Je, Hayati Mkapa hakuwa na Chawa? Sioni wanaomkumbuka

Ndio maana tunawashauri viongozi wa Nchi yetu wajikite kutimiza malengo na uzalendo kwa Taifa lao waachane na vipaumbele vya vyama vyao.

Chawa huwa wanakuzunguka na kukupigia makofi pale tu unapokuwa Madarakani.

Ukiondoka wanakutupa wanahamia kwa mwingine mwenye uwezo wa kuwapa vyeo, fursa na favor mbali mbali.

Hayati Benajamin Mkapa Rais wa Awamu ya Tatu sioni watu wakikumbuka siku yake ya kuaga dunia.

Ndio kusema yeye hakuwa na kundi la chawa wake?

Je, tarehe yake ya maombolezo ni lini?

Hata Chama nacho kinapotezea mtu muhimu kwao?
Na ukweli ni kuwa Hayati Mkapa was the best president of all. Alifanya mambo makubwa sana. Na kama baada ya Mkapa wangekuja wengine wa namna ile ile, tusingekuwa hapa tulipo leo. Alikuwa ni kiongozi hasa, alitefanya kazi kubwa katika kutengeneza mifumo ya koutawala na uongozi.

Ndiye kiongozi pekee Duniani aliyeweza kushusha inflation toka 30% mpaka 4% ndani ya kioindi cha chini ya miaka 10. Hakuna Rais yeyote Duniani aliyewahi kufanikiwa kufanya hivyo.

Aliuchukua Urais hazina ikiwa na zero balance, akaondoka akiwa ameiacha na $5 billion. Nchi ikatola kwenye usafiri wa umma wa chai maharage na kwenda kwenye mabasi. Barabara zilizokuwa mahandaiki matupu, zikaanza kuwekewa lami.

Jitihada za Mkapa kwenye kufufua uchumi uliokuwa umekufa, tukiwa hatukopesheki, na nchi wahisani wakiwa wamesababisha misaada yote, ndizo ziliifanya nchi kufutiwa madeni yake yote.

Kikwete alipoingia tu madarakani, na kuiona hazina imenona, akazitapanya pesa za hazina kwa kuanzisha mradi wa kipuuzi ulioitwa "mabilioni ya Kikwete", akaanza kufanya utalii wa Dunia nzima akiamini nchi inaweza kuendelea kwa kupewa misaada. Kilwete akasema kuwa huko nje kuna pesa nyingi, kiongozi unachotakiwa kufanya ni kuongea ueleweke, utapewa pesa. Mkapa akang'aka, akasema, "kukitokea siku akapatikana kiongozi, akawaambieni kuwa nchi hii inaweza kuendelea kwa kupewa misaada, mwambieni, wewe ni mpumbavu".
 
Aise huyu Mwamba ana mengi aliyofanya lakini hayasemwi
 
Lakini hawa wa siku hizi hawategemei kura, unalifahamu hilo?
Hawategemei kura ila pia ushawishi kwenye chama una umuhimu, ukikosa ushawishi kwenye chama ndo umeshaaga mashindano, ndo maana wanahangaikaga kupita kwenye chama wakitoboa wanajua huko mbele hakuna shida
 
Ndio maana tunawashauri viongozi wa Nchi yetu wajikite kutimiza malengo na uzalendo kwa Taifa lao waachane na vipaumbele vya vyama vyao.

Chawa huwa wanakuzunguka na kukupigia makofi pale tu unapokuwa Madarakani.

Ukiondoka wanakutupa wanahamia kwa mwingine mwenye uwezo wa kuwapa vyeo, fursa na favor mbali mbali.

Hayati Benajamin Mkapa Rais wa Awamu ya Tatu sioni watu wakikumbuka siku yake ya kuaga dunia.

Ndio kusema yeye hakuwa na kundi la chawa wake?

Je, tarehe yake ya maombolezo ni lini?

Hata Chama nacho kinapotezea mtu muhimu kwao?
kwani nani kaomboleza kifo cha yule mshamba zaidi ya familia yake? Mtu pekee nchi hii siku ya ya kufa inaadhimishwa ni baba wa Taifa. Magufuli ni lile kundi la sukuma gang wanang'ang'aniza na kulazimisha asisahaulike, subiri awamu ya pili ya mama km kuna kima litamkubuka. Sahivi bado wanalitumia jina la Magu kwa maslahi yao binafsi na kupima upepo.
 
Hawategemei kura ila pia ushawishi kwenye chama una umuhimu, ukikosa ushawishi kwenye chama ndo umeshaaga mashindano, ndo maana wanahangaikaga kupita kwenye chama wakitoboa wanajua huko mbele hakuna shida
Okay
 
Ndiyo Rais pekee alijenga uchumi.vitu na usafiri haukupanda bei miaka 10.
 
