Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 4,743
- 4,933
Kila Mtu ana udhaifu wake,hayupo mkamilifu hata mmoja yeye anaweza kuwa alicheza movie za porns na wewe ukaangalia, hapo "wote manganyaga".Uyo mtume wa xvideos.com,pornhub na wapuuz wengine
Unaweza ukaona dhambi za mwenzako ila haimaanishi wewe ni malaika au msafi sa a kuliko yeye "no one who has immune to mistake".
Back to focus ... tunachokipinga hapa ni ubaguzi na siyo madhaifu ya marehemu aliyelala mahali tulivu. Jaribu kujenga hoja kwa kutumia uelewa mpana wa mambo ulio nao badala ya hisia.