Umejuaje kama hana sifa zote,unataka awe na sifa gani?Unaweza kuwataja hao mitume 125 au kutupa ushahidi tunapata wapi hiko ulichotuandikia ?
Kwahiyo tunakubaliana ya kuwa mtume lazima apewe muongozo, hasa kitabu ? Sasa huyu sasa huyu uliyemzungumzia mbona hana sifa zote hizi ?
Kabisa, nina miezi kadhaa toka nifanikiwe kutua Minnesota ila tunabaguana sisi kwa sisi kutoka Africa.Akibaguliwa mwenzio kwa kuwa yeye black.......unadhani wewe ambaye ni black kama yeye utakuwa salama ?
Wengi wa waandamanaji hawamjui hatà huyo George Flyod ni Nani lakini Kuna nguvu zinawasukuma wakaandamane..
Kwa majibu wa nani ? Una uhakika gani na hicho unacho kuongea kama kina ukweli au la ...!? Maana isije ikawa ume karilishwa tu hivyo then na wewe ukaamini moja kwa moja
Kabisa, nina miezi kadhaa toka nifanikiwe kutua Minnesota ila tunabaguana sisi kwa sisi kutoka Africa.
.
marafiki zangu wakubwa ni wahindi, walatin na wazungu, kuna jamaa ni mganda mweusi tiiiiii ila ananiletea pigo za kiwaki naanzaje sasa kumtaka niwaache walatin walionikumbusha silk yangu ya kuzaliwa kwa Kiswahili na kuniangusha kwenye mabarafu?
Mtume ndiye muislam wa kwanza. imekuwaje hao wengine nao ni mitume wa kiislam mkuuHabari za mitandaoni Dunia nzima Ni kuhusu kifo cha Mmarekani Mweusi George Floyd.
Katika dini ya Kiislam Mitume iko mingi wengine wanajulikana na wengine hawajulikani. Kuna Mitume Kama 123 ambayo inajulikana, kuna Mitume inaliyopewa vitabu na isiyopewa vitabu.
Mitume inafanya kazi ya Mungu katika jamii iliyomzunguka au hata kuleta mabadiliko Dunia nzima. Yesu aka Issa aka Jesus kabadilisha Dunia, Muhamad kabadilisha Dunia, kuna akina Musa, Sulemani nk ambao wamebadilisha jamii zao.
Uonevu kwa watu weusi unaofanywa na Polisi katika nchi ya Marekani haujaanza leo. Kifo cha George Floyd kimeleta mtazamo mwengine katika vitendo vya uonevu vinavyofanywa na Polisi kwa watu weusi.
Hivi sasa dunia nzima, nchi za Ulaya, Marekani, Australia nk watu wanaandamna mbele ya balozi za Marekani kupinga unyanyasaji wa Polisi kwa watu weusi.
Katika Jimbo la California Polisi leo wameungana na waandamanaji kupinga vitendo vya unyanyasaji wa watu weusi. Cha kushangaza, wengi wa waandamanaji ni watu weupe; cha kushangaza zaidi, nchi za Kiafrika ambazo ni chimbuko la watu weusi hamna hata nchi moja watu wameandamana kupinga uonevu huo.
Donald Trump leo kalazimika kupelekwa kwenye handaki chini ya White House kwa usalama wake baada ya waandamanaji kuandamana mbele ya White House.
Jeshi limeingia mitaani kuungana na Polisi, kafuu ya kukataaa watu wasitoke majumbani mwao imewekwa nchi Marekani. Haijawahi kutokea, Marekani kama vile kuna vita vya wenyewe kwa wenyewe.
Je, George Floyd ni Mtume asiejulikana alietumwa na Mungu kuibadilisha mitazamo ya watu kuhusu mtu Mweusi nchini Marekani?
Utume na unabii umeisha, vipi awe na sifa.Umejuaje kama hana sifa zote,unataka awe na sifa gani?
Kwanza Unatakiwa ujue nini maana ya neno ISLAM,hili ni neno la lugha ya Kiarabu..Mtume ndiye muislam wa kwanza. imekuwaje hao wengine nao ni mitume wa kiislam mkuu
😀😀kwangu mimi sifa mbaya unawatia wanaume wenzio mabeberu nani jike sasa?😃😃😃 kwani jiken ni sifa mbaya?