Makabila ya kusini hayana ushamba, hayana ukabila wala hawapendi sifa za kijinga na ni vichwa. Mkapa alikuwa kichwa hakuwa na muda wa propaganda za kujisifu, kuendekeza ukabila na maujinga mengine km aliyokuwa anayafanya Magu. Magu ni mtu wa makuu, mtu wa makundi, mkabila, mbaguzi, katili. Hajawahi tokea rais wa hovyo nchi hii km yule mshamba wa kisukuma. Halafu kumbuka bila Mkapa Magu asingeiona ikulu. Wasukuma ni washamba, wabaguzi, wanapenda sifa za kijinga.
 
nadhani watu hawamjui mkapa vizuri.

Yule baba hakuwahi kuoeleka na hakupenda watu wa kujipendekeza.
Alikuwa mtu seruous sana

Kitaifa

Mkapa asema hakupenda kutukuzwa​

Jumapili, Novemba 17, 2019 — updated on Februari 19, 2021
mkapap-ic.jpg

Rais mstaafu wa Tanzania, Benjamin Mkapa
Dar es Salaam. Rais mstaafu, Benjamin Mkapa amesema hakupenda kutukuzwa katika kipindi cha utawala wake na katika kudhihirisha hilo aligomea mambo mawili; kuitwa mtukufu na sura yake kuwekwa kwenye fedha.

Sifa hiyo ya mtukufu haitumiki katika anga za siasa isipokuwa neno “mheshimiwa” huku fedha za nchi zikiwa na picha ya muasisi wa Taifa la Tanzania, Julius Nyerere pamoja na michoro ya rasilimali.
Katika kitabu chake cha “My Life, My Purpose (Maisha Yangu, Kusudi Langu)” kilichozinduliwa wiki hii, Mkapa ameeleza sababu za kuchukua uamuzi huo.

ALSO READ​

Rais huyo mstaafu alisema alipiga marufuku kuitwa “mtukufu” kwa kuwa hakutaka kutengeneza mazingira ya ukuu dhidi ya wananchi wengine.
Mkapa anaelezea kuwa alipenda kuitwa “mheshimiwa” sawa na mawaziri, wabunge na wakuu wa mikoa.
“Nilizuia kuitwa mtukufu kwa sababu sikupenda kujikweza kama mtu mwenye nguvu zaidi katika nchi,” anasema Mkapa, ambaye kazi yake ya kwanza kwenye utumishi wa umma ilikuwa ni Bwana Shauri mwaka 1961 mjini Dodoma.
Amesema pia alikataa kuitwa “mtukufu” kwa kuwa aliona kitendo hicho kinaweza kuwagawa Watanzania.
Mkapa, ambaye alikuwa Rais kuanzia mwaka 1995 hadi 2005, anasema alizingatia hilo kwa kuwa nchi ilikuwa inafuata mfumo wa vyama vingi vya siasa.
“Niliamini Tanzania ilikuwa bado nchi changa halafu nianze kujiweka juu ya wengine, niliona halikuwa jambo sahihi pia kipindi naingia kwenye urais tulikuwa tupo kwenye miaka ya mwanzo ya mfumo wa vyama vingi ya siasa,” anaeleza Mkapa.
Mkapa aliingia Ikulu katika uchaguzi wa mwaka 1995, ukiwa wa kwanza wa vyama vingi tangu siasa za ushindani zirejeshwe mwaka 1992.

Msafara mdogo
Mkapa pia anaeleza kuwa hakupenda msafara wake kuwa na magari mengi pamoja na mbwembwe za pikipiki.
“Hii habari ya kuwa na magari mengi kwenye msafara wangu kwa kweli sikupendelea. Niliamini hali hiyo ilikuwa inaleta picha isiyo nzuri kwa watu niliokuwa nawaongoza,” anasema Mkapa.

Mkapa anasema alikuwa anapenda misafara yake iwe na magari machache na bila ya mbwembwe.
Mkapa anagusia pia suala la ulinzi wake, akisema katika kipindi chake alipenda awe na ulinzi usiotoa taswira ya kutisha watu.
Anadai alifahamu fika kuwa kutokana na kuwa Amiri Jeshi Mkuu, usalama wake ulikuwa jambo nyeti lakini alipendelea ufanyike katika hali ambayo haitoi picha kuwa ni mtu tofauti na wengine.
Mkapa anasema alikuwa hapendi kuona ulinzi wake ukijumuisha askari wengi wenye magwanda.
“Nilikuwa napata shida sana na hasa nikienda ziara za mikoani kuona askari wenye magwanda wamejaa sehemu nilipokuwa. Sikupenda hali ile maana niliona kama najiweka mbali na watu,” anaeleza Mkapa.

