zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 19,081
- 28,742
Mkuu mbona hatuelewani vitu vidogo embu wwe niambie hao wananachi wakiingia barabarani system itazuiaje hilo ndo swali???? Maana nyie mnadai system ndio inaamua rais sio wananchi ndo nakuulixa je wananchi wakiingia barabarani kma kenya system watazuia?????Endelea kusubiri watanzania waingie Barabarani...nakuhakikishia utazeeka na vitukuu vyako vitazeeka hilo halitatokea
Watanzania hatujalelewa kwa utamaduni huo
Ninyi msipokubali kubadilika na kujirekebisha hamtakaa mpate dola.......
Unadhani Tume huru inakuja kama upepo..Tume huru inadaiwa..tena kwa strategy madhubuti,....na kwa kupata support ya mfumo......sasa wewe hcho chama chako CHADEMA kinafanya nini kuhusu tume huru?
Muwe mnasikiliza..wengineo sisi tunawaambia
Nijibu hilo sio kusema ntazeeka sijui tume huru haiji kwa upepo we jibu swali kwamba system wanaweza zuia nguvu ya umma ukiamua mabadiliko??