Je, Hawa jamaa wengine kwenye picha hii wako wapi?

Je, Hawa jamaa wengine kwenye picha hii wako wapi?

Ila mwenye miwani anapenda kutabasamu na kucheka.... kwenye maamuzi saa nyingine ndo ...... (nisije itwa mchochezi)...
Hilo sio tabasamu la furaha wala kicheko cha raha ...tofautisha mkuu ..

Kiburi cha uzima ....kinamtembea kama damu inavyozunguka mwilini ...
Hemu mcheki vizuri anapokuwa kwenye zone zake .
 
Kuna mtu kaweka picha hii makusudi ili amkumbushe Magufuli historia...
 
Kuna mmoja tu anasikia baridi na kavaa katiba, pia sina uhakika na jinsia ya viatu vyake
 
Uyo mweny Miwani wew umemjua ila ni SIRI yako na hao mengine wote mi nawajua ila ni SIRI yangu.
Kua FAIR mkuu
 
HUYU WA MBELE ATAKUWA MWL WA CHEMIA MWL NDALU..ALIKUWA MZUMBE SEC MARA YA MWISHO KUMUONA MWAKA 1998 ALIKUWA ANAFANYA KAZI MZUMBE BOOK PROJECT ALIACHA KUSHIKA CHAKI
 
Izi comments[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unaweza uishi na kiongozi wako wa baadaye bila kujua, mimi nimejiuliza hawa wengine kwenye picha hii sijawafahamu kabisa, hebu tusaidiane kuwatambua, mimi namuelewa mwenye miwani pekee ila ni siri yangu. Wewe je umemuelewa nani kwenye picha hii?View attachment 398211
Hapa mi namjua Mpicha Piga tu...!!!
 
HUYU WA MBELE ATAKUWA MWL WA CHEMIA MWL NDALU..ALIKUWA MZUMBE SEC MARA YA MWISHO KUMUONA MWAKA 1998 ALIKUWA ANAFANYA KAZI MZUMBE BOOK PROJECT ALIACHA KUSHIKA CHAKI
Mwenye shati la mistari sio Dr/Prof Akwilapo wa idara ya chemistry?
 
Samahani Wadau, Nje ya Mada,
Hivi yale makemikali ukiyazoea sana ukawa kila siku unayupumua na kuvuta hewa yake kuna madhara huko mbeleni siku za baadae?? Tuseme labda kwenye ubongo??
 
Samahani Wadau, Nje ya Mada,
Hivi yale makemikali ukiyazoea sana ukawa kila siku unayupumua na kuvuta hewa yake kuna madhara huko mbeleni siku za baadae?? Tuseme labda kwenye ubongo??
Mimi sitaki kuchangia wala kujibu.
 
Bob mikwara joni kidevu namuona hapo unless macho yangu yana maluweluwe.
 
Huyo wa mbele mwenye jeans ya mabaka mabaka kama kashika kipisi cha sigara au niko long-sighted?
 
Back
Top Bottom