Je, Hawa jamaa wengine kwenye picha hii wako wapi?

Je, Hawa jamaa wengine kwenye picha hii wako wapi?

Samahani Wadau, Nje ya Mada,
Hivi yale makemikali ukiyazoea sana ukawa kila siku unayupumua na kuvuta hewa yake kuna madhara huko mbeleni siku za baadae?? Tuseme labda kwenye ubongo??

Kemikali zenye madhara kwa ubongo zinatumika zaidi maabara za Advanced Biology, vyuo vya uuguzi na baadhi ya vitengo vya hospitali, lakini kwa tahadhari zinazochukuliwa madhara ni kama 0%!
 
zamani katika family story ndani ya nyumba.
mzee: mnamuona yule (labda mtu aliyefanikiwa kimaisha au kiongoz fulani) tumesoma nae tena alikuwa anakaa hapa mimi pale na ni rafiki angu mkubwa.
watoto: aisee kumbe baba umesoma nae yule (huku akimuona baba ake bonge la mtu)

leo sasa katika hali halisi
mzee: mnamuona yule (labda mtu aliyefanikiwa kimaisha au kiongoz fulani) tumesoma nae tena alikuwa anakaa hapa mimi pale na ni rafiki angu mkubwa.
watoto: mzee pita hivi ungesoma nae ungekuwa na maisha mabovu hivi.
 
Aisee!! Maisha ni safari ndefu kweli kweli. Sasa hivi tunaadabishwa kweli kweli
tapatalk_1534517404206.jpeg
 
Back
Top Bottom