Kisa cha kukataa sura yake kwenye pesa
Kiongozi huyo alisema katika kipindi cha miaka 10 alichoishi Ikulu, kulifanyika mabadiliko ya fedha mara mbili. Ni katika kipindi hicho pia Benki Kuu ya Tanzania ilitoa noti za Sh5,000 na Sh10,000.
Mkapa anasema aliweka rekodi ya kuwa Rais wa kwanza kwa sura yake kutowekwa kwenye fedha.
Mabadiliko hayo yalifanyika mwaka 1997, wakati ilipoondolewa picha ya Rais wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi na badala yake ikawekwa picha ya twiga.
Anasema alichukua uamuzi huo kutokana na tabia yake ya kutopenda kujichukulia kuwa mtu muhimu kuliko wengine.
Hata hivyo, aliona lilikuwa jambo zuri zaidi kwa picha za waasisi wa taifa, Mwalimu Julius Nyerere na Abeid Karume, zitumike kwenye fedha.
Anaeleza pia alichukua uamuzi huo ili kuepusha gharama za kubadilisha noti na sarafu kila mara.
Mkapa, ambaye anasifika kuwa alifanya kazi kubwa ya kufufua uchumi na kurejesha imani kwa mataifa wahisani, anaeleza kuwa aliamiani suala hilo lingesumbua kuwa kila utawala unapobadilika na fedha zinabadilishwa.

Tanzania lianza kutumia fedha yake yenyewe mara ya kwanza mwaka 1966, kabla ya hapo ilikuwa inatumia fedha moja na nchi za Kenya na Uganda.

Mwananchi. Fikiri Tofauti.​

Tumekufikia. Mara kwa mara tunaangalia namna ya kuboresha habari zetu. Tufahamishe nini ulichopenda na nini tuboreshe.
Sema nasi!

IN THE HEADLINES

ALL

https://go.babbel.com/v1/tl
Flirt with Fluency: Unlock Your Language of Desire!Unlock your potential with Babbel's unique language quiz. Discover your perfect language match now.Babbel|
Sponsored

https://go.babbel.com/v1/tl
Your Language Adventure Awaits - Take Our QuizUnlock your potential with Babbel's unique language quiz. Discover your perfect language match now.Babbel|
Sponsored

https://lemontrack.online/click.php
Do this before bed to relieve joint painTry it before bed - joint pain relief!Chief Rheumatologist of Tanzania|
Sponsored
Read More

https://medicaldecisions-africa.info/visiorax_tz
Vision 1.0 without a laser! Write down a simple recipeHealthy Eyes|
Sponsored
Read More

https://healthydigest.world/click.php
9 signs that may be the cause of bad breath (Search here)Click hereMetabon|
Sponsored
Read More

Nation Media Group © 2024

24px.svg

Maandishi halisi

Kadiria tafsiri hii
Maoni yako yatatumika kusaidia kuboresha huduma ya Tafsiri ya Google
 
Language for Life - Babbel.com | Babbel
Flirt with Fluency: Unlock Your Language of Desire!Unlock your potential with Babbel's unique language quiz. Discover your perfect language match now.Babbel|
Sponsored

Language for Life - Babbel.com | Babbel
Your Language Adventure Awaits - Take Our QuizUnlock your potential with Babbel's unique language quiz. Discover your perfect language match now.Babbel|
Sponsored

https://lemontrack.online/click.php
Do this before bed to relieve joint painTry it before bed - joint pain relief!Chief Rheumatologist of Tanzania|
Sponsored
Read More

MAIN NEWS: "WHY DO PEOPLE OVER 40 LOSE THEIR SIGHT SO QUICKLY?"
Vision 1.0 without a laser! Write down a simple recipeHealthy Eyes|
Sponsored
Read More

https://healthydigest.world/click.php
9 signs that may be the cause of bad breath (Search here)Click hereMetabon|
Sponsored
Read More

Nation Media Group © 2024

24px.svg

Maandishi halisi

Kadiria tafsiri hii
Maoni yako yatatumika kusaidia kuboresha huduma ya Tafsiri ya Google
Kumbe jamaa alikuwa jembe sema Habari zake nyingi hazisemwi.

Chawa hawana urafiki wala hamu na mtu asiyewapa ulaji.
 
Ndio maana tunawashauri viongozi wa Nchi yetu wajikite kutimiza malengo na uzalendo kwa Taifa lao waachane na vipaumbele vya vyama vyao.

Chawa huwa wanakuzunguka na kukupigia makofi pale tu unapokuwa Madarakani.

Ukiondoka wanakutupa wanahamia kwa mwingine mwenye uwezo wa kuwapa vyeo, fursa na favor mbali mbali.

Hayati Benajamin Mkapa Rais wa Awamu ya Tatu sioni watu wakikumbuka siku yake ya kuaga dunia.

Ndio kusema yeye hakuwa na kundi la chawa wake?

Je, tarehe yake ya maombolezo ni lini?

Hata Chama nacho kinapotezea mtu muhimu kwao?
Magufuli alikuwa mcha mungu siyo like jinamizi la kuua ovyo ovyo na kufoka foka bila pango
 
Back
Top Bottom