Infiniteposibilities
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 314
- 290
Omba uzima uje ushuhudieludi tuliko toka maana hakuna uchaguzi
Omba uzima uje ushuhudieludi tuliko toka maana hakuna uchaguzi
Hatujawahi kujilinganisha na Mungu lakini uhalisia ndio hu😵ktoba hamtoboi.Upeni muda wakati na msijisahau sana mkajiona mko sawa na Mwenyezi Mungu
Umesema wewe.Subiri uone..Unajua kwamba ndege za Tanzania 🇹🇿 haziruhusiwi kuruka anga lolote la ulaya? Hii manake hata mkitiki raisi haruhusiwi kwenda popote labda dodoma
OKTOBA TUNA ✔️NO REFORMS NO ELECTION
# Pumzika salama MdudeSerikali ya Tanzania haitaki kusikia habari kama hizi, hii ni kwa sababu serikali hiyo inaamini Wananchi Wake ni Wajinga kuliko Wanyama wa Mwituni, kwamba kila kitu wao wanaamini hakijulikani popote
View attachment 3368765
Ufaidike wewe binafsi maana umesema unatumikua chama hivyo ufaidike kwa huo utumishi wako, ukijiingiza kwa wananchi wote kuna wengine hata kula yao tu bado shida, sasa wewe unatoa muda wako kutumikia chama halafu mwisho wa siku unabaki kuwa kama shabiki wa simba na yanga huku wengine wanapata mavyeo na kutajirika.Unataka nifaidikeje labda? Tunafaidika wananchi kwa maendeleo yanayoletwa na viongozi wetu.
Mnaibiwa au mnakimbia?Bora mngesema "OKTOBA MTAIBA"
Maana kwa kutiki pekee HAMTOBOI
uchaguzi wa maigizo labda maana mshindi anajulikanaOmba uzima uje ushuhudie
Situmikii chama ili nipate vyeo na utajiri.Natumikia chama kwa maslahi ya taifa na wala sio maslahi binafsi kama unavyofikiria.Kama wapo ambao wametajirika na kupanda vyeo kihalali sababu ya kutumikia chama sio jambo baya.Ufaidike wewe binafsi maana umesema unatumikua chama hivyo ufaidike kwa huo utumishi wako, ukijiingiza kwa wananchi wote kuna wengine hata kula yao tu bado shida, sasa wewe unatoa muda wako kutumikia chama halafu mwisho wa siku unabaki kuwa kama shabiki wa simba na yanga huku wengine wanapata mavyeo na kutajirika.
Katiki na Bibi yako alieezeka nyumba yake kwa makuti kule kijijini.OKTOBA TUNA ✔️
Kweli mshindi anajulikana kwa mazuri mengi aliyoyafanya.Kwanini tusiseme atashinda?Kubali tu mmeanza kuufyata.uchaguzi wa maigizo labda maana mshindi anajulikana
Ni kweli msipotiki wewe na bibi yako tutatiki sisi na bibi zetu.Mbona umepanick?Katiki na Bibi yako alieezeka nyumba yake kwa makuti kule kijijini.
Wizi, wizi, wizi..Mnaibiwa au mnakimbia?
Mataahira hawajui kupanic wao huchekelea kila jambo.Ni kweli msipotiki wewe na bibi yako tutatiki sisi na bibi zetu.Mbona umepanick?
#OKTOBA TUNA ✔️
😂Mataahira hawajui kupanic wao huchekelea kila jambo.
NO REFORMS NO ELECTIONOKTOBA TUNA ✔️
Tamaduni huu ni mpya kwetuSerikali ya Tanzania haitaki kusikia habari kama hizi, hii ni kwa sababu serikali hiyo inaamini Wananchi Wake ni Wajinga kuliko Wanyama wa Mwituni, kwamba kila kitu wao wanaamini hakijulikani popote
View attachment 3368765