Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?

Unadhihirisha kiwango cha ufahamu & uelewa wako boss. kama hukuelewa suala dogo km hilo; sina la kukusaidia. Sidhani km inahitajika elimu kubwa kunielewa.
Ila nashukuru pia kunipa ripoti kua tangazo linasomeka

SAJILI KAMPUNI; LTD, JINA LA KAMPUNI, PARTNERSHIP, HESABU ZA KAMPUNI, PROFORMA INVOICES ETC 0652411402 -0684205039
Kwa hiyo ulitaka nikujibu suala dogo kama hilo, ambalo hata mtoto wa darasa 1 anajua!
 
Kama ni kweli wewe ndiyo upimchongea kabendera basi dhambi hiii itakutafuna saana . Na pili kuhusu ulicho kiandika hakina maana kwasababu kinacho ongoza nchi siyo chama ni serikali.

Mfano Raisi wa sasa alichaguliwa kuiongoza nchi na yeye ndiyo anaiongoza kupitia ilani ya chama aliyo kabidhiwa na utashi wake binafsi kwa pamoja.

Uwezo wa chama kuunda dola unatoka kwa wananchi sio kwenye ukubwa na usoefu was lichama Fulani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la swali la tathmini kuhusu upinzani kuweza kuchukua nchi uchaguzi wa 2020. Kwa upande wa huku Tanzania Bara, ulizungumzia upinzani ni unazungumzia Chadema, hivyo hili bandiko kuihusu Chadema, as a representative wa upinzani kwa huku Tanzania Bara, vipi kuhusu Chadema, seriousness yake, its abilities and the capabilities kuelekea uchaguzi wa 2020. Hivi CHADEMA, hii, hivi ilivyo, inawezo wa kushinda uchaguzi wa 2020?, na hata ikatokea ikashinda kwa muujiza tuu kama wa Kenya, Zambia na Malawi, jee inaweza kuendesha nchi?. Is it a Serious Party?, is it Capable, is it Credible?. Is it Organized?, does it have Succession Plan?. Is it Mature Enough Opposition, Kuweza Kukabidhiwa Nchi yetu 2020?!.

Maswali haya ni kufuatia tathmini yangu jinsi Chadema inavyo deal na baadhi ya issues mbalimbali na ndogo ndogo tuu ikiwemo the current one ya uteuzi wa wawakilishi wake kwenye Bunge la EALA. Chadema kuna wakati ina behave childish na ikikwama kwa kutofuata sheria, taratibu na kanuni, ina pandisha na kupaza loud noises za baby cry kuwa inaonewa!.

Kutawala nchi sio jambo dogo au jambo la mchezo mchezo. Ikulu yetu haipaswi kugaiwa kwa majaribio bali kwa uhakika, tutakaye mkabidhi ikulu yetu ni lazima kwanza atuthibitishie amekomaa, na anawezo, mature enough with the abilities and capabilities, na sio tuu kumpa mtu ikulu yetu kwa kumjaribishia simply kwa sababu tuu CCM imeshindwa hili na lile na baadhi ya watu wameichoka sana CCM mpaka basi!.

CCM inaendelea kushinda na kuchaguliwa mwaka hadi mwaka, na itaendelea kuchaguliwa sio kwa sababu CCM is the best party, au CCM imeweza au inauwezo kivile!, no!. CCM has failed this nation, since then, CCM imeshindwa na ilishindwa siku nyingi na inaendelea kushindwa, kwa kufanya madudu mengi tuu ya ajabu ajabu, lakini bado imekuwa ikiendelea kushinda kwa kuchaguliwa mwaka hadi mwaka kwa mazoea tuu kwa sababu, Tanzania bado hatuna mbadala muafaka wa kuiondoa CCM!.

Yaani Tanzania bado hatuna any serious, capable and a credible opposition party ya kuwapa wapiga kura wa Tanzania a choice to choose from, hivyo CCM kujikuta ikiendelea kuchaguliwa na kushinda kwa ku sail through na upepo wa mazoea, kwa sababu ndio the only one iliyopo!, we have no any serious, capable na credible choice to choose from, hivyo we have no choice. Matokeo yake ni CCM inashinda kwa an easy ride ya mazoea na itaendelea kushinda na kushinda tena na tena mpaka tutakapo pata a credible opposition such that we'll have a choice to choose from!.

