Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

😁Sasa kama ni biblia moja ileile kwa nini kwenye Luka 9:56 vinazungumzwa vitu tofautitofauti?
Biblia original na lugha yake ya asili ipo , izo ni translation na translation zinaweza kuwa na makosa na yanarekebishika, ni mara ngapi tunaweka translation za Koran hapa na wenzako wanasema zimekosewa
 
Naona sasa umebadili swali, angalau umeimprove kidogo, mwanzo ulikuwa unauliza wapi wameandika, nilivyokuelewesha kuwa quran haijasema wameandika bali wanasema, naona na wewe sasa unauliza swali kuwa ni wapi wanasema?. Sasa angalau kidogo hapa umeuliza kilichomo kwenye Quran.

Jibu lako ni kuwa Wayahudi waliokuwa wakiishi Madina kipindi cha Mtume walikuwa na kawaida ya kumtukuza Uzeri(Ezra) kama Mwana wa Mungu. Hapa Quran. inawaonya waache mambo hayo.
Walivyo kuwa wanamtukuza ni wapi maandiko yao yanasema wamtukuze kama mwana wa Mungu,

Koran 9:30 Na Mayahudi wanasema: Uzeir ni mwana wa Mungu. Na Wakristo wanasema: Masihi ni mwana wa Mungu.........

Neno wanasema sio wakati uliopita , ni wakati unaoendelea , Yani mpaka leo Allah anasema wanasema uzeir ni mwana was Mungu

Sasa weka ushahidi sasa ivi wayahudi wanasema uzeri ni mwana wa Mungu

Kama hakuna tuamini Allah Kuna maali kakosea au kashindwa KUONA mbele
 
Biblia original na lugha yake ya asili ipo , izo ni translation na translation zinaweza kuwa na makosa na yanarekebishika, ni mara ngapi tunaweka translation za Koran hapa na wenzako wanasema zimekosewa

Naomba Link ya Biblia original katika lugha yake ya asili😁😁

Maana waliotafsiri Biblia kwenye New International version wamesema wazi kuwa, wao wamabase translation zao kwenye manuscript za kale zaidi ambazo wakati mwingine hazina verses au vitu vinavyopatikana kwenye King James version kwa sababu King James alibase tafsiri yake kwenye manuscript nyingine ambayo ni recent zaidi.

Kumbe hakuna Manuscript moja ya biblia ambayo watafsiri wanabase tafsiri yao, ndiyo maana unakuta version moja ya bible kuna aya zimo, kwenye version nyingine aya hizohizo hazimo. Au unakuta version moja imeongezewa vitu katika verse fulani, wakati kwenye version nyingine hivyo vitu havipo

Lete link ya Bible original katika lugha yake ya asili😁😁
 
Walivyo kuwa wanamtukuza ni wapi maandiko yao yanasema wamtukuze kama mwana wa Mungu,

Koran 9:30 Na Mayahudi wanasema: Uzeir ni mwana wa Mungu. Na Wakristo wanasema: Masihi ni mwana wa Mungu.........

Neno wanasema sio wakati uliopita , ni wakati unaoendelea , Yani mpaka leo Allah anasema wanasema uzeir ni mwana was Mungu

Sasa weka ushahidi sasa ivi wayahudi wanasema uzeri ni mwana wa Mungu

Kama hakuna tuamini Allah Kuna maali kakosea au kashindwa KUONA mbele
Utarudia sana hii kitu, imeshaisha hiyo

Kusema si kuandika.

Quran inasema wanasema, haisemi wameandika.

Labda lete ushahidi kuwa hawajawahi kusema, hapo maswali yako yatakuwa na msingi, otherwise kuuliza maswali yanayohusu maembe kwenye lecture inayohusu machungwa unapoteza uelekeo
 
Naomba Link ya Biblia original katika lugha yake ya asili😁😁

Maana waliotafsiri Biblia kwenye New International version wamesema wazi kuwa, wao wamabase translation zao kwenye manuscript za kale zaidi ambazo wakati mwingine hazina verses au vitu vinavyopatikana kwenye King James version kwa sababu King James alibase tafsiri yake kwenye manuscript nyingine ambayo ni recent zaidi.

