Je, harufu ya petrol ndiyo inaharibu akili za waendesha bodaboda?

Restless Hustler

JF-Expert Member
Apr 9, 2017
4,742
17,989
Kijana kabla hajaanza kuendesha pikipiki (bodaboda) anakuwa timamu. Ila baada ya kuanza hiyo kazi anakuwa rafu sana, haogopi kuendesha pikipiki speed 120 au kupita katikati ya masemi barabarani au kupiga norinda.

Je, harufu ya petrol ndiyo inaharibu akili za waendesha bodaboda?
 
Kijana kabla hajaanza kuendesha pikipiki (boda boda) anakuwa timamu. Ila baada ya kuanza hiyo kazi anakuwa rafu sana, haogopi kuendesha pikipiki speed 120 au kupita katikati ya masemi barabarani au kupiga norinda.

Hapana, cyo petrol isipokuwa mazoea ndyo changamoto
 
Kijana kabla hajaanza kuendesha pikipiki (boda boda) anakuwa timamu. Ila baada ya kuanza hiyo kazi anakuwa rafu sana, haogopi kuendesha pikipiki speed 120 au kupita katikati ya masemi barabarani au kupiga norinda.

Je, harufu ya petrol ndiyo inaharibu akili za waendesha bodaboda?
Inabidi wataalamu wetu wafanye research juu ya hili
 
Kijana kabla hajaanza kuendesha pikipiki (boda boda) anakuwa timamu. Ila baada ya kuanza hiyo kazi anakuwa rafu sana, haogopi kuendesha pikipiki speed 120 au kupita katikati ya masemi barabarani au kupiga norinda.

Je, harufu ya petrol ndiyo inaharibu akili za waendesha bodaboda?
na kitank cha petroli kipo mbele pale akibugia tangu asubuh hadi Jioni umelewa vizur sana hawezi kuona mataa wala mashimo.

Kwa mwaka akili inakua imelewa chakari na anakua na tamaa ya kufa na kifua kimelegea
 
Back
Top Bottom