Je, chatu anaweza kuua jamii ya paka (Simba, Chui, Duma)?

Je, chatu anaweza kuua jamii ya paka (Simba, Chui, Duma)?

86035022b14bb61bc6d48d32aa23007e.jpg
 
Hata Dinasour hawezi mezaTembo wala IST.
Hahaha dinasours wa kwenye Jurassic Park/World wanaweza mkuu

Ila inasemakana dinasours waliokuwepo zamani waliweza aise

Maana wanasema kuna waliokuwa wanafikia size ya mlima

Kama tu ambavyo kuna nyangumi wanafikia size ya kisiwa
 
Nami niliwaza hilo la kumkamata bichwa lake ila hiyo itafaa ikiwa hajakubana hadi mikono! What if akakuwahi akakubana hadi mikono ukabaki umenyooka kama moja utafanyaje?
Unamezwa tu. Huna namna.

Ni kama mkeo kuna point ikishafika anakuwa helpless anakubali tu utimize nia yako hata kama ana hasira sana na hataki. Au ushtuke usiku ukute majambazi yamezunguka kitanda na mapanga, risasi n.k hapo huna ujanja tena.
 
Hahaha dinasours wa kwenye Jurassic Park/World wanaweza mkuu

Ila inasemakana dinasours waliokuwepo zamani waliweza aise

Maana wanasema kuna waliokuwa wanafikia size ya mlima

Kama tu ambavyo kuna nyangumi wanafikia size ya kisiwa
Dianosor wa ardhini mkubwa kiumbo ni yule mwenye shingo ndefu, So Trex na Spanous ambao ndio Apex Predate Size ya mwili wao ni mkubwa kuliko Tembo ila sio ukubwa wa kuweza kummeza Tembo atamla kwa vipande vipande mpaka aishe Kwanzaa hawana sifa ya kumeza wanamega na kutafuna...
 
Hii midude mikubwa alafu aggressive inampiga biti mpaka Tembo mkubwa anarudi nyuma anakuja speed.
Kuna clip moja niliicheki simba tena jike linarushwa Mateke na twiga hadi likasalimu amri
 
Unamezwa tu. Huna namna.

Ni kama mkeo kuna point ikishafika anakuwa helpless anakubali tu utimize nia yako hata kama ana hasira sana na hataki. Au ushtuke usiku ukute majambazi yamezunguka kitanda na mapanga, risasi n.k hapo huna ujanja tena.
Hahaha bora hata majambazi yanaweza yakakuhurumia yakaghairi kukuua mkuu! Huyo bwana mkubwa hadi afikie hiyo hatua basi we jihesabu ushageuzwa kitoweo tu!
 
Jaguar ni jamii ya chui madoa! Ila watu wengi wanajuaga huyo cougar/puma ndiyo jaguar!
Jaguar wako aina tatu
*madoa
*madoa na weusi
*mweusi full

Puma common colour yake ni ya simba nyeusi ni optional na hivyohivyo kwa jaguar common ni madoamadoa nyeusi ni optional.
 
Dianosor wa aldhini mkubwa kiumbo ni yule mwenye shingo ndefu, So Trex na Spanous ambao ndio Apex Predate Size ya mwili wao ni mkubwa kuliko Tembo ila sio ukubwa wa kuweza kummeza Tembo atamla kwa vipande vipande mpaka aishe Kwanzaa hawana sifa ya kumeza wanamega na kutafuna...
Yeah dinasours wengi wanakata na kutafuna! Anyway hizi za kumeza magari nahisi huwa ni theories tu!
 
Uzuri ni kuwa anakubana kuanzia miguuni kuja kichwani, kwa hiyo Kama mikono yako haijabanwa jaribu kutafuta kitu chochote hata kipande Cha mti au jiwe halafu anza kumshambulia, akisikia maumivu tu anakuachia. Usishindane kujinasua limdudu Hilo Lina ngozi ngumu Sana likikunasa na kufanikiwa kukufunga mikono umekwisha.
 
Chatu anaweza kummeza hadi Tembo ila akimmeza anakaa hapo hapo had aozee ndo aondoke,,chatu mwili wake upo kama mpira unatanuka ,

Chatu anaweza kumeza hadi gari ndogo kama Passo Vitz nk
[emoji23][emoji23] uyo chatu yupi tena jamani?
 
Jaguar wako aina tatu
*madoa
*madoa na weusi
*mweusi full

Puma common colour yake ni ya simba nyeusi ni optional na hivyohivyo kwa jaguar common ni madoamadoa nyeusi ni optional.
Duuh nimewaza sasa wakimuona yule mweusi wanawezaje kutofautisha kuwa huyu ni jaguar na huyu ni cougar (puma)
 
Chatu kama moja ya mnyama anayekula wanyama wengine hakuna utata kuwa chatu anaweza mshambulia na kumla Mbuzi, Mbwa, Swala nk.

Swali: je, chatu mkubwa anaweza mshambulia mnyama jamii ya paka akamla mfano Simba, chui na Duma?

Nyoka wote hawawezi kukamata mnyama jamii ya paka.
Hata nyumbani kwako ukifuga paka, nyoka inakuwa nadra sana kuonekana. Maana hata harufu ya choo ya paka wakiisikia, wanakimbia.
 
Back
Top Bottom