....πππ....kabisa mkuu, tena hapo ushukuru siku hiyo wasiwe wameongeza na uchungu wa maisha, watakusema sana mpaka ukonde ndo mana unaona yule gavana anaongezeka matako maana anasemwa kila muda anatupiwa laana
Mwaka wa uchaguzi, huyu lazima atamla kichwa ili kurudisha imani iliyopoteaTatizo yule Bwana wa Ikulu mteuzi huwa anayapenda majitu kama haya. Anaweza asichukue hatua yeyote dhidi ya Kigwanga.
Ule ulikuwa wizi au audit query?Kamuulize Assad mwenyewe ndiye anajua. Alijifanya puyuyu kamwonyesha upuyuyu wake sasa kila siku anatembelea mashamba yake na ameanza kuwa mfanyabiashara uzeeni.
Kwahiyo Allah mwenyewe ni Magu au sijaelewa?Kumbuka Kigwangwala ni Muislam, mteuzi ni Allah pekee siyo binadam mwenzake.
Besides, Kigwangwala ana profession yake, sijui wewe?
Utumwa unao tu ukipenda usipende, una nini cha kukufanya usiwe mtumwa?Huu utumwa wa mazoea watu kuitwa hassan,ally,muddy, asha,chiku,Sofia, faiza nk kuhisi ni watu wa dini ya kiislam umepitwa na wakati
NB ukija hapa zenji na maeneo mwngi ya pwani A/mashariki watu jinsi hiyo nao makafiri tuu, hata HK vivyo hivyo jina lisiwadanganye hata hiyo elimu ya MD in elimu kama zilivyo zingine atumvuliwe tuu maana anatumalizia nguruwe pori wetu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nmecheka kisenge man! "Koneksheni"
Hahahahahah, ni baada ya kuwaza tu hio kauli ya mdau. Ati watu wakishaangalia koneksheni wanapayukaga tu π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Utumwa unao tu ukipenda usipende, una nini cha kukufanya usiwe mtumwa?
Don't ..... with a fool people might not notice the difference!Kigwanga hizo Tsh 2.58 bil alitakiwa kuziombea IDHINI ya Bunge kuzitumia kupitia SHERIA ya MAREKEBISHO ya MATUMIZI ya Wizara yake. Na huko bungeni CCM ina majority, wangempitishia tu na kumuachia azitumie atakavyo. Kigeanga hata hilo HUJUI? Kwa kweli HUELEWI Governance at ALL! Soma maana ya WIZI kwenye Penal Code.
ampate wapi? wakati jamaa ndio anazidi kushaini, yeye kangi ndio kadedi
Kigwangwala si msimamizi wa fedha za wizara.
Wizara na idara zote za serikali zina taratibu na kanuni zake kuhusu mambo ya fedha.
Sitegemei kuwa utaelewa. Waelewa tunawafahamu Kwa maandiko yao tu.Kwahiyo Allah mwenyewe ni Magu au sijaelewa?
Na wewe unaona wivu au ni mchepuko wake?
Kumbe ni Mwislamu?Kumbuka Kigwangwala ni Muislam, mteuzi ni Allah pekee siyo binadam mwenzake.
Besides, Kigwangwala ana profession yake, sijui wewe?
anajua kama siyo favoritism ya Jiwe, alikuwa anakwenda na maji sasa hivi. Ameiba sana... eti 800,000,000 ni posho...View attachment 1411989
Hii ndio kauli yake baada ya mashambulizi kutoka pande zote baada ya ripoti ya CAG
View attachment 1411989
Hii ndio kauli yake baada ya mashambulizi kutoka pande zote baada ya ripoti ya CAG
Mteuzi ni Allah?Kumbuka Kigwangwala ni Muislam, mteuzi ni Allah pekee siyo binadam mwenzake.
Besides, Kigwangwala ana profession yake, sijui wewe?
Mteuzi ni Allah?
Hii ni serikali ya Allah?
Theocracy regime ilianza lini?