Subiri, muda utaongea.Acha kufata maneno ya kuzusha bwashee.akuna cctv wala nini dareva wa lisu anajua mchezo mzima aje utoe somo
Alafu mbona mnapenda kumtajataja Yesu wetu wakati nyie hatumtaji mbakaji wenu?! Aliyetatua marinda ya mabinti wa miaka 9.Kwanza Unatakiwa ujue nini maana ya neno ISLAM,hili ni neno la lugha ya Kiarabu..
Ukijua maana ya neno ISLAM,utakuta kuwa Ibrahim kahuhiri uislam,YESU kahuhiri Uislam, Muhamad kahuhiri UISLAM..
kama ni hivo hata Tz ccm ijue tuna mtume LissuHabari za mitandaoni Dunia nzima Ni kuhusu kifo cha Mmarekani Mweusi George Floyd.
Katika dini ya Kiislam Mitume iko mingi wengine wanajulikana na wengine hawajulikani. Kuna Mitume Kama 123 ambayo inajulikana, kuna Mitume inaliyopewa vitabu na isiyopewa vitabu.
Mitume inafanya kazi ya Mungu katika jamii iliyomzunguka au hata kuleta mabadiliko Dunia nzima. Yesu aka Issa aka Jesus kabadilisha Dunia, Muhamad kabadilisha Dunia, kuna akina Musa, Sulemani nk ambao wamebadilisha jamii zao.
Uonevu kwa watu weusi unaofanywa na Polisi katika nchi ya Marekani haujaanza leo. Kifo cha George Floyd kimeleta mtazamo mwengine katika vitendo vya uonevu vinavyofanywa na Polisi kwa watu weusi.
Hivi sasa dunia nzima, nchi za Ulaya, Marekani, Australia nk watu wanaandamna mbele ya balozi za Marekani kupinga unyanyasaji wa Polisi kwa watu weusi.
Katika Jimbo la California Polisi leo wameungana na waandamanaji kupinga vitendo vya unyanyasaji wa watu weusi. Cha kushangaza, wengi wa waandamanaji ni watu weupe; cha kushangaza zaidi, nchi za Kiafrika ambazo ni chimbuko la watu weusi hamna hata nchi moja watu wameandamana kupinga uonevu huo.
Donald Trump leo kalazimika kupelekwa kwenye handaki chini ya White House kwa usalama wake baada ya waandamanaji kuandamana mbele ya White House.
Jeshi limeingia mitaani kuungana na Polisi, kafuu ya kukataaa watu wasitoke majumbani mwao imewekwa nchi Marekani. Haijawahi kutokea, Marekani kama vile kuna vita vya wenyewe kwa wenyewe.
Je, George Floyd ni Mtume asiejulikana alietumwa na Mungu kuibadilisha mitazamo ya watu kuhusu mtu Mweusi nchini Marekani?
kwanini msimkamate yule Dr. wa mifugo Mollel si mnadai amewaambia ukweli kuhusu Lissu,au kwa sababu yupo upande wa jiweSubiri, muda utaongea.
Mnahangaika Sana, fundi na dereva wanarudi siku si nyingi. Madudu yenu yatajulikana mikutano ya kampeni ikianza. Lala tu, hujui chochote.
Subiri,kwanini msimkamate yule Dr. wa mifugo Mollel si mnadai amewaambia ukweli kuhusu Lissu,au kwa sababu yupo upande wa jiwe
Yesu ni wetu pia,tafauti yenu wako wanaomwita Yesu Mungu,Wako wanaomwita mtoto wa MunguAlafu mbona mnapenda kumtajataja Yesu wetu wakati nyie hatumtaji mbakaji wenu?! Aliyetatua marinda ya mabinti wa miaka 9.
Yesu alikufa na kufufuka. Huyo issa alifufuka?Huyu jamaa ana Majina Mengi inategemea unataka jina lake kwa lugha gani
Yesu hili jina limetokana na lugha ya Kigiriki
Jesus limetokana na lugha ya Kirumi
Isa limetokana na lugha ya Kiarabu
Iso, Joshua limetokana na lugha ya Kiyahudi
Jina alilopewa na mama yake ni Joshua
You see