Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,449
- 283,758
- Thread starter
- #61
Halafu ni makapuku wanaonuka dhiki kali sana!Ukiona mtu anayesema october anatiki mchukulie kama hana akili timamu
Halafu ni makapuku wanaonuka dhiki kali sana!Ukiona mtu anayesema october anatiki mchukulie kama hana akili timamu
Hivyo mwandishi ama mhariri hata letewa shida kwa hiyo habari sio?Asije bakia na Majuto kama P.Ngoja alione Lucas Mwashamba na Genge lake.Kwa hii story, Gazeti la Mwananchi halina shida yoyote,litapona kwasababu ilichoripoti ni ukweli kutoka UN
P
OKTOBA TUNA ✔️
Unafaidika na huo utumishi wako kwenye chama unachotumikia au ndio unakuwa kama kushabikia simba na yanga?Hatutumikishwi.Tunakitumikia chama kama nyie.
Upeni muda wakati na msijisahau sana mkajiona mko sawa na Mwenyezi MunguOKTOBA TUNA ✔️
Unajua kwamba ndege za Tanzania 🇹🇿 haziruhusiwi kuruka anga lolote la ulaya? Hii manake hata mkitiki raisi haruhusiwi kwenda popote labda dodomaOKTOBA TUNA ✔️
NO REFORMS NO ELECTIONOKTOBA TUNA ✔️
Duh,Serikali ya Tanzania haitaki kusikia habari kama hizi, hii ni kwa sababu serikali hiyo inaamini Wananchi Wake ni Wajinga kuliko Wanyama wa Mwituni, kwamba kila kitu wao wanaamini hakijulikani popote
View attachment 3368765
OKTOBA TUNA ✔️
Bora mngesema "OKTOBA MTAIBA"OKTOBA TUNA ✔️
October tuna ✔️Mnafilimbwa
OKTOBA TUNA ✔️NRNE
ludi tuliko toka maana hakuna uchaguziOKTOBA TUNA ✔️
Unafaidika na huo utumishi wako kwenye chama unachotumikia au ndio unakuwa kama kushabikia simba na yan
Unataka nifaidikeje labda? Tunafaidika wananchi kwa maendeleo yanayoletwa na viongozi wetu.Unafaidika na huo utumishi wako kwenye chama unachotumikia au ndio unakuwa kama kushabikia simba na yanga?