Je, chatu anaweza kuua jamii ya paka (Simba, Chui, Duma)?

Je, chatu anaweza kuua jamii ya paka (Simba, Chui, Duma)?

Alafu sielewi kitu kimoja sawa Samson alikuwa na Nguvu ila rule of the jungle sio suala la kuwa na nguvu tu pia meno na makucha...je Samson angekamatwa shingoni asinguwawa na simba.
Zile story tu Mkuu, don't take it serious
 
Yule sio tiger ni jaguar. Tiger ni strong kuliko jaguar, amejaa sana halafu amepanda,.
Ila hata wakiungana jaguar na tiger hawezi kuuwa dume moja la simba lililoshiba, simba ni habari nyingine
Unamjua tiger au unamsikia tiger ni habari nyingine simba dume hatii mguu hata kidogo halafu ni mkubwa kumzidi simba nitakuwekea clip uone mwenyewe
 
I think Ina depends umemkuta katika wakati gani ukizingua ana kula vizuri tu

Ila chui Wana desturi fulani hivi ya paka mdogo wanapenda kucheza na binaadamu

Umeona hapo wameingia mpaka kwenye gari ya watalii hiyo Ni Masai Mara kenyaView attachment 1733534View attachment 1733535
Hao sio chui mzee baba, chui akai na watu namna hiyo wala huwezi kuwakuta kikundi kama hao cheetah!
 
I think Ina depends umemkuta katika wakati gani ukizingua ana kula vizuri tu

Ila chui Wana desturi fulani hivi ya paka mdogo wanapenda kucheza na binaadamu

Umeona hapo wameingia mpaka kwenye gari ya watalii hiyo Ni Masai Mara kenyaView attachment 1733534View attachment 1733535

Huyu sio CHUI (Leopard) ni DUMA (Cheetah) huyu anafugwa kama vile Mbuzi au Mbwa, kasheshe ipo kwa Leopard HAFUGWI na HANA UJAMAA
 
I think Ina depends umemkuta katika wakati gani ukizingua ana kula vizuri tu

Ila chui Wana desturi fulani hivi ya paka mdogo wanapenda kucheza na binaadamu

Umeona hapo wameingia mpaka kwenye gari ya watalii hiyo Ni Masai Mara kenyaView attachment 1733534View attachment 1733535
Hao ni Duma hawanaga noma ni nyau walioongezeka urefu...Chui hana urafiki hata kidogo.
 
Mkuu huyo mamba ni.kama wa huku kwetu au ni aina gani ya mamba maana najaribu kuvuta picha ya mamba wetu jins alivyo sipati jibu
Hivi tofauti kati ya Crocodile na Alligator ni nini? Maana kwa kiswahili wote ni Mamba ila kwa kiingereza Naona wamewatofautisha sasa sijajuaga hadi leo tofauti yao ni nini ni size au characters tu?
 
Lakini niliwahi kusikia kwamba Chatu akimmeza mnyama mkubwa mf mbuzi au mwanadamu ni kwamba hawezi toka mahali hapo anaweza kikaa kwa muda angalau siku 7 nakuendelea hadi pale atapomaliza mmeng'enyo wake ndipo anaondoka[emoji23][emoji23] sijui ni kweli!

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
Yes ni Kweli mkuu
 
A python in Indian forest. Image credit: Girish HC/Shutterstock.com
A python in Indian forest. Image credit: Girish HC/Shutterstock.com
Pythons are part of the constrictor family of snakes. This means that they do not use venom to kill their prey, but rather they squeeze their victims with mighty muscles, until their prey drops dead. Pleasant. Then, they chow down.

These snakes can grow to be quite big-up to 30 feet long, weighing up to 200 lbs- and as such, they are some of the largest snakes in the world. Pythons live in a variety of environments including grasslands, woodlands, swamps, rocky outcrops, rain forests, dunes, and shrubs. These constrictors are more likely to be found in Asia, Africa, Oceania, and Australia, but they have also made inroads in the US as one of the most invasive species in the Everglades.

What do they eat? Pythons like to munch on both large and small animals. They normally feed on rodents, birds, lizards, pigs, wallabies, monkeys and even antelopes. But pythons might also attack big cats, including tigers, if the right opportunity presents itself. It could be that a tiger fighting a python in the wild would get away, or win, but it is possible that sometimes the snake can have its way.

@Karma hili dude likuangalie usoni

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Hivi tofauti kati ya Crocodile na Alligator ni nini? Maana kwa kiswahili wote ni Mamba ila kwa kiingereza Naona wamewatofautisha sasa sijajuaga hadi leo tofauti yao ni nini ni size au characters tu?
iko hivi mamba Ni reptilia kwenye order crocodilia!! Imemgawa kwenye order zingine mbili Kama squamata (nyoka na mijusi)
Au chelonia makobe(turtles,terraps na tortoise)

Alligator na crocodile wako kwenye order moja kinachowatofautisha Ni shape za midomo yao,mawin ma na geographical position
 
Labda upate msaada kwa watu wengine, kuna episode moja Nat Geo wanafanya expirement mtu akiwa amebanwa hadi kumezwa ile process basi mzungu hapo amevaa mavazi Special yatamsaidia asidhurike na nyute za chatu na pia asi suffocate, wakaweka camera kwa helmet pia, sikuimalizia, jaribu kucheki YouTube iko hataree yaani wazungu wana ufala sana. Wanatesa wanyama kisa experiment za kingese. [emoji23][emoji23][emoji23] Hiyo kazi hata millioni sifanyi, yaani niliwe live, aha pesa zina shida [emoji23]
[emoji3577]
Tuma link
 
Back
Top Bottom