Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,049
- 132,843
Kwa hii story, Gazeti la Mwananchi halina shida yoyote,litapona kwasababu ilichoripoti ni ukweli kutoka UNSerikali ya Tanzania haitaki kusikia habari kama hizi,
P
Kwa hii story, Gazeti la Mwananchi halina shida yoyote,litapona kwasababu ilichoripoti ni ukweli kutoka UNSerikali ya Tanzania haitaki kusikia habari kama hizi,
atekwe kwa kosa gani?Huyu Mhariri atatekwa usiku huu, subirini mtasikia, CCM hii.
Mama ni hajachafuka bali ni anachafuliwa! ,tutamsafisha kabla hajachafuka zaidi!Sema mama amechafuka,Hadi UN
KURA ITAPIGWA NA UCHAGUZI UTASIMAMIWANO REFORM NO ELECTION
OLE WAKE MWANANCHI ATAKAYE ENDA KUPIGA KURA
OLE WAKE MWALIMU ATAKAYE SIMAMIA UCHAGUZI
OLE WAKE MGANMBO ATAKAYE SIMAMIA UCHAGUZI
Ni nchi nzima isipokuwa weweLabda ka ukoo kenu....
Mkuu Pascal Mayalla hawa jamaa (CCM) wana mihemko ya kijinga sana, hawataki kusikia ukweli, wao wanafikiri kila asemaye ukweli yupo hapa kwa ajili ya kuwakosoa wao na kuvunja sheria / amani. Yaani bado wanaishi katika zama za giza, wanafikiri kila Mtanzania bado yupo usingizini.atekwe kwa kosa gani?
P
NRNEOKTOBA TUNA ✔️
No reform no ElectionOKTOBA TUNA ✔️
OKTOBA TUNA ✔️NRNE
OKTOBA TUNA ✔️No reform no Election
Kutiki kinyeo auOKTOBA TUNA ✔️
OKTOBA TUNA ✔️Kutiki kinyeo au
NRNEOKTOBA TUNA ✔️