Je, George Floyd ni mtume?

Je, George Floyd ni mtume?

Yesu alikufa na kufufuka. Huyo issa alifufuka?
Sikumbuki,nilikuwa siko katika sehenu ya tukio,..

Katika Biblia Isa aka Yesu aliomba Sana wakati anapekwa kusulubiwa..

Waislam wanaamini Yesu hakufa siku Ile Mungu alimnusuru,Dini ya PAULO wanaamini alikufa ,akazikwa ,akafufuka..

Amini unavyoamini,Ni haki yako
 
Uislam Ni taasisi iliyoanzishwa na Roman Empire ambao ndo ukatoliki wa sasa. Hoja zenu Ni nyepesi Sana, Mara ulikuwepo tangu Adam, Musa na Ibrahim wote ni waislam... Wakati uislam ni wa miaka ya 620 AD, na muna miaka yenu ya kiislam.

Nyumba ya tofali za kuchoma hujengwa kwa materials yanayofanana, ndiyo maana manabii wote wametengeneza Biblia agano la kale na jipya. Muhammad yeye hana uhusiano na wengine, nyumba yake Ni ya miti, ameleta material ya peke yake katengeneza nyumba yake. Hafanani kabisa na manabii wa Mungu walioijenga Biblia.
 
Inawezekana kuwa kweli kuwa Uislam imeanzishwa na Roman Catholic,je Roman Catholic na wao wameanzishwa na nani?

Yesu, Muhamad wote wanafuata agano la kale

Nyinyi mnalita Agano la kale,Waislam na Wayahudi hicho kitabu wanakiita Taurat..

Neno Taurat maana yake ni Sheria,Kitabu Ni Cha Nabii Mussa,..

Mussa aliteremshiwa sheria kumi na Mungu awapelekee Wayahudi ili wapate kuishi kutokana na matakwa ya Mungu

Don't test me boy.. you will regret to know me, I will punish you with Bible vibes that you never heard them before..
 
Ndio maana nasema Yesu sio Issa. Maana Issa wa magaidi yeye hakufufuka. Huwez kumfananisha kristo Yesu na huyo wa kujilipua
Sikumbuki,nilikuwa siko katika sehenu ya tukio,..

Katika Biblia Isa aka Yesu aliomba Sana wakati anapekwa kusulubiwa..

Waislam wanaamini Yesu hakufa siku Ile Mungu alimnusuru,Dini ya PAULO wanaamini alikufa ,akazikwa ,akafufuka..

Amini unavyoamini,Ni haki yako
 
Yesu hakuwahi kuowa, kafa ana umri wa miaka 30 bila yakuowa, Je na yeye alikuwa ...?

Acha kumkashifu Mtume, una uhakika wowote wa uliloandika
Hujamwelewa. Huyu George Floyd aambae mnamwita mtume alikua ni ncheza filamu za ngono mahiri huko USA. Mnamwitaje mfiraji mtume?

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
 
Huhitaji kuwa na akir za ngumu kutafsr yanayotokea huko,yale unayoyaona huko ni mjumuiko wa kawaida tu usiohusiana na mambo ya mungu wewe,uwe na fikra endelevu,kwan hujui ubaguz wa rangi bado upo Marekan??tukio lile limeigadhabisha jamii yote yenye kupenda usawa kwa binadam wote,ili kulipa uzito tukio lile lazima msimame kama binadam mlio sawa kulikemea,acha kuwaza kiufupi na kuyaingiza mawazo yako potofu kuyageuza kiiman
 
Hujamwelewa. Huyu George Floyd aambae mnamwita mtume alikua ni ncheza filamu za ngono mahiri huko USA. Mnamwitaje mfiraji mtume?

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
Kwani kucheza filamu za Ngono kuna shida gani?mbona sisi Watanzania kuna makabila yanacheza Unyago?

Mcheza Unyago na Mcheza filamu za Ngono wote wanatuma ujumbe kwa ujamii zilizowazunguka
 
Ndio maana nasema Yesu sio Issa. Maana Issa wa magaidi yeye hakufufuka. Huwez kumfananisha kristo Yesu na huyo wa kujilipua
Hahaha Mkuu,mbona hufahamiki,Hivi Pasaka mnasherehekea Nini?
 
Kama moja ya sifa ya kuwa mtume ni kuwa Pornstar basi hata Mia Khalifa nae ni mtume!
 
Mia khalifa kaleta mabadiliko gani katika jamii yake? Sio kila mtu anaweza kuwa Mtume,lazima vigezo vizingatiwe..

George Flyod analeta mabadiliko sio kwa jamii iliyomzunguka tu bali Dunia nzima..

Umemsikia Waziri wa Ulinzi Marekani amepingana na Gemedari mkuu,na Raisi wa Marekani Donald Trump

Hii hali haijawahi kutokea..

All Blessings to Saint George Floyd
 
Sawa, ila George Floyd ni nabii kutoka Xvideos.
 
Screenshot_20200604-100523.png

Hayo ndio yanayoendelea kwenye mitandao ya jamii hivi Sasa, Covid19 haionglewintena

Mungu kamchagua George kutuma ujumbe kwa Marekani kuhusu ubaguzi unaoendelea Marekani
 
Back
Top Bottom