabu hapa ,wenzio wanaziba media huku familia zinaenda na mziki bado ,kanchi kadogo watakimbia wapi 😀😀
1000601482.jpg

wenzeko hao na misile zao washapelekwa kuzimu long time ago, hizo zilikua tambo tuu
 
View attachment 3369573
wenzeko hao na misile zao washapelekwa kuzimu long time ago, hizo zilikua tambo tuu

Mtafutwa nyie na mashia , wazee wa jihad hata imamu wao kafia vitani...Hao mashia kwenye sherehe zao za imamu wao wanajipiga mapanga na wengi wanakufa ...Hawaogopi kufa ila nyie mbwa mmepewa kete ya mwisho msogeze hiyo nchi haitakuwepo 😀😀😀mtabadilisha mistari kwenye Bibliq muda sio mrefu
1000096153.png
 
sasa vikombora vingine vinaangukia jangwani mara vingine misituni ni vikombora gani kama wana makombora haswa kwa nini wasipige ndege za israel ambazo kwa sasa si zinazunguka anga lote la iran? kwa nini wasitumie makombora yao kuzuia vinu vyao vya nuklia visilipuliwe?
 
mzee anaetembezewa kichapo kati ya iran na israel ni nani? tuletee takwimu hapa hadi sasa iran washakufa wangapi na israel washakufa wangapi?
Mimi wala sitaki takwimu!
Mimi nataka kitu nachoweza kukichambua baada ya kujiridhisha na macho yangu, nayaamini machi yangu zaidi.
Hizo takwimu baki nazo wewe.

View: https://x.com/iran_Military_0/status/1934088809395650832

Vitu kama hizi mimi ndio naziamini.

View: https://x.com/iran_Military_0/status/1934092049990521112

Vitu kama hizi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom