Hivi chatu akikubana na mwili wake kweli hauwezi kujiondoa How it is powerful.
Inategema na size ya chatu na wewe. its all about sizes... mfano jamii nyingi ya chatu wanaopatikana huku kwetu (Pythons) ni nadra yeye kuweza kumeza mtu mzima au mnyama mkubwa ataishia level za mbuzi.. kama binadam labda awe mtoto. ila anaweza akakuua kwa kukubana. "
squeeze" (akuvunje mbavu au kama shingo) . ila kama anaconda wa huko brazil na amazon forest.. ukiingiza kwenye kumi na nane zake asubuh tu kamaliza kazi. maana kuna chatu anaweza wa kubana ile squeeze force yake ni kama umeshushiwa kirikuu kifuani ( not a joke).. au uzito wa nusu tani. sasa unatokaje hapa.... The larger the
snake, the more muscle mass it has, and the tighter it
can squeeze.
chatu wa huku kwetu ambao ni jamii ya python madhara ya m-bano wake inategemea na ukubwa wake na mahali alipobana. mfano anaweza akakubana mkono ukaweza kutoa ama akaharibu muscle tissues.
NB: kumbuka chatu anaanza kung'ata kwanza kabla ya kujicoil kwa mnyama au mtu. na nguvu ya zile K9 zake ni hatarii kubw, taya zake zina nguvu akikung'ata kutoa hizo K9 ni shughuli. anaweza akakutanisha meno. pia na nguvu ya kubana inategemea na ukubwa wa mnyama. yaani kama ni mkubwa na ana kukurukakara nyingi basi anaongeza m-bano. yaani anakupimia kutokana na unavyoreact.
Pia jaami kubwa ya nyoka attacking area yao ni ndani ya mita moja. so ukiona nyoka kaa umbali wa mita moja na zaid maana anaweza weza akakuatack kutokea alipo within a second. they are so fast. na wako vizur kwenye mahesabu akiatak ujue ameshascan umeingia kwenye 18 zake ( within 1m tu 1.5m).
for your curiosity watch the below video...