Je, chatu anaweza kuua jamii ya paka (Simba, Chui, Duma)?

Je, chatu anaweza kuua jamii ya paka (Simba, Chui, Duma)?

Sio hawa wakubwa yunaowajua sisi ama sio hawa wadogo tunaowajua sisi? [emoji849] [emoji849] [emoji849]

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Wa kwetu ni wakubwa kuliko wale unaowaona wanakamatwa na jaguar, wale ni caiman(wadogo kiumbo) kwahiyo ni wepesi kuwatoa kwenye maji ila crocodile mwenyewe anayepatikana kwenye bara letu hili sio wa mchezomchezo ukimzamia kwenye maji anazama na wewe mazima
 
hadhuru binadamu wala wanyama wengine? Kwamba anakula majani sio? Itakuwa uliona mbuzi mkuu.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Kudhuru kwa kupigana sio aggressive si kihivyo ila viswala anatafuna ni cheeter wale nadhani hata kwenye magari ukiwa nalo la wazi nyuma wanaingia ndani ukisimamisha wengi wapo masai mara nadhani Mkuu sisi Arusha tumezungukwa na mbuga kila ukitoka Km chache tuu unaigusa serikali hasa kwa mimi huwa nashinda porini mara kwa mara huwa nakutana na wanyama aina tofauti wengi sana tuna wanyama wengi sana Tanzania wao wapo busy kuongeza Kodi za magari ya utalii tuu...
 
Chatu anaweza vizia hao kina cheetah lakini sio simba, msituni simba ndio kila kitu, kifupi simba anaogopwa hadi na Tembo
Tembo !? My foot

You must be kidding

Tembo na kifaru kiboko na Ngiri

Simba Hana Cha kuwafanya labda wawe Simba 10 kwa kifaru 1 au Tembo 1

Hiyo kwa mnyama yoyote lazima ataliwa tu kwa sababu uzito wa uzani na wingi unakuwa umeongezeka pia mnyama husika anaye shambuliwa anakuwa amechoka hiyo huwa inatokea hata kwa Simba 1 anaweza kuvamiwa na kundi la fisi wa tano na analiwa vile vile Maisha ya mbugani hayana mwenyewe Ni ubaya ubaya tu
 
Anammeza binadamu na anasepa vizuri tu.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Anajiweka sehemu hamwezi kumuona, kwa miezi ka mitatu hivi ndio chakula ki digest, na during that time Chatu huwa vulnerable sana yaani kumuua ni rahisi sababu nguvu zake nyingi zinatumika kusaga yule mnyama aliyemezwa haswa akiwa ni mkubwa mno
✌️
 
Fatilia wapo aina moja ya nyati ndio wana ujasiri huo rangi yao ni nyeusi tii sio kama hawa wengine wanaliwa tuu kama ng'ombe na kukimbizwa na pia Simba mmoja hawezi kuua dume moja la wale nyati weusi hilo haliwekani mpaka washirikiane tena washikamane kweli kweli bila hivyo mmoja anaweza kuaga dunia.
Mkuu maisha ya mbugani ni tofauti na nilivyokuwa najua hapo kabla nimetoka kumuona nyumbu akimtoa mbio Simba na Simba kakimbia vibaya Sana [emoji3]
 
Mbona chatu anameza ng'ombe mkubwa? Inamaana chatu anakuwa mzito kuliko yule ng'ombe?

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Sio hivyo, anaweza hayo kwa sababu wakati wa kumeza mwili wa chatu hutanuka kama rubber vile na kuongezeka size maradufu ili lile windo lake liweze kuwa accommodated ndani ya mwili wa chatu.
✌️
 
Sio hawa wakubwa yunaowajua sisi ama sio hawa wadogo tunaowajua sisi? [emoji849] [emoji849] [emoji849]

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Caimans inhabit Mexico, Central and northern South America from marshes and swamps to mangrove rivers and lakes. Hao ni family moja na Alligators lakini wana utofauti kiasi, na ndio chakula cha 'Jaguar' kule ndani ya Amazon forest.
✌️
 
Kudhuru kwa kupigana sio aggressive si kihivyo ila viswala anatafuna ni cheeter wale nadhani hata kwenye magari ukiwa nalo la wazi nyuma wanaingia ndani ukisimamisha wengi wapo masai mara nadhani Mkuu sisi Arusha tumezungukwa na mbuga kila ukitoka Km chache tuu unaigusa serikali hasa kwa mimi huwa nashinda porini mara kwa mara huwa nakutana na wanyama aina tofauti wengi sana tuna wanyama wengi sana Tanzania wao wapo busy kuongeza Kodi za magari ya utalii tuu...
Kweli hapa, kuna cheetah huwa wakishiba basi wanatulia hata mkiwa mbugani anaeza panda juu ya gari lenu au hata kuzama ndani, awacheki alafu ashuke chini mwenyewe, bora usifanye mchezo naye au kumuudhi kivyovyote vile, ni hatari na bado kisheria ni makosa. Yule ni mnyama so be cautious!
✌️

Screenshot_20210302_234534.jpg
 
Kweli hapa, kuna cheetah huwa wakishiba basi wanatulia hata mkiwa mbugani anaeza panda juu ya gari lenu au hata kuzama ndani, awacheki alafu ashuke chini mwenyewe, bora usifanye mchezo naye au kumuudhi kivyovyote vile, ni hatari na bado kisheria ni makosa. Yule ni mnyama so be cautious!
[emoji3577]

View attachment 1733916
Hapa mie nishajinyea kitambo
 
Umenikumbusha kuna jamaa alinaswa na chatu akawa hana silaha yoyote, jamaa aliamua kama noma na iwe noma [emoji16][emoji16][emoji16] wakati chatu anajizungusha kwenye mwili wake jamaa alimng'ata nakutoka na nyama kilo mbili mbili. Chatu likamuachia likakimbilia maporini kwa speed ga 4g. Mda mchache baadae yule chatu alirudi pale kwa kasi sana lakini jamaa alikuwa ashasogea eneo lingine.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Ukimjeruhi lzm akuteme
 
Kweli hapa, kuna cheetah huwa wakishiba basi wanatulia hata mkiwa mbugani anaeza panda juu ya gari lenu au hata kuzama ndani, awacheki alafu ashuke chini mwenyewe, bora usifanye mchezo naye au kumuudhi kivyovyote vile, ni hatari na bado kisheria ni makosa. Yule ni mnyama so be cautious!
[emoji3577]

View attachment 1733916
hivi ukimdishia uamue kupambana nae hako kachui kadogo. si atakimbia jaman..au ni wakubwa hao?
 
Tiger pumzi ndogo kwa Simba
Tiger Hana mbinu za upiganaji kama Simba
Ndio maana
Tiger anapomuona Simba,hukimbia Vita

Simba ni mpambanaji zaidi na hakubali kushindwa
Tofauti na Tiger

Ni kweli
Tiger anapigana kwa kutumia Mikono miwili
Ila Simba,Mkono wake Una nguvu zaidi,
Kisha
Simba ana control katika mapambano
Asante kwa kujazia nyama
 
Asante kwa kujazia nyama
Limezuka kundi kubwa katika katika mitandao ya Kijamii hususan U-tube wakiongozwa na Asia(China,Korea,India nk)
Kutaka kushusha heshima ya Simba

Wanajazia mauongo mno kwa kuchukua Simba Mzee au Simba Mtoto au Simba Mgonjwa na kumpambanisha na Tiger Alieshiba vzr

Hizi propaganda zao zimefahamika kitambo na wapo Watu wanao waumbua kila siku

Simba ni Baba wa Nyika na Mfalme mbele ya Wanyama wengine.
 
Nasikia chary akikubana.. wewe mchane na kiwembe kidogo tu atararuka mwili mzima alitaka kubana..sijui ni kweli
Wengi wanadai sindano, au chochote Chenye ncha kali akichomwa kwenye tundu lake huwa anaachia.

Sina uhakika sana lakini.

Way back in 2003 tukiwa machungani tuliwahi kumwachisha Chatu windo lake, alikuwa amemkamata swala.

Tulimkuta bado anamlainisha kwa mate ndiyo aweze kummeza tulimpa purukushani kwa fimbo alimwachia swala.
 
Tembo !? My foot

You must be kidding

Tembo na kifaru kiboko na Ngiri

Simba Hana Cha kuwafanya labda wawe Simba 10 kwa kifaru 1 au Tembo 1

Hiyo kwa mnyama yoyote lazima ataliwa tu kwa sababu uzito wa uzani na wingi unakuwa umeongezeka pia mnyama husika anaye shambuliwa anakuwa amechoka hiyo huwa inatokea hata kwa Simba 1 anaweza kuvamiwa na kundi la fisi wa tano na analiwa vile vile Maisha ya mbugani hayana mwenyewe Ni ubaya ubaya tu
Nimesema tembo anaogopa simba , maana simba ndio myama anae kula sana watoto wa tembo kuliko mnyama yoyote nyikani. Mnyama yeyote akisikia muungurumo wa simba lazima apate muhao kama sii kutoroka kabisa

Kifaru, Ngiri ,kibiko hao ni chakula cha simba,. Sema simba hapendi sana kuwinda kiboko sababu hapendi nyama yake, hata akiuwa kiboko wanakula kidogo wanaacha.
 
Anajiweka sehemu hamwezi kumuona, kwa miezi ka tatu hivi ndio chakula ki digest, na during that time Chatu huwa vulnerable Sana yaani kumuua ni rahi sababu nguvu zake nyingi zinatumika kusaga yule mnyama aliyemezwa haswa akiwa ni mkubwa mno
[emoji3577]
Kwa nilioshuhudia mimi Chatu akimeza mnyama anatulia hapo kwa muda mrefu protection yake huzungukwa na mchwa wale wadogo wadogo kutengeneza kifusi hivyo huwa haonekani sana.
 
Back
Top Bottom