Je, Hawa jamaa wengine kwenye picha hii wako wapi?

Je, Hawa jamaa wengine kwenye picha hii wako wapi?

Huu uzi siyo wa kupaparukia unaweza kujitengenezea mvua tano we mwenyewe au tumilioni kadhaa[emoji125] [emoji125]
 
Mtoa mada umejichagulia swali jepesi na mini naliweza hilo lako
 
Mi naelewa wawili hawakuwa wame-concentrate kwa kamera man/woman
 
Hizi picha ni kum
Mwenye miwani sijui hata kama anatamani kuziona hizi picture,maana hakawii kusema anajalibiwa
bukumbu nzuri sana kwake. Na anaonekana ni mtu social sana! Maana kitabu cha palehasa sayansi kun baadhi hata muda wa kusalimia hawakuwa nao!
 
Ungeuliza je mpga picha nae alikuwa nan na sasa yupobwap ingekuwa na maana zaidi
 
Back
Top Bottom