chiba89
JF-Expert Member
- Aug 20, 2012
- 424
- 196
hahahdefender inakutafuta aisee
hahahdefender inakutafuta aisee
Udsm hapo, huo ukanda ha department ya mathematics + ucc kote full wireless na kurudi hadi Coetchemihewani kwa nyuma hapo aiseee wazeee wa udsm...kitu free wifi....
Ha ha haaaaaaMimi nimekuelewa wewe uliyepost hii picha
Ya kweli haya??Huyo demu ndio Mama J wa sasa?
Letisya rutashobya kashaenda AustraliaMama Rutashobya yuko Botwana not sure ana kazi gani ila mmewe ni Prof.
Chemhewani wameiwekea password Siku hizi ila wajanja tushaidakachemihewani kwa nyuma hapo aiseee wazeee wa udsm...kitu free wifi....