Je Gwanda za Chadema zinauzwa Mahali..???

kama upo Dar nenda pale makao makuu ya chama watakuelekeza kwa fundi flan hv yupo jran na pale. Yeye ndo ameshona gwanda nyng za watu wa pale makao. Hata yangu nilshonea pale.
Kumbe ndiye huyo Fundi,nilimwona Mh Pinda pale.
 
Mi nipo dar, wacha niwahi mapema makao makuu ya CDM kabla haka ka laki moja na nusu sijakamaliza. Peopleee's......malizia basi
 
Siyo za viongozi tu, maduka ya nguo utazipata, japo zina soko sana na nyingine zimeshonwa vibaya2, mafundi walete vitu bora ili vinunuliwe

naomba msaada ndugu zangu je kuna mahali popote wanauza gwanda za chadema au ukitaka unajishonea tu mwenyewe???nataka niwe member kamili maana ntajickia furaha sana kama nkipita road nimezivaa, au ni za viongozi tuu??
 
Kuna kitu kimoja tu ambacho makamanda hawanifurahishi. Hivi kwa nini hawavai zile za mabaka mabaka? Manake hizi khaki wanakuwa kama mgambo vile! Zile nyeusi wanakuwa kama security guard flan hivi. Nawashauri watinge zile za mabakamabaka au mnaonaje?
Hizi za jeshi la kiraia ndio mali bro. chama ni cha wananchi si cha jeshi hii inawajumuisha wote wa mabakamabaka na raia kwa kuwa ni mali yao wote
 
Back
Top Bottom