Je, gari la mizigo likiandikwa "transit goods" huwa inamaanisha nini?

Sasa hilo jina lako mbona haliendani na akili yako, kama hata hujui maana ya transit goods

1632513642086.png
 
Sasa hilo jina lako mbona haliendani na akili yako, kama hata hujui maana ya transit goods

View attachment 1951404

Pengine hukuelewa mantiki ya huu mnakasha.

Sisi ni kampuni ya lojistiki na usafirishaji, tunatumia nafasi yetu kupima uelewa wa wadau pamoja na jamii kuhusu dhana mbalimbali za sekta yetu.

Karibu utupatie mchango wako. Unaelewaje unaposikia au kuona gari limeandikwa Transit Goods?
 
Mzigo wowote unaotoka A kwenda C Kupitia B unakua ni Transit Goods mfano mzigo unatoka Kongo kwenda China Kupitia Tanzania ni Transit goods(Sisi Tanzania tutaita Goods in Transit ila wao wakongo wataita Export na china ataita Import) kuna vibali unalipia kwa Tanzania gari kuwa Transit kuna Kibali kinaitwa C28 unalipia $200 kwa mwaka.(Wether umekikata January au October 2021 validity yake mwisho ni december 2021).
Mzigo unatoka zambia kwenda Rwanda kupitia Tanzania either kwa Barababara au Kwa maji(Lake Tanganyika) ni Transit Goods.
 
Haya maelezo ni sahihi 100%.

Ni matumaini yetu watu wengi watajifunza kupitia ufafanuzi huu mzuri.

Asante Jestkilla kwa kutoa elimu inavyostahiki.
 
Mizigo inayopita nchi moja kwenda nyingine mpaka kufika panapohusika...

Ngoja waje kukupa mungozo...
 
Back
Top Bottom