imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,236
- 98,453
Nimeshawahi kuona Video ya Chatu akimuambush Nungunungu na miba yake na kummeza mzima mzima ila nae alikufaWengi wanadai sindano, au chochote Chenye ncha kali akichomwa kwenye tundu lake huwa anaachia.