Je Gazeti la Mwananchi litapona?

Je Gazeti la Mwananchi litapona?

Serikali ya Tanzania haitaki kusikia habari kama hizi, hii ni kwa sababu serikali hiyo inaamini Wananchi Wake ni Wajinga kuliko Wanyama wa Mwituni, kwamba kila kitu wao wanaamini hakijulikani popote

View attachment 3368765
FB_IMG_1749728840762.jpg
 
Serikali ya Tanzania haitaki kusikia habari kama hizi, hii ni kwa sababu serikali hiyo inaamini Wananchi Wake ni Wajinga kuliko Wanyama wa Mwituni, kwamba kila kitu wao wanaamini hakijulikani popote

View attachment 3368765
Hili gazeti nalo siku hizi taktaka🚮🚮🚮 tu; wacha lifungiwe kwani halina mchango wowote katika mapambano ya haki
 
Situmikii chama ili nipate vyeo na utajiri.Natumikia chama kwa maslahi ya taifa na wala sio maslahi binafsi kama unavyofikiria.Kama wapo ambao wametajirika na kupanda vyeo kihalali sababu ya kutumikia chama sio jambo baya.
Ukiambiwa upiganie hayo masilahi ya taifa nje ya hiko chama kwako unaona inawezekana? Au kwamba hicho chama ndio taifa lenye?
 
Haiwezekani.Kwa nini niyapiganie nje ya chama changu? Nina kila sababu ya kubaki huku maana mpaka sasa hakuna mbadala wa hiki chama.
 
Back
Top Bottom