Je Dudu baya amewahi toa msaada Gani/ kumchangia mtu

Je Dudu baya amewahi toa msaada Gani/ kumchangia mtu

Daaah naona mwamba hayuko sawa baada ya kwenda kutibiwa India anamchukia Kila mtu .....Kwa sababu hakuchangiwa ......na saizi anaona Kila mtu aliye mbele yake ni adui 😂😂😂

Je yeye amewahi toa msaada Gani

Nb Dudu baya, yu bela wochi yua back😂😂
nilishakutana nae muhimbili mwaka juzi eneo la MRI
jamaa alikua yupo vibaya hatari
kama hakuchangiwa acha tu awe na hasira😅😅😅
 
Meaning???

Screenshot_20260711_214855_Google.jpg
 
Daaah naona mwamba hayuko sawa baada ya kwenda kutibiwa India anamchukia Kila mtu .....Kwa sababu hakuchangiwa ......na saizi anaona Kila mtu aliye mbele yake ni adui 😂😂😂

Je yeye amewahi toa msaada Gani

Nb Dudu baya, yu bela wochi yua back😂😂
If you touch me once ,i'll touch you triple ,this is mamba 24 .we live our lives! Holla.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom