Huyu sio mtume bali ni binadamu kama wewe, na hakuna mtume ambaye hakuwahi kujulikana.Je, George Floyd ni Mtume asiejulikana alietumwa na Mungu kuibadilisha mitazamo ya watu kuhusu mtu Mweusi nchini Marekani?
Utume ushakoma kitambo sana.
Huyu sio mtume bali ni binadamu kama wewe, na hakuna mtume ambaye hakuwahi kujulikana.Je, George Floyd ni Mtume asiejulikana alietumwa na Mungu kuibadilisha mitazamo ya watu kuhusu mtu Mweusi nchini Marekani?
Awamu hii wanakaza
Wewe achana na kile kichwa, tatizo la waafrica ni wivu na gere, huwa hamtaki kabisa kukubali kuna watu mungu kawapa kipawa Fulani. Mimi si maana siasa hata ila jamaa ni kichwa aisee, najua utabisha maana ndo unachotakiwa kufanya ila mshikaji sheria anaijua, labda ka kuna makosa kidogo aliyafanya ambayo ni lazima kufanya makosa ili kukamilisha ubinaadamu, maana hakuna ambaye hakosei labda malaika, ila jamaa ni kichwa kile, utake usitake na kuendelea kubishana na nafsi yako ni kujitesa mkuuTundu Lisu sio mtume ni mropokaji tu.
Kwanza anatakiwa yeye na dereva wake waje tz watoe maelezo
Unasikia?Naskia marehemu alikua mfiraji mzuri tu katika zile picha za wakubwa.
so kama umeona ni mtume basi atakua ni mtume mfiraji
abdoool nafahamu kwanini unapinga na kwanini umeandika ulichokiandika!G. Floyd, Mtume wa Mungu aliyetolewa "kafara na Mungu" ili kubadilisha mtazamo wa watu (weupe) kuhusu mtu mweusi nchini Marekani?
Hii haiingii akilini hata kidogo, kama yeye ni kafara kutoka kwa Mungu, je wale askari waliomuua hawana makosa?
So unahisi kila diaspora au kila mtu mweusi anabaguliwa?Ila kusema ukweli ubaguzi unaofanyika huko majuu umenifanya niichukie hii tittle ya kujiita 'diaspora'. Bora tu kunyuti huku huku 'nyumbani' Africa, madiaspora mnisamehe.
Sir tunapaswa kuelewa kwanza nini maana ya Mitume au Mtume kisha ndio utoe hukumuHapa Tanzania Kuna Mitume kibao,wanawatapeli Watanzania mbona hushangai,Mkuu
Sasa huyo aliyefariki amepewa ujumbe gani na Mwenyeenzi Mungu ?Mtume Ni mjumbe wa Mwenyeenzi Mungu,Mungu anatumia Mitume kupeleka kumbe zske kwa jamii.
Watano.Wewe unawajua Mitume mingapi?
Maana hii inahitaji maelezo, unaweza kutuambia Mwenyeenzi Mungu anatumiaje Mitume kupeleka ujumbe wake kwa jamii ? Yaani utajuaje kama huu ni ujumbe toka kwa Mwenyeenzi Mungu na huu siyo ?Mtume Ni mjumbe wa Mwenyeenzi Mungu,Mungu anatumia Mitume kupeleka kumbe zske kwa jamii.
Na isingewezekana kutokea kutokana na hana kinyongo na weusi wenzake ila hizi nguruwe mtu nyeupe zina kinyongo cha asili na ngozi nyeusi.mi najiuliza kuna je askari mweusi angemuua nigga mwenzie kungekuwa na strike ya aina yoyote??!!