Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,635
- 8,955
Unajua kuna issue ndogo sana unashindwa kuelewa
Mfano Mimi naweza sema mfano; waislamu wanasema Issa hakusulubiwa bali bali aliwekwa Issa bandia msalabani,
Nachotakiwa kufanya ni kuweka maandiko ya waislamu yanayosema hivyo basi nitaweka
koran 4:157. Na kwa kusema kwao: Sisi tumemuuwa Masihi Isa, mwana wa Maryamu, Mtume wa Mwenyezi Mungu - nao hawakumuuwa wala hawakumsalibu, bali walifananishiwa tu.
fanya hivi weka maandiko ya kiyahudi yakisema uzeri ni mwana wa mungu
Nimekuwekea ushahidi unakuwa unarusha vichwa.
Kwani biblia imesema nini kuhusu mwana wa mungu ??