Kilembwe
JF-Expert Member
- Aug 19, 2009
- 2,057
- 1,616
Dah! Mkuu hata iwe slow vipi hakuna digest process inachukua miezi mitatu! ila ni kweli kama chakula hakuna anaweza kukaa muda mrefu bila kula...ila sio kwa sababu ya digestion
Anajiweka sehemu hamwezi kumuona, kwa miezi ka mitatu hivi ndio chakula ki digest, na during that time Chatu huwa vulnerable sana yaani kumuua ni rahisi sababu nguvu zake nyingi zinatumika kusaga yule mnyama aliyemezwa haswa akiwa ni mkubwa mno
✌️