Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?

Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?

natatizwa na haya madudu yao madogo madogo yanayo onyesha all signs za immaturity kwa upande wa Chadema, such that bado ni chama ambacho hakijaonyesha ukomavu wa kutosha enough to convince Tanzanians kuikabidhi ikulu yetu comes 2020, waipige chini CCM na kuikabidhi Chadema Ikulu yetu ya Magogoni.

Jee kwa maoni yako, unaiona Chadema as a credible,capable na serious opposition, iliyokomaa na kuwa mature enough with the ability, capability and credibility ya kukabidhiwa ikulu yetu 2020?.

Kwa upande wangu, honestly, I don't think,
Wewe siyo ni opportunist Kama Zitto. Ikitokea chadema wakashika dola utahamia chadema
Mkuu Ikitota, nadhani sio ikitota bali imeisha tota nzila! Ikitotanzila , ni Chadema ipi hiyo ya kushika dola?, ni Chadema hii hii inayozungumzwa kwenye bandiko hili, au kuna Chadema nyingine inakuja ndio itaweza kuwa mbadala wa CCM?.

P
 
Ngoja time huru ije ndo utajua chadema ipi Mana ile kutekana ukiwa unarudisha form havitakuwepo Tena. Chadema ni motto wa kuotea mbali hata ccm eanalijua Hilo. Ndiyo Mana jpm aliishia kuwatandika masasi ili wafuasi wake waogope.
 
Mkuu Ikitota, nadhani sio ikitota bali imeisha tota nzila! Ikitotanzila , ni Chadema ipi hiyo ya kushika dola?, ni Chadema hii hii inayozungumzwa kwenye bandiko hili, au kuna Chadema nyingine inakuja ndio itaweza kuwa mbadala wa CCM?.

P
Tatizo lako unapenda kupangia maisha wengine nakumsahau Mungu aliyenamipango zaidi.

Unapozungunzia kutoshindwa kwa ccm sifikirii kama unazongumzia kutokana na kukubalika kwao bali unamaanisha wataua, kupiga kura feki kwa mamilioni ili ishinde sawa twende huko unakotaka lakini ujue Mungu ndiye mpangaji na utakuja kukana kila neno lako hapa.

Mlimpangia magufuli kuongoza milele na milele na kujisahau kwmba Mungu ndiye muweza wa kila kitu.

Leo jiwe limeshaondoka na ccm itaondoka.

Vamos ver o que vai acontecer lá à frente.
 
Kama Chadema walikuwa wanaheshimu mawazo ya wanachama wao basi wangefata taratibu za vikao na kumteua mgombea urais badala ya watu wachache kukaa na kuja na jina lao hii ilionyesha wazi Chadema sio chama cha kidemokrasia kama kinavyojiita ila ni kikundi cha watu wachache wenye malengo maalumu.
Mkuu rodrick alexander, kwanza asante sana kwa kuwa very objective, na kama wewe ni member, mshabiki, mfuasi au mpenzi wa Chadema, watu objective kama nyinyi ndio mnaweza kuisaidia Chadema ikae kwenye mstari!. Wengi wa members, wafuasi na washabiki ni ma nyumba!.

Naomba kukuuliza, jee unaijua katiba ya Chadema?, uliwahi kuisoma?, unazijua taratibu za kufukuza wanachama na mamlaka ya nidhamu kwa mujibu wa katiba ya Chadema?. Katika timua timua zote, ni lini Chadema waliwahi kuheshimu mawazo ya wanachama wao na kufuata taratibu za vikao vya mamlaka ya nidhamu kwenye timua timua zote?.
Mimi nilifuatilia timua timua hizi

Hakuna hata mara moja Chadema wamefuata katiba yao!.

Nashukuru baadhi ya watu ndio mnaanza kutambua kuwa Chadema sio chama cha kidemokrasia kama kinavyojiita ila ni kikundi cha watu wachache wenye malengo maalumu!.
Angalia tarehe ya bandiko hili Kufuatia Madudu na Maroroso ya CHADEMA, Je, bado kuna imani na matumaini na CHADEMA kwa 2015?

P.
 
Mimi sio mfuasi wa chama chochote ila napenda tuwe na vyama vyenye nguvu kwa manufaa ya Taifa, bahati mbaya Chadema kama kilichokuwa kinafikiliwa kuwa chama mbadala kiimeonyesha madhaifu makubwa yanayoacha maswali mengi kama kweli kikipewa dola kinaweza kutawala.
 
Mkuu Rodi, tusiongee zaidi, wenyewe hawapendi kuambiwa ukweli, hawachelewi, kukufungulia bomba la mitusi!.
P
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la swali la tathmini kuhusu upinzani kuweza kuchukua nchi uchaguzi wa 2020. Kwa upande wa huku Tanzania Bara, ukizungumzia upinzani ni unazungumzia Chadema, hivyo hili bandiko kuihusu Chadema, as a representative wa upinzani kwa huku Tanzania Bara, vipi kuhusu Chadema, seriousness yake, its abilities and the capabilities kuelekea uchaguzi wa 2020. Hivi CHADEMA, hii, hivi ilivyo, inawezo wa kushinda uchaguzi wa 2020?, na hata ikatokea ikashinda kwa muujiza tuu kama wa Kenya, Zambia na Malawi, jee inaweza kuendesha nchi?. Is it a serious party?, is it capable, is it credible?. Is it organized?, does it have succession plan?. Is it mature enough opposition, kuweza kukabidhiwa ikulu ya Nchi yetu 2020?.
Au kutokana na mashaka mashaka, hata ukitokea muujiza wa Chadema kushinda uchaguzi, jee itatangazwa na kukabidhiwa nchi?. I doubt, kwasababu I have a feeling kuwa nchi inakabidhiwa by vetting and not voting, ushindi kwenye kura za urais depends not only on the votes casted, but he who counts the votes!.
Hata uchaguzi wa 2025, Ingekuwa ni Chadema ya Lissu, ina fursa,lakini hii hii Chadema ya Mbowe, I doubt!。

P
 
Ndugu pascal, unahisi ni kwanini chadema ya lisu ingeingia ikulu??!!
Hebu tupe sababu mbili tatu hivi kama hutojali
Mkuu Puti, Putina ,Mbowe ni mtoto wa kishure,mstaarabu,muungwana,hivyo Chadema ya Mbowe ni Chedema ya kiugwana inayofanya siasa za kistaarabu ambazo kamwe haziwezi kuitoa CCM madarakani, Lissu ni mtoto kutoka familia masikini, ana uchungu na usongo,anatumia lugha kali na kupiga za uso,hivyo atavuna kura zote za GenZii hadi wa CCM, siasa za ubabe,undava ndio zitaifurusha CCM ikulu yetu kama nilivyo eleza hapa Japo Lowassa Alikuwa a Liability CCM, Akawa Asset Chadema. Lissu is a Very Bad Liability, but is The Only Asset Chadema Has Kuwangiza Ikulu!. Je... ?
P
 
Back
Top Bottom