Kwa Zanzibar hakuna ubishi kuhusu uwezo wa CUF as a credible opposition kuweza kutawala Zanzibar, lakini kwa upande wa huku Tanzania Bara, bado kabisa hatuna any serious, capable and a credible opposition ya kuiondoa CCM na kuikabidhi Ikulu yetu.

CHADEMA ndio angalau angalau wameonyesha nia na dalili za kuweza kuaminiwa, na kiukweli wakiamua, wanaweza kabisa, ila natatizwa na haya madudu yao madogo madogo yanayo onyesha all signs za immaturity kwa upande wa Chadema, such that bado ni chama ambacho hakijaonyesha ukomavu wa kutosha enough to convince Tanzanians kuikabidhi ikulu yetu comes 2020, waipige chini CCM na kuikabidhi Chadema Ikulu yetu ya Magogoni.

Jee kwa maoni yako, unaiona Chadema as a credible,capable na serious opposition, iliyokomaa na kuwa mature enough with the ability, capability and credibility ya kukabidhiwa ikulu yetu 2020?.

Kwa upande wangu, honestly, I don't think, ila kabla sijasema why I don't think and what should we do, naomba kupata mawazo yako, assuming uchaguzi wa Tanzania utaendeshwa kwa uhuru na haki, na chama kitakacho shinda kimeshinda kwa haki, Jee Chadema hata kikishinda, kinauwezo?. Kimeonyesha uwezo wa utayari wa kutawala nchi endapo kitashinda uchaguzi 2020?. Ila kabla hata hakijashinda huo uchaguzi wa 2020, kwa Chadema hii tunayoiona sasa, jee inao huo uwezo wa kushinda?.

Na hata tukiachana na udhaifu wa upinzani imara, everything has it's limits, suppose CCM imewafikisha Watanzania at their limits wakaamua sasa imetosha, they've had enough of CCM and now they are fed up hivyo kuamua liwalo na liwe, wakaipiga chini CCM kwenye sanduku la kura na kuichagua Chadema, jee CCM itakubali kuachia?. Can you just imagine mtu aliyepo Ikulu kukabidhi madaraka sijui kwa nani hiyo 2020, is it possible?.
Kuna mtu yoyote ameishawahi kusikia maandalizi yoyote ya succession plan ya changing arms kwa vyombo vya serikali, na vyombo vyetu vya dola na vyombo vya ulinzi na usalama, kujiandaa kukitumikia chama kingine chochote nje ya CCM?.

Kwanza tuu hata ikatokea Watanzania wengi zaidi wakaichoka CCM na kuipiga chini kwenye sanduku la kura, jee huyo mshindi halali atatangazwa?!, na Tume hii hii?!, Au inawezekana zoezi zima la uchaguzi wa vyama vingi ni kwenye ubunge tuu na udiwani, lakini kwenye urais, licha ya the playing field kutokuwa level, inawezekana uchaguzi wa rais ni igizo tuu la uchaguzi?!.

Nawatakia Furahi Dai Njema.
Paskali.
Rejea.
CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga! - jamiiforums.com

CHADEMA: Tujadili Utayari wa Kutawala Nchi 2015 | Page 7 ...

Kuelekea 2020: CHADEMA Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!... Only If ...

Kuelekea 2020: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM ...

CHADEMA Ikipewa Nchi, October 2020, Hakuna Hatari Kugeuka Utawala ...

Mtazamo: Kanda ya Kaskazini, CCM imechokwa mpaka basi ...

Kuichagua tena CCM, Je ni kielelezo cha kufanya informed decision ...

Ikitokea CCM ishinde, Je ushindi huo ni kutokana kuwekeza kwenye ...

Watanzania ni ignorants au tumelogwa?

CHADEMA Hamkujipanga, hamjajipanga, hamjipangi na hamtajipanga ...

Wenye Matumaini na Upinzani Kushika Dola!, Sahauni! CCM Inajiandaa Kuua Kabisa na Kuuzika Jumla

Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?

Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze...

Lizarazu
Andika ama kiswahili ama kiingereza.
 
pascal Swali lako ni zuri Sana,na limejikita kiuweledi zaidi lakini jibu lake ni rahisi mno,CHADEMA Kama chama na Kama watu haiwezi kushinda uchaguzi kwa ngazi ya juu yaani Rais.Vilevile hata kwenye ubunge wakijitahidi Sana watapata 3%,udiwani 5%.na hata ikitokea miujiza wakashinda hawana uwezo wa kuunda Serikali na kuhimili vishindo vya wananchi.
take a look kwenye umeya wa jiji la DSM wameshindwa vibaya
 
CHADEMA ni chama kikoongwe cha siasa ambacho it never learns, hakijifunzi kwa makosa, and it keeps repeating the same mistakes kwa kurudia makosa yale yale yanayokuja kukigharimu chama mbele ya safari.

Mimi ni miongoni mwa watu wachache humu jf ambaye niliisoma katiba ya Chadema kuliko hata baadhi ya wanachadema wenyewe.

Hawa japo wamefukuzwa, kufukuzwa huku hakukufuata utaratibu.

Ila kwa vile Bunge linavunjwa tarehe 28 ya mwezi huu, nawashauri waliofukuzwa wakubali tuu matokeo na kuachana na Chadema kwa amani bila kuibua mgogoro wowote kwasababu Spika atawalinda Bungeni wasifukuzike hadi Bunge livunjwe.

Swali ni when will Chadema learn from its past mistakes?!. Katiba ya Chadema ipo, taratibu za kufuata zipo, kwanini hawafuati katiba yao, sheria zao, taratibu zao na kanuni zao?. Tukiwaambia huu ni uhuni,
wanakasirika!, halafu unategemea watu wenye uhuni huu waje wakabidhiwe nchi, unategemea nini?.

P
 
Mayala mgombea wa upinzani atapatikana last minute .Kwa siasa za kikoloni hutarajii kumnusa saizi na ndio maana mnahaha kuchombeza chombeza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanabodi,

Hii ni update ya hizi trends nilizozizungumza humu za kuelekea 2020,
  1. Humu nilisema uchaguzi wa 2020, wapinzani wengi watapoteza majimbo na kata zao na kuchukuliwa na CCM, hivyo wanasiasa wenye kuona mbali watajiunga na CCM, hili limeendelea kufanyika na kutokea.
  2. Chadema wameishajua watapoteza kata karibu zote na majimbo karibu yote kwa madiwani na wabunge wake kuhamia CCM, ndio maana inaweza kuwafuta uanachama wabunge wake, kinyume cha katiba yake, kanuni na bila kufuata taratibu walizojiwekea.
  3. Tangazo la Mhe. Spika jana Bungeni kuwa Mhe. Mbowe hatarudi Bungeni ni uthibitisho wa hoja za bandiko hili, kuwa kuna kitu CCM wamekipanga, kitakakachofanya wapinzani wasirudi Bungeni 2020, sasa kama Spika katangaza hata Mwenyekiti wa Taifa Chadema, Mhe. Freeman Mbowe hata rejea Bungeni!, then who will?!.
  4. Mbowe ni Mbunge wa Machame, amechaguliwa na wananchi wa Machame kuwa Mbunge wao na mwakilishi wao Bungeni, wenye uamuzi wa kama Mhe. Mbowe atarejea Bungeni au la, ni wapiga kura wa Machame na sio Spika wa Bunge. Kwa vile Spika wa Bunge ni mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, kauli ya Spika kuwa Mbowe hatarejea Bungeni ni kauli nzito inayothibitisha nilicho kisema humu kuwa Bunge la 2020 ni Bunge la CCM and CCM only!.
  5. Cheo cha Spika ni miongoni mwa vyeo vya derivatives au secondary, cheo cha msingi ni ubunge, yaani mtu huwezi kuwa spika hadi kwanza uwe Mbunge, the same kwa mawaziri na manaibu mawaziri, hivyo cheo cha msingi cha Spika wa Bunge ni Mbunge wa Kongwa, uspika ni cheo cha sekondari tuu kinaweza kuondolewa. Kitendo alichofanya Spika kumtangaza Mbowe hatarejea Bungeni ni Spika kukivaa kichwani cheo cha Spika, hivyo uspika umempanda kichwani na kuvuka mipaka ya jurisdiction yake, kwa Mbunge wa Kongwa, kuwaamulia wana Machame nani ndiye atakuwa Mbunge wao 2020 na sio Mbowe hata kama wao Mbowe wanampenda vipi!. Hili la vyeo kuwapanda kichwani baadhi ya viongozi ni tatizo kubwa!. Kwa mfumo wetu wa vyama vingi, hata rais wa JMT hawezi kutangaza hadharani kitu ambacho Spika amekitangaza!, if anything happens to Mbowe, Spika will be in a hot soup to justifies alipotangaza kuwa Mbowe hatarejea Bungeni, how did he know?, kwani CCM wamepanga kumfanya nini Mbowe hadi asirejee Bungeni?, au by now tayari Spika wa Bunge ameisha letewa orodha ya wabunge wa 2020 ambayo inaonyesha Mbowe hatakuwepo?.
  6. Wakati napandisha bandiko hili, kitu kinachoitwa The NCCR Mageuzi Factor was not there hivyo nikaeleza humu kuwa wabunge wote wanaojitambua, watahamia CCM, lakini kufuatia a recent assumed secret alliance between CCM and NCCR Mageuzi to be secret allies, ili kuepuka aibu ya kurejea CCM, baadhi ya watakao hama Chadema hawatahamia CCM bali watahamia NCCR-Mageuzi kwa ahadi kuwa CCM haitasimamisha wagombea strong wenye nguvu katika majimbo ya NCCR-Mageuzi, watasimamisha wagombea weak ili NCCR Mageuzi ishinde Chadema.
  7. Kitakacho tokea ni ili kuubomoa upinzani kwenye maeneo ambayo ni ngome na strong holds za Chadema, ambazo kamwe CCM haiwezi kushinda, hatua ya kwanza ni kuzigawanya kura za upinzani.
  8. Uchaguzi Mkuu wa 2020 NCCR-Mageuzi haitajiunga na upinzani kusimamisha mgombea mmoja dhidi ya CCM.
  9. Hivyo sasa wote watakao enguliwa Chadema ama watajiunga CCM ama NCCR-Mageuzi, hivyo kila jimbo la Chadema kwa 2020 litakuwa na wagombea 3, mgombea wa Chadema wenye jimbo, mgombea wa NCCR-Mageuzi na mgombea wa CCM.
  10. Kwavile jimbo lilikuwa Chadema mfano Rombo, then kuna watu ni loyalists wa Chadema, wao wakamchagua mgombea yeyote atakayepitishwa na Chadema.
  11. Joseph Selasini atagombea kupitia NCCR-Mageuzi hivyo kuna wana Rombo wanamkubali hivyo watampigia kura zao
  12. Mchuano mkali utakuwa ni kati ya Chadema na NCCR-Mageuzi ndio wata zi split kura za upinzani kwa kugawana kura huku mgombea wa CCM amesimama pembeni akishuhudia vita vya panzi.
  13. Matokeo ya mwisho ni atakayeshinda ni mgombea wa CCM kwa slim margin kwasababu Chadema na NCCR-Mageuzi watagawana kura.
  14. Hata Mwenyekiti mwenyewe wa NCCR-Mageuzi hatakuwa salama jimbon kwake kwasababu Chadema watamsimamishia mtu, CCM itajiokotea, hivyo hoja ya 2020 ni CCM pekee kwa huku bara still stands.
  15. Sehemu pekee trick hii itagonga mwamba ni Zanzibar, kule CCM itafanya alliance na CUF ili wapinzani wagawane kura kati ya CUF na ACT-Wazalendo ili CCM washinde. Kwa kule ACT-Wazalendo haswa kwa upande wa Pemba, I doubt kama CUF or CCM wataambulia kitu. Hivyo wabunge pekee wa upinzani wenye uhakika wa kuingia Bungeni ni kutoka ACT-Wazalendo.
  16. Kwa upande wa bara, kama Zitto asipoteuliwa kuwa mgombea urais wa JMT kwa tiketi ya upinzani, (if Tundu Lissu atarudi), then kwa maoni yangu, Zitto ndiye Mbunge pekee wa upinzani huku bara atakayeweza kuli retain jimbo lake kwa kirahisi, hivyo Zitto ndio likely atakuwa KUB kwa Bunge la 2020, hivyo kwa jinsi ninavyomfahamu na kwa uwezo wake, huo Muziki wake as KUB, licha ya Bunge lijalo kuwa ni Bunge la CCM dominated, lakini kwa KUB kama ZZK, huo mchakamchaka wa Zitto utakuwa usipime!.
P
 
Mkuu Mag3, ukisoma hoja hizo, utakubaliana na mimi, adui yetu Mkuu sio CCM bali ni kukosekana kwa upinzani imara, upinzani makini na chama mbadala wa CCM ili Watanzania wakiaminie, wakipigie kura, hivyo hata uchaguzi Mkuu huu wa October, kwa huku bara ni CCM only and only CCM pekee!
P
 
Mkuu Mag3, hili la kuamini adui mkubwa wa taifa hili ni CCM, it is a school of thought, na huu ndio mtazamo wa Chadema, mimi naamini otherwise na mawazo yangu niliyatoa kwenye mabandiko haya...
CHADEMA mjitafakari msiwabeze wahamaji, wana hoja za msingi. Adui wenu mkuu sio CCM! Lazima mbadilike - JamiiForums

Mkuu Mag3, ukisoma hoja hizo, utakubaliana na mimi, adui yetu Mkuu sio CCM bali ni kukosekana kwa upinzani imara, upinzani makini na chama mbadala wa CCM ili Watanzania wakiaminie, wakipigie kura, hivyo hata uchaguzi Mkuu huu wa October, kwa huku bara ni CCM only and only CCM pekee!
Pia karibu kwenye nondo za bandiko hili
sikio la kufa
 
Nimemuona P kwenye mada za CHADEMA. Utabiri wa mabaya. P ulituasa tuepuke prophecy of doom. Tusiwaase wengine huku sisi tunatenda.

Hakuna kosa kubwa tutalifanya kama kuombea CHADEMA ife. Hiyo laana haitakaa ituache, itakula nasi sahani moja. Kama tulikubali NCCR na CUF vinyongwe, tusikubali haya kwa CHADEMA.

Makala nyingi za kuiponda CHADEMA na kukiombea mabaya hata kama sio sehemu ya zile project zina ukakasi na kuacha maswali mengi kuliko majibu.

Je, kuna personal issues nje ya politik?

Jr
Mkuu Mshana Jr, kwanza heshima mbele, hakuna mtu yoyote anayeiombea Chadema ife, kosa langu ni kuwa mkweli too much.

Humu jf tuna members wa aina 3, tuna
  1. Simple minds, discuss people, wao badala ya kujadili hoja iliyo mezani, hawa watamjadili mtoa hoja.
  2. Ordinary minds, discuss events, hawa watadili matukio, nini kimetokea etc
  3. Great minds discuss ideas, hawa watajadili hoja iliyo mezani.
Hivyo naomba keep on being free, kujadili watu, matukio na hoja, katika mabandiko yangu, ukiweza kujibu hoja, nitashukuru, ila hata ukinijadili, sikulaumu na likes nakutwangia.
Ukipata muda karibu ujibu hoja za bandiko hili.

Asante
P
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la swali la tathmini kuhusu upinzani kuweza kuchukua nchi uchaguzi wa 2020. Kwa upande wa huku Tanzania Bara, ulizungumzia upinzani ni unazungumzia Chadema, hivyo hili bandiko kuihusu Chadema, as a representative wa upinzani kwa huku Tanzania Bara, vipi kuhusu Chadema, seriousness yake, its abilities and the capabilities kuelekea uchaguzi wa 2020. Hivi CHADEMA, hii, hivi ilivyo, inawezo wa kushinda uchaguzi wa 2020?, na hata ikatokea ikashinda kwa muujiza tuu kama wa Kenya, Zambia na Malawi, jee inaweza kuendesha nchi?. Is it a Serious Party?, is it Capable, is it Credible?. Is it Organized?, does it have Succession Plan?. Is it Mature Enough Opposition, Kuweza Kukabidhiwa Nchi yetu 2020?!.

Maswali haya ni kufuatia tathmini yangu jinsi Chadema inavyo deal na baadhi ya issues mbalimbali na ndogo ndogo tuu ikiwemo the current one ya uteuzi wa wawakilishi wake kwenye Bunge la EALA. Chadema kuna wakati ina behave childish na ikikwama kwa kutofuata sheria, taratibu na kanuni, ina pandisha na kupaza loud noises za baby cry kuwa inaonewa!.

Kutawala nchi sio jambo dogo au jambo la mchezo mchezo. Ikulu yetu haipaswi kugaiwa kwa majaribio bali kwa uhakika, tutakaye mkabidhi ikulu yetu ni lazima kwanza atuthibitishie amekomaa, na anawezo, mature enough with the abilities and capabilities, na sio tuu kumpa mtu ikulu yetu kwa kumjaribishia simply kwa sababu tuu CCM imeshindwa hili na lile na baadhi ya watu wameichoka sana CCM mpaka basi!.

CCM inaendelea kushinda na kuchaguliwa mwaka hadi mwaka, na itaendelea kuchaguliwa sio kwa sababu CCM is the best party, au CCM imeweza au inauwezo kivile!, no!. CCM has failed this nation, since then, CCM imeshindwa na ilishindwa siku nyingi na inaendelea kushindwa, kwa kufanya madudu mengi tuu ya ajabu ajabu, lakini bado imekuwa ikiendelea kushinda kwa kuchaguliwa mwaka hadi mwaka kwa mazoea tuu kwa sababu, Tanzania bado hatuna mbadala muafaka wa kuiondoa CCM!.

Yaani Tanzania bado hatuna any serious, capable and a credible opposition party ya kuwapa wapiga kura wa Tanzania a choice to choose from, hivyo CCM kujikuta ikiendelea kuchaguliwa na kushinda kwa ku sail through na upepo wa mazoea, kwa sababu ndio the only one iliyopo!, we have no any serious, capable na credible choice to choose from, hivyo we have no choice. Matokeo yake ni CCM inashinda kwa an easy ride ya mazoea na itaendelea kushinda na kushinda tena na tena mpaka tutakapo pata a credible opposition such that we'll have a choice to choose from!.

Kwa Zanzibar hakuna ubishi kuhusu uwezo wa CUF as a credible opposition kuweza kutawala Zanzibar, lakini kwa upande wa huku Tanzania Bara, bado kabisa hatuna any serious, capable and a credible opposition ya kuiondoa CCM na kuikabidhi Ikulu yetu.

CHADEMA ndio angalau angalau wameonyesha nia na dalili za kuweza kuaminiwa, na kiukweli wakiamua, wanaweza kabisa, ila natatizwa na haya madudu yao madogo madogo yanayo onyesha all signs za immaturity kwa upande wa Chadema, such that bado ni chama ambacho hakijaonyesha ukomavu wa kutosha enough to convince Tanzanians kuikabidhi ikulu yetu comes 2020, waipige chini CCM na kuikabidhi Chadema Ikulu yetu ya Magogoni.

Jee kwa maoni yako, unaiona Chadema as a credible,capable na serious opposition, iliyokomaa na kuwa mature enough with the ability, capability and credibility ya kukabidhiwa ikulu yetu 2020?.

Kwa upande wangu, honestly, I don't think, ila kabla sijasema why I don't think and what should we do, naomba kupata mawazo yako, assuming uchaguzi wa Tanzania utaendeshwa kwa uhuru na haki, na chama kitakacho shinda kimeshinda kwa haki, Jee Chadema hata kikishinda, kinauwezo?. Kimeonyesha uwezo wa utayari wa kutawala nchi endapo kitashinda uchaguzi 2020?. Ila kabla hata hakijashinda huo uchaguzi wa 2020, kwa Chadema hii tunayoiona sasa, jee inao huo uwezo wa kushinda?.

Na hata tukiachana na udhaifu wa upinzani imara, everything has it's limits, suppose CCM imewafikisha Watanzania at their limits wakaamua sasa imetosha, they've had enough of CCM and now they are fed up hivyo kuamua liwalo na liwe, wakaipiga chini CCM kwenye sanduku la kura na kuichagua Chadema, jee CCM itakubali kuachia?. Can you just imagine mtu aliyepo Ikulu kukabidhi madaraka sijui kwa nani hiyo 2020, is it possible?.
Kuna mtu yoyote ameishawahi kusikia maandalizi yoyote ya succession plan ya changing arms kwa vyombo vya serikali, na vyombo vyetu vya dola na vyombo vya ulinzi na usalama, kujiandaa kukitumikia chama kingine chochote nje ya CCM?.

Kwanza tuu hata ikatokea Watanzania wengi zaidi wakaichoka CCM na kuipiga chini kwenye sanduku la kura, jee huyo mshindi halali atatangazwa?!, na Tume hii hii?!, Au inawezekana zoezi zima la uchaguzi wa vyama vingi ni kwenye ubunge tuu na udiwani, lakini kwenye urais, licha ya the playing field kutokuwa level, inawezekana uchaguzi wa rais ni igizo tuu la uchaguzi?!.

Nawatakia Furahi Dai Njema.
Paskali.
Rejea.
CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga! - jamiiforums.com

CHADEMA: Tujadili Utayari wa Kutawala Nchi 2015 | Page 7 ...

Kuelekea 2020: CHADEMA Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!... Only If ...

Kuelekea 2020: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM ...

CHADEMA Ikipewa Nchi, October 2020, Hakuna Hatari Kugeuka Utawala ...

Mtazamo: Kanda ya Kaskazini, CCM imechokwa mpaka basi ...

Kuichagua tena CCM, Je ni kielelezo cha kufanya informed decision ...

Ikitokea CCM ishinde, Je ushindi huo ni kutokana kuwekeza kwenye ...

Watanzania ni ignorants au tumelogwa?

CHADEMA Hamkujipanga, hamjajipanga, hamjipangi na hamtajipanga ...

Wenye Matumaini na Upinzani Kushika Dola!, Sahauni! CCM Inajiandaa Kuua Kabisa na Kuuzika Jumla

Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?

Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze...

Lizarazu
Wanabodi, mimi nilidhani Lissu hatarejea
Kwa mliomsikia Tundu Lissu kwenye Hard Talk, unadhani atarejea nchini? Mimi sina hakika na akirejea, atakuwa ni shujaa kuliko hata Nelson Mandela!

Wanabodi,

Hili ni bandiko la swali, "Kwa Mliomsikia Tundu Lissu Kwenye Hard Talk, Jee Unadhani Atarejea Nchini?. Mimi kwa upande wangu, I seriously doubt kama atarejea, na ikitokea kweli akarejea, then Tundu Lissu atakuwa ni shujaa mwenye uthubutu na ushujaa mkubwa kuliko hata ushujaa wa Nelson Mandela!.

Nimesema hivyo kwa sababu nimemsiliza kwa makini Tundu Lissu, him being a Lawyer, kwa yale aliyoyasema, kwa tuhuma alizoshusha bila ushahidi, I seriously doubt if Tundu Lissu will ever return home during this era, na ikitokea kweli akarejea, then Tundu Lissu atakuwa ni shujaa kuliko Nelson Mandela.
Hongera zake.

Paskali
Final Update
Tundu Lissu leo amerejea nyumbani Tanzania, hivyo naomba kuthibitisha humu kuwa Tundu Lissu ni Jasiri na Shujaa Kuliko Nelson Mandela.

Hivyo sasa, kufuatia kurejea huku, ule ushauri wangu nilioutoa kwake kabla hajashambuliwa, sasa utekelezwe.

Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha Uwezo Zaidi ya Magufuli!

Shujaa Kamanda Tundu Lissu, karibu nyumbani.
Mungu ni mwema amekutendea muujiza, hivyo endelea kutimiza ndoto yako, Mungu aliyekuponya ni Mungu mwenye uwezo, anaweza kabisa kulifanya "Jiwe Walilolikataa Waashi, Likafanywa Jiwe Kuu la Pembeni"

I wish him all the best.
Paskali
 
Tunapo jiandaa kwa Uchanguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani, hoja za bandiko hili bado ziko valid.
P
 
Too late,kwa sasa mnavuna mlichopanda kwa miaka mitano.
Mkuu Kishina cha Mshahara, kwanza naomba kukiri, ninaheshimu mawazo yako, ila kwenye uchaguzi, ni kweli kuna mtu amefanya the right timing na mtu ni too late too little!.

Niliwahi kuuliza hivi humu
Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?!.

Swali la Ukweli Mchungu: Je, 2020 Magufuli ana mpinzani au mshindani, au ni Magufuli tu?!.

Uchaguzi wa 2020, Kukumbuka shuka kumekucha, is it too little too late kwa CHADEMA or better late than never?

Majibu ya swali hili ni tarehe 28 October,
Kuna mtu atalia na kuna mtu atacheka!. He who cries last cries most, and he who laughs last laugh most!.
P
 
Tunachohotaji Tanzania ni utawala unaofuata sheria, na sheria zilizopitwa na wakati kufanyiwa marekebisho. CCM imeshindwa kufanya jambo hili .
Mkuu Dada yangu Sikai Ekilati, Sky Eclat , suppose hayo usemayo ni kweli kuwa CCM imeshindwa kutawala kwa utawala unaofuata sheria, na kukumbatia sheria zilizopitwa na wakati bila kufanyiwa marekebisho. Swali ni je nani ndio mbadala wa CCM?. Kwa vyama hivi vilivyopo, ni chama gani kimeonyesha maturity, ability, capacity, capability na credibility, ya kuweza kukabidhiwa Ikulu yetu, kiendeshe nchi?.
NB. Ikulu sio sehemu ya kufanyia majaribio!.
P
 
Back
Top Bottom