Naibu spika wa Bunge asema bodaboda wanakatisha tamaa kwa kutokuzingatia sheria za barabarani na kusababisha ajali na vifo,ataka wadhibitiwe kisheria

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,293
9,723
Ndugu zangu Watanzania,

Naibu spika wa bunge Mheshimiwa Zungu amesema ya kuwa amekuwa mtetezi mkubwa sana wa bodaboda na waendesha bodaboda.lakini amesema ya kuwa matumizi ya bodaboda barabarani tanakatisha tamaa sana.amesema ukienda katika hospitali ya MOI Ambayo inashughulika na wagonjwa wa mifupa utakuta wagonjwa karibu 90% ni wala waliotokana na ajali za bodaboda.

Ametoa rai ya kutaka bodaboda wadhibitiwe kwa sheria na wawe wanasimamishwa pale wanapovunja sheria au kukiuka sheria za barabarani ili kupunguza ajali zinatozotokea na kusababisha ajali na hata vifo.

Rai yangu mimi kama Mwashambwa Lucas nakili wazi kuwa biashara ya uboda boda imeajiri vijana wengi sana wakiwepo hata waliomaliza vyuo vikuu.imesaidia kuwapa wengi ajira na hata kurahisisha usafiri kwa watu wengi sana ,ambao awali ilikuwa ni kazi sana kwa maeneo mengine kufikika.

Ni biashara na shughuli ambayo imewasaidia wengine kusomesha na hata kujisomesha vyuo vikuu,ndio maana huwa napingana sana na kwa nguvu zote kauli ya Godbless lema kubeza kazi ya bodaboda kwa kusema kuwa ni kazi ya laana.

Lakini nakili ya kuwa vijana wengine wamekuwa wakichafua taswira ya biashara hii.kwa kuendesha rafu sana,kutokujali alama za barabarani, kusababisha ajali kizembe na kupelekea kupata majeraha makubwa sana na wakati mwingine vifo kabisa kwa watu hasa abilia na hata watembea kwa miguu pamoja na madereva Wenyewe.

Rai yangu ningewasihi vijana waendesha bodaboda kuzingatia sheria za barabarani,kujali na kuzingatia usalama wao wenyewe wawapo barabarani kwa kuvaa kofia ngumu,kwenda mwendo mzuri, kuendesha kwa tahadhari kubwa na kwa uangalifu mkubwa.lakini pia kujiepusha kuendesha bodaboda wakati wakiwa wamelewa .ni bora mtu anayekunywa pombe akafanya hivyo baada ya kazi.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
 
Lema alisema mwisho wa siku mkaishia kumtukana, bodaboda sio kazi kabisa. Ukishakalia ule mtungi wa petrol pale mbele na akili zinahama kabisa. Bila shaka na wewe ni bodaboda maana una akili za kiwendawazimu
 
UWT hata kiswahili kinawashinda? shame on you
 
Wewe si ulimponda Godbless Lema aliposema bodaboda ni kazi ya laana. Au unabisha tulete thread yako hapa!!
Niyie machawa ni takataka kabisa
 
Lema alisema mwisho wa siku mkaishia kumtukana, bodaboda sio kazi kabisa. Ukishakalia ule mtungi wa petrol pale mbele na akili zinahama kabisa. Bila shaka na wewe ni bodaboda maana una akili za kiwendawazimu
Acha dharau zako mkuu.
 
Bodaboda no kazi ya kifala kabisa
Kazi ambayo mtu akitoka akirudi salama nyumbani kwake anashukuru
Mungu....
Bodaboda wanakufa kama sisimizi,wanavunjika miguu viuno
Kupasuka vichwa sana tu
Ila kufaaa ndy kitu cha kawaida tu

Ova
 
Back
Top Bottom