kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 8,093
- 15,417
No reform No election
Ndio tunapasha.Subiri OKTOBA mtatafutana.."Mnatiki Oktoba"? au tayari mshaanza kutiki!
Wewe ile Fomu ya 'TK Movement' bado haijakufikia? Huu utapeli mwaka huu utakomeshwa.
😆😆😆😆"Mnatiki Oktoba"? au tayari mshaanza kutiki!
Wewe ile Fomu ya 'TK Movement' bado haijakufikia? Huu utapeli mwaka huu utakomeshwa.
OKTOBA TUNA [emoji3581]
Ushajaza hiyo?Ndio tunapasha.Subiri OKTOBA mtatafutana..
OKTOBA TUNA ✔️Wewe ni shoga bila shaka
OKTOBA TUNA ✔️Ushajaza hiyo?
Hii habari tayari iko duniani hawana jinsi tenaSerikali ya Tanzania haitaki kusikia habari kama hizi, hii ni kwa sababu serikali hiyo inaamini Wananchi Wake ni Wajinga kuliko Wanyana wa Mwituni, kwamba kila kitu wao wanaamini hakijulikani popote
View attachment 3368765
Mta ✓ wenyewe kwa wenyewe, sio mbaya. Hakuna vyama vingine.OKTOBA TUNA ✔️
Halafu zinatapanywa huku
Vipo labda wewe.Mta ✓ wenyewe kwa wenyewe, sio mbaya. Hakuna vyama vingine.
OKTOBA TUNA ✔️Halafu zinatapanywa hukuView attachment 3368800
Kwahiyo?Wanatekwa aana huko kwao
NO REFORM NO ELECTIONOKTOBA TUNA ✔️
Labda ka ukoo kenu....OKTOBA TUNA ✔️
Sasa Mze Hassan Suluhu analia kwani alilazimishwa kushika hili bango, si kayataka mwenyewe jamani?
Huyu Mhariri atatekwa usiku huu, subirini mtasikia, CCM hii.Serikali ya Tanzania haitaki kusikia habari kama hizi, hii ni kwa sababu serikali hiyo inaamini Wananchi Wake ni Wajinga kuliko Wanyana wa Mwituni, kwamba kila kitu wao wanaamini hakijulikani popote
View attachment 3368765