Kumbe hakuna Manuscript moja ya biblia ambayo watafsiri wanabase tafsiri yao, ndiyo maana unakuta version moja ya bible kuna aya zimo, kwenye version nyingine aya hizohizo hazimo. Au unakuta version moja imeongezewa vitu katika verse fulani, wakati kwenye version nyingine hivyo vitu havipo

Lete link ya Bible original atika lugha yake ya asili😁😁
Utapata , rudi kajibu maswali yangu , kuanzia na Muhammad alipo pata habari za Isa na kina Musa na wapi ushaidi wayahudi wanasema uzer ni mwana wa Mungu,

Alafu nenda kasome tena matini ni moja kijana acha story za ghahawa
 
Lete link ya bible original version

Tofauti ya NIV na KJV wala siyo translation tu bali unakuta verses fulani huku zimo kule hazimo

Sasa hiyo siyo difference ya translation ni utofauti wa vitabu totally, hadi idadi ya verses katika hivyo vitabu inatofautiana
 
Utarudia sana hii kitu, imeshaisha hiyo

Kusema si kuandika.

Quran inasema wanasema, haisemi wameandika.

Labda lete ushahidi kuwa hawajawahi kusema, hapo maswali yako yatakuwa na msingi, otherwise kuuliza maswali yanayohusu maembe kwenye lecture inayohusu machungwa unapoteza uelekeo
Allah hasemi waliwahi kusema , Allah anasema wanasema , Yani mpaka leo wanasema , acha janja janja kumtetea Allah alipochemka weka ushahidi wayahudi wanasema
 
Allah hasemi waliwahi kusema , Allah anasema wanasema , Yani mpaka leo wanasema , acha janja janja kumtetea Allah alipochemka weka ushahidi wayahudi wanasema
Sasa hapo utakuwa huelewi historia, context na mazingira ya revelation

Kwenye Qur'an kuna verse zinasema nanukuu "Sema ewe Muhammad....", Sasa wewe kwa swali lako ulilouliza hapo juu utasema huyo Muhammad wa kusema hayo leo mbona hayupo?

Ila sisi waislamu tunajua kuwa aliambiwa mtume miaka 1400 iliyopita huko Makka au Madina angali akiwa hai, nasi tunajifunza kupitia ujumbe huo.
 
Hakuna Aya inayosema kuwa YOTE yaliyomo kwenye Quran yapo kwenye vitabu vya zamani. Hiyo ya "YOTE" umeitunga, siku nyingine ukinukuu Qur'an elezea kwa usahihi maana yake, usijitungie ya kwako.

Wapi kwenye hiyo aya wanasema "YOTE" yaliyomo kwenye Quran yapo kwenye vitabu vilivyopita?
Kubali Leo kwamba hilo la uzer ni fake news!

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Tuanze na Injili, nani aliwaambia akina Marko na Luka ambao hata siyo wanafunzi wa Yesu waandike Injili?
Yesu Alikaimisha Mamlaka Yake kwa Kanisa
[emoji116][emoji116]
MT. 16:19 Nami nitakupa wewe funguo za ufalme wa mbinguni; na lo lote utakalolifunga duniani, litakuwa limefungwa mbinguni; na lo lote utakalolifungua duniani, litakuwa limefunguliwa mbinguni.

Sasa hapo wapi Yesu kasema waandike injili? 😁😁

Naona unatafuta tafsiri za kuungaunga
 
Hapana, mmejitungia kitu ambacho qur'an haijakisema halafu mnaanza kuuliza kutaka qur'an ilete proof kwa mlichojitungia wenyewe.

Qur'an inasema wanasema haijasema wameandika!
duu [emoji23]kumbe allah ni mzushi na kujitungia stori kama alivyo bainisha
[emoji116][emoji116]
Ų§Ł„Ł„Ł‘ŁŽŁ‡Ł Ł†ŁŽŲ²Ł‘ŁŽŁ„ŁŽ Ų£ŁŽŲ­Ł’Ų³ŁŽŁ†ŁŽ Ų§Ł„Ł’Ų­ŁŽŲÆŁŁŠŲ«Ł ŁƒŁŲŖŁŽŲ§ŲØŁ‹Ų§ Ł…Ł‘ŁŲŖŁŽŲ“ŁŽŲ§ŲØŁŁ‡Ł‹Ų§ Ł…Ł‘ŁŽŲ«ŁŽŲ§Ł†ŁŁŠŁŽ ŲŖŁŽŁ‚Ł’Ų“ŁŽŲ¹ŁŲ±Ł‘Ł Ł…ŁŁ†Ł’Ł‡Ł Ų¬ŁŁ„ŁŁˆŲÆŁ Ų§Ł„Ł‘ŁŽŲ°ŁŁŠŁ†ŁŽ ŁŠŁŽŲ®Ł’Ų“ŁŽŁˆŁ’Ł†ŁŽ Ų±ŁŽŲØŁ‘ŁŽŁ‡ŁŁ…Ł’ Ų«ŁŁ…Ł‘ŁŽ ŲŖŁŽŁ„ŁŁŠŁ†Ł Ų¬ŁŁ„ŁŁˆŲÆŁŁ‡ŁŁ…Ł’ ŁˆŁŽŁ‚ŁŁ„ŁŁˆŲØŁŁ‡ŁŁ…Ł’ Ų„ŁŁ„ŁŽŁ‰Ł° Ų°ŁŁƒŁ’Ų±Ł Ų§Ł„Ł„Ł‘ŁŽŁ‡Ł ۚ Ų°ŁŽŁ°Ł„ŁŁƒŁŽ Ł‡ŁŲÆŁŽŁ‰ Ų§Ł„Ł„Ł‘ŁŽŁ‡Ł ŁŠŁŽŁ‡Ł’ŲÆŁŁŠ بِهِ Ł…ŁŽŁ† ŁŠŁŽŲ“ŁŽŲ§Ų”Ł ۚ ŁˆŁŽŁ…ŁŽŁ† ŁŠŁŲ¶Ł’Ł„ŁŁ„Ł Ų§Ł„Ł„Ł‘ŁŽŁ‡Ł ŁŁŽŁ…ŁŽŲ§ Ł„ŁŽŁ‡Ł مِنْ Ł‡ŁŽŲ§ŲÆŁ

[ AZZUMAR - 23 ]
Mwenyezi Mungu ameteremsha hadithi nzuri kabisa, Kitabu chenye kufanana na kukaririwa; husisimua kwacho ngozi za wenye kumkhofu Mola wao Mlezi. Kisha ngozi zao na nyoyo zao hulainika kwa kumkumbuka Mwenyezi Mungu. Huo ndio uwongofu wa Mwenyezi Mungu, na kwa huo humwongoa amtakaye. Na ambaye ameachwa na Mwenyezi Mungu kupotea, basi hapana wa kumwongoa.

Hii aya mbona iko vizuri tu yenye ujumbe mzito kuhusu Qur'an yetu tukufu kuwa ikisomwa inagusa nyoyo hata miili inasisimkwa!
Bahati mbaya huijui raha ya Qur'an ikisomwa, kwa hakika ni very beautiful.
Mimi wakati mwingine hutokwa machozi kutokana na ujumbe mzito wa Qur'an na jinsi ilivyo nzuri
 
Hii aya mbona iko vizuri tu yenye ujumbe mzito kuhusu Qur'an yetu tukufu kuwa ikisomwa inagusa nyoyo hata miili inasisimkwa!
Bahati mbaya huijui raha ya Qur'an ikisomwa, kwa hakika ni very beautiful.
Koran 39:23 ........, na kwa huo humwongoa amtakaye. Na ambaye ameachwa na Allah kupotea, basi hapana wa kumwongoa.
Nilisha ulizaga Tofauti ya kazi za Shetani(lucifer) na Allah , yani unakuta kazi kubwa ya kupoteza watu inafanywa na allah, kwa nini?
 
Sasa wewe unadhani shetani asingemuingia Yuda ili Yuda akawonyeshe Makuhani na Askari wa Kirumi Yesu alipo na kwamba Yesu ni nani unadhani Yesu angekufa msalabani ili kwa kifo chake wewe na wenzako muokolewe?.

Hilo swali la role ya Shetani kwenye wokovu wa watu kawaulize Wakiristo wenzio, maana Shetani kaplay role kubwa sana kwenye kifo cha Yesu ambacho mnakiita ni komboleo la dhambi na sababu ya wokovu!.

Sasa nyie Wakiristo acheni kujifanya mnamchukia shetani wakati kashiriki kikamilifu kuwezesha plan ya Yesu kufa msalabani kitu mnachokiadhimisha kwa furaha. Huenda kimoyomoyo mnampenda shetani nyinyi!

Nikirudi kwenye Qur'an, iko very clear kuwa WOKOVU(UONGOFU) NI KWA NEEMA YA MUNGU tu ndiyo maana ya hiyo verse ya Qur'an, Na sisi tumeambiwa kwenye Quran kuwa Shetani ni adui yetu na tumfanye adui.
 
Sasa wewe unadhani shetani asingemuingia Yuda ili Yuda akawonyeshe Makuhani na Askari wa Kirumi Yesu alipo na Yesu ni nani unadhani Yesu angekufa msalabani ili kwa kifo chake wewe na wenzako muokolewe?.

Hilo swali la role ya Shetani kwenye wokovu wa watu kawaulize Wakiristo, Maana Shetani kaplay role kubwa sana kwenye kifo cha Yesu ambacho mnakiita ni komboleo la dhambi na sababu ya wokovu!.

Sasa nyie Wakiristo acheni kujifanya mnamchukia shetani wakati kashiriki kikamilifu kuwezesha plan ya Yesu kufa msalabani kitu mnachokiadhimisha kwa furaha

Nikirudi kwenye Qur'an, iko very clear kuwa WOKOVU(UONGOFU) NI KWA NEEMA YA MUNGU tu ndiyo maana ya hiyo verse ya Qur'an
  • Embu jibu swali Allah ndio anapoteza watu na ndiye anawahukumu kwa mujibu wa dini yenu kwa nini? unawezaje kumpoteza mtu kwa makusudi ili umuhukumu?
    • Koran 39:23 ........, na kwa huo humwongoa amtakaye. Na ambaye ameachwa na Allah kupotea, basi hapana wa kumwongoa.
  • Allah anasema mtu anaweza kufanya machafu yote duniani na mpaka akakaribia kuingia kwenye fire, mpaka amebakiza cubit kuingia motoni then kwa sababu allah alimuandikia kwenda paradise basi ataingia paradise
  • Allah anaseama tena mtu anaweza kuwa msafi na kufanya mambo mema lakini siku ya mwisho anamuingiza kwenye fire
    • .....And by Allah, a person among you (or a man) may do deeds of the people of the Fire till there is only a cubit or an arm-breadth distance between him and the Fire, but then that writing (which Allah has ordered the angel to write) precedes, and he does the deeds of the people of Paradise and enters it; and a man may do the deeds of the people of Paradise till there is only a cubit or two between him and Paradise, and then that writing precedes and he does the deeds of the people of the Fire and enters it." Sahih al-Bukhari 6594
  • Kuwa muislamu hakuna uhakika wowote wa kwenda paradise , nimecheka sana mambo ya allah
Nipo
 
Nimeshakujibu kuwa WOKOVU ni kwa neema na si kwa MATENDO au Paulo alivyosema hivyo alikosea?

Jibu swali kwa nini kwa mujibu wa biblia Shetani kaplay role kubwa kwenye kusulubiwa kwa Yesu halafu nyie mnasema kusulubiwa huko ni mpango wa Mungu?
 
Tuanze na Injili, nani aliwaambia akina Marko na Luka ambao hata siyo wanafunzi wa Yesu waandike Injili?
Biblia ni Mafundisho ya Mungu yenye mtiririko tokea Totari hadi Injiri.
Ndio maana kikaunganishwa na kuitwa Biblia.

Mungu alipo mwagiza Musa aandike mafundisho yake Mitume na Manabii wote waliofuatia walitii Agizo la Mungu la kuandika mafundisho ya vitabu vyote vilivyofuatia.
Kuandika ni kutii maagizo ya Mungu kile alichomuagiza Musa.
Ni kama hizi Amri hapa.
............
[emoji117]Kumbukumbu la Torati 5:6
Mimi ni Bwana, Mungu wako, niliyekutoa katika nchi ya Misri, katika nyumba ya utumwa.

7 Usiwe na miungu mingine ila mimi.
8 Usijifanyie sanamu ya kuchonga, mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, au kilicho chini duniani, au kilicho majini chini ya nchi.
9 Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi Bwana, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu, nawapatiliza wana uovu wa baba zao; hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,
10 nami nawarehemu maelfu elfu wanipendao, na kuzishika amri zangu.
11 Usilitaje bure Jina la Bwana, Mungu wako; maana Bwana hatamhesabia kuwa hana hatia, mtu alitajaye jina lake bure.
12 Ishike siku ya Sabato uitakase, kama Bwana, Mungu wako, alivyokuamuru.
13 Siku sita fanya kazi, utende mambo yako yote;
14 lakini siku ya saba ni Sabato ya Bwana, Mungu wako; siku hiyo usifanye kazi yo yote, wewe, wala mwanao, wala binti yako, wala mtumwa wako, wala mjakazi wako, wala ng'ombe wako, wala punda wako, wala mnyama wako ye yote, wala mgeni aliye ndani ya malango yako, ili mtumwa wako na mjakazi wako wapumzike vile vile kama wewe.
15 Nawe utakumbuka ya kuwa wewe ulikuwa mtumwa katika nchi ya Misri, na ya kuwa Bwana, Mungu wako, alikutoa huko kwa mkono wenye nguvu, na mkono ulionyoshwa; kwa sababu hiyo Bwana, Mungu wako, alikuamuru uishike sabato.
16 Waheshimu baba yako na mama yako; kama Bwana, Mungu wako, alivyokuamuru, siku zako zipate kuzidi, nawe upate kufanikiwa katika nchi upewayo na Bwana, Mungu wako.
17 Usiue.
18 Wala usizini.
19 Wala usiibe.
20 Wala usimshuhudie jirani yako uongo.
21 Wala usimtamani mke wa jirani yako; wala usiitamani nyumba ya jirani yako, wala shamba lake, wala mtumwa wake, wala mjakazi wake, wala ng'ombe wake, wala punda wake, wala kitu cho chote alicho nacho jirani yako.
22 Haya ndiyo maneno ambayo Bwana aliwaambia mkutano wenu wote mlimani kwa sauti kuu toka kati ya moto, na wingu, na giza kuu; wala hakuongeza neno. [emoji117]Akayaandika juu ya mbao mbili za mawe, akanipa
................................................................

Hizi ni Amri Kumi za Mungu alizopewa Musa kwanda kuyafundisha watu wake, Mungu mwenyewe aliziandika na kumpa Musa.
Maagizo Mengine alimwambia Musa aandike.

Kutoka 17:14
Bwana akamwambia Musa, Andika habari hii katika kitabu iwe ukumbusho, kisha ihubiri masikioni mwa Yoshua; ya kuwa nitaufuta ukumbusho wa Amaleki kabisa, usiwe tena chini ya mbingu.

Kutoka 24:4 Basi
Musa akayaandika maneno yote ya Bwana, akaondoka asubuhi na mapema, akajenga madhabahu chini ya mlima, na nguzo kumi na mbili, kwa hesabu ya kabila kumi na mbili za Israeli,
................................................................

{Hapa tunaona Mungu wa kwenye Biblia ndio Mwandishi Mkuu wa Mafundisho yake.
Musa alijifunza kwa Mungu wake kuandika.
Manabii na Mitume wengine walijifunza kwa Musa kuandika maagizo ya Mungu}
................................................................

Swali kwa Waislamu.
[emoji117]Ni wapi Allah karuhusu kuandika Maafundisho ya kwenye kitabu cha Qurani ?

Naomba Jibu, La sivyo ijulikane wazi kwamba
[emoji117]Kitabu cha Qurani ni Batili.
 
Back
Top Bottom