Kumbe!!!?Uyo mtume wa xvideos.com,pornhub na wapuuz wengine
Kumbe!!!?Uyo mtume wa xvideos.com,pornhub na wapuuz wengine
abdoool nafahamu kwanini unapinga na kwanini umeandika ulichokiandika!
si_bendera fuata upepo😃😃Paul aka Saul aliwasaka na kuwauwa wafuasi wa Yesu Kama wanyama,kabla ya kunipa u Saint...
Wengi hawayajui haya
Amufikishaje huo ujumbe ? Kwa ufupi umekosea kumlinganisha na mtume na hii imetokana na kutokuwa na maarifa ya kutosha juu ya utumd na mitume.Ujumbe kwa Dunia kuwa ubaguzi sio kitu kuzuri,na sio kila mzungu mbaguzi
Wazungu wamejumuika wengi katika haya maandamano kuliko watu weusi
Poa.Wanatosha hao,..
Nawajua sana na katika hao watano hawa wapo.Waangalie Mitume mengine iliyopita imefanya nini...utapata jibu lako
Mwangalie Yesu,Musa nk
Acheni kumchosha Mungu na mambo yasiyomuhusu.
Mitume wanaletwa ili kuwapa wanadamu ujumbe wa kumrudia Mungu, pale sehemu kubwa ya watu wanapokua wamemuhasi Mungu,
Ubaguzi wa rangi, mauaji, dhuluma, utumwa, chuki, fitina na madhila mengine yapo siku zote kama changamoto kwetu wanadamu ili tuinue macho yetu mbinguni,
Hitimisho, acheni kufananisha mitume wa Mungu na vitu vya kijinga





kwa munguWayatoe kwa nani?
umeanza vizuri sana ila kati umeharibuAu Ni trick ya hao "IILUMINATI NA FREEMASON"?
Kwamba wameona watu hawafi sana hasa blacks Kama walivyopanga walivyocheza karata ya Covid-19.....
Wakajiuliza tufanyeje???
Jibu Ni kill a black person to incite chaos ambapo watu watatoka tu nje hasa blacks kuandamana then maambukizi yatakuwa makubwa..
Hapa duniani hasa America hakuna kitu kinatokea randomly......hii inaweza kuwa iko planned..
Let us wait and see baada ya haya Maandamano...level ya infection kwa black Americans itakuaje....
Kweli?Mungu haitaji kutoa kafara kutimiza jambo lake kama jinsi binadamu anavyotoa kafara kuua mwanadamu mwenzake ili eti apate utajiri nk,,
George Katumika kiunguMungu anasema;; Usiue nafsi isiyokuwa na hatia, sasa iweje Mungu aamuru G. Floyd auawe bila hatia??
Yaani apo tu kwenye kuwaita hao jamaa mabeberu sasa nani jike?umeanza vizuri sana ila kati umeharibu
hiyo kitu ni kweli itakuwa iko planed
lakini naamini imekuwa planed baada ya mabeberu kuona kuwa lengo la covid 19 lime fail wanataka kurudi katika maisha ya kawaida kama ilivyo siku zote. .sasa walikuwa wanajiuliza watarudi vipi katika maisha hayo wakati walisha iaminisha dunia nzima Kuwa corona inaua sana nahaina kinga wala dawa. . wakiamua kuvunja lockdown wakati dawa wala kinga hazijapatikana kama walivyo aminisha watu wataonekana kuwa walikuwa ni waongo
so wameamua kuja na hili la kifo cha George ili kuuzima upepo wa corona..
imagine kama corona ingekuwepo kweli kama tulivyo kuwa tuna aminishwa,kwanini hatuoni watu wakianguka mabarabarani
Habari za mitandaoni Dunia nzima Ni kuhusu kifo cha Mmarekani Mweusi George Floyd.
Katika dini ya Kiislam Mitume iko mingi wengine wanajulikana na wengine hawajulikani. Kuna Mitume Kama 123 ambayo inajulikana, kuna Mitume inaliyopewa vitabu na isiyopewa vitabu.
Mitume inafanya kazi ya Mungu katika jamii iliyomzunguka au hata kuleta mabadiliko Dunia nzima. Yesu aka Issa aka Jesus kabadilisha Dunia, Muhamad kabadilisha Dunia, kuna akina Musa, Sulemani nk ambao wamebadilisha jamii zao.
Uonevu kwa watu weusi unaofanywa na Polisi katika nchi ya Marekani haujaanza leo. Kifo cha George Floyd kimeleta mtazamo mwengine katika vitendo vya uonevu vinavyofanywa na Polisi kwa watu weusi.
Hivi sasa dunia nzima, nchi za Ulaya, Marekani, Australia nk watu wanaandamna mbele ya balozi za Marekani kupinga unyanyasaji wa Polisi kwa watu weusi.
Katika Jimbo la California Polisi leo wameungana na waandamanaji kupinga vitendo vya unyanyasaji wa watu weusi. Cha kushangaza, wengi wa waandamanaji ni watu weupe; cha kushangaza zaidi, nchi za Kiafrika ambazo ni chimbuko la watu weusi hamna hata nchi moja watu wameandamana kupinga uonevu huo.
Donald Trump leo kalazimika kupelekwa kwenye handaki chini ya White House kwa usalama wake baada ya waandamanaji kuandamana mbele ya White House.
Jeshi limeingia mitaani kuungana na Polisi, kafuu ya kukataaa watu wasitoke majumbani mwao imewekwa nchi Marekani. Haijawahi kutokea, Marekani kama vile kuna vita vya wenyewe kwa wenyewe.
Je, George Floyd ni Mtume asiejulikana alietumwa na Mungu kuibadilisha mitazamo ya watu kuhusu mtu Mweusi nchini Marekani?
😃😃😃 kwani jiken ni sifa mbaya?Yaani apo tu kwenye kuwaita hao jamaa mabeberu sasa nani jike?
Kwa majibu wa nani ? Una uhakika gani na hicho unacho kuongea kama kina ukweli au la ...!? Maana isije ikawa ume karilishwa tu hivyo then na wewe ukaamini moja kwa mojaMtume wa mwisho ni Muhammad (SW) hakutakuwa na mtume